TASWIRA YA MATUKIO WAKATI WA KUSIKILIZWA PINGAMIZI LA ZITTO KABWE MAHAKAMA...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Ilala Dar es Salaam, SACP Marietha Minangi, wakati akiwasili Viwanja vya Mahakama Kuu. Mmoja wa kijana aliyekamatwa na askari baada ya kuleta fujo eneo la mahakama. Baadhi ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA MAZIKO YA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA MAREHEMU DK MGIMWA...
Mjane wa Dr Mgimwa akiaga mwili huo kabla ya mazishi kijiji cha Magunga Iringa leo Mwili wa Dr Mgimwa ukishushwa kaburini leo Wabunge Deo Sanga wa jimbo la Njombe Kaskazin kushoto na Deo...
View ArticleKamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya ajitambulisha rasmi kwa waandishi wa habari...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya,SACP Ahmed Msangi akizungumza na waandishi wa habari wa Mkoa wa Mbeya (hawapo pichani) alipowaita kwa kuijitambulisha kwao na kutoa taarifa ya matukio mbali mbali...
View ArticleSERIKALI MBILI NDIO NGUZO YA MUUNGANO – NDEJEMBI
Sehemu ya vijana wa UVCCM toka bara na visiwani wakitembea kutoka bandari ya Dar es Salaam hadi makao makuu ya UVCCM katika kuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi ya Zanzibar huku na mabango yenye ujumbe...
View ArticleANGALIA VIDEO MPYA YA YASINTA TALLY, MWANADADA ANAEWAKILISHA MWANZA VYEMA KWA...
Jiji la mwanza linasifika sana kwa kutoa vipaji vingi vinavyowakilisha mziki wa Hiphop, baadhi ya wasanii waliotokea mwanza na wanafanya poa sana ni Fid Q, Young Killer, Kala Jeremiah na wengine...
View ArticleANGALIA PICHA YA MKE WA MTU ANYOFOLEWA SIKIO KISA MAPENZI
Consolata Edward akionyesha jeraha katika sikio lake.Consolata Edward ni mke wa mtu, mkazi wa Igoma jijini hapa ambaye amebaki na kipisi cha sikio baada ya kunyofolewa kiungo hicho kisa kikidaiwa kuwa...
View ArticleCHINA WATEKETEZA TANI 6 ZA PEMBE ZA NDOVU,KUPINDA UJANGILI DHIDI YA TEMBO
Workers destroy confiscated ivory and ivory sculptures in Dongguan in Guangdong province on Jan. 6China has now become the third major wildlife consumer country to destroy a large amount of ivory in...
View ArticleANGALIA PICHA ZAIDI YAJINSI MAFURIKO MAKUBWA YANAYOENDELEA NCHINI UINGEREZA...
Spray: Storm-driven waves batter the sea front at the Welsh coastal town of Aberystwyth. Strong winds and large waves caused further coastal floodingObscuring the promenade: Waves crash against the...
View ArticleOFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAWANOA WAKUFUNZI WA UTAFITI WA WATU WENYE UWEZO WA...
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Mhe. Dkt. Milton Mahanga (MB) akihutubia wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wiki mbili ya Wakufunzi wa Utafiti wa Watu Wenye Uwezo wa Kufanya Kazi wa mwaka 2014...
View ArticleJESHI LA POLISI NCHINI LAENDESHA MAFUNZO YA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Shilogile, wapili kutoka kushoto waliokaa, akifuatiwa na Naibu kamishna wa Polisi (DCP) Adolfina Chialo,...
View ArticleIGP MANGU NA NAIBU WAKE WAJITAMBULISHA KWA KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Ernest Mangu (kushoto) akimfafanulia jambo Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia)
View ArticleKAKA AIFUNGIA MILAN BAO LA 100.
Leo hii kiungo wa AC MILAN raia wa Brazil Ricardo KAKA ameifungia timu yake mabao mawili kwenye ushindi wa mbao 3-0 dhidi ya ATALANTA kwenye mchezo wa Serie A.kaka kabla ya mchezo wa leo alikuwa...
View ArticleCUF HATUHUSIKI NA SAKATA LA ZITTO KABWE NA CHAMA CHAKE
waandishi wengi wa habari wananipigia nithibitishe ikiwa CUF iliandaa makundi ya wanachama wakamshabikie Zitto Kabwe mahakamani leo hii. Taarifa ya namna hii pia imeenea mitandaoni.Pia viongozi kadhaa...
View ArticleMAKUBWA HAYA::DAWA YA MALARIA YATUMIKA KUREMBESHA NYWELE SOMA MAKALA HII HAPA.
Dar es Salaam. Tabia ya kutumia vitu vyenye kemikali bila ya ushauri wa kitaalamu imeendelea kujijenga miongoni mwa Watanzania, ambapo sasa dawa ya malaria aina ya Metakelfin inatumika kutengeneza...
View ArticleHIKI NDICHO KILICHOMKUTA MWANADADA WEMA SEPETU, MAHAKAMA YAAMURU...
WEMA SEPETU YAMETIMIA ! Ni kweli hakuna marefu yasiyokuwa na ncha! Miss Tanzania 2006, Wema Isaac Sepetu aliyesifika kwa kumwaga fedha kila kukicha ameanza kufilisiwa, Ijumaa Wikienda lina habari ya...
View ArticleMTOTO AZALIWA AKIWA NA VIDOLE 34..AVUNJA RECORD YA DUNIA
The Indian boy broke the world record after being born with 34 fingers and toes.Akshat Saxena had seven fingers on each hand and ten toes on each foot, according to a spokesman for Guinness World...
View ArticleANGALIA PICHA A ZA DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE...
Katika tovuti ya Diamond ameamua kushare picha na mashabiki wake jinsi alivyokutana na Waziri Bernard Membe na kualikwa kula chakula cha usiku pamoja na kupata mawili matatu ya kuzungumza na waziri...
View Article