KAULI YA ZITTO KABWE BAADA YA MAHAKAMA KUMPA USHINDI DHIDI YA CHADEMA
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe jana alitinga mahakama kuu kupinga kujadiliwa kwenye kikao cha kamati kuu ya Chadema,Kikao ambacho kilikuwa kikutane leo.Hii ni kauli yake baada ya...
View ArticleTASWIRA ZA THELUJI KATIKA JIJI LA NEW YORK
Bill de Blasio, Mayor mpya wa New York siku ya pili toka aapishwe kuanza kulitumikia jiji la wasilo lala New York, Sasa ana kumbana na storm ya theluji mtihani wake wa kwanza kuhakikisha jiji linakuwa...
View ArticleWAZIRI MKUU MHE. PINDA AKIWA MAPUMZIKONI JIMBONI KWAKE
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua shmaba la mahindi katika kijiji cha Mamba wilayani Mlele akiwa katika mapumziko, jimboni kwake Katavi Januari 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
View ArticleDK.SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA MIKA 50 YA MAPINDUZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuyafungua Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra...
View ArticleKILICHOMUUA MGIMWA KUWEKWA HADHARANI JUMAPILI
Mwili wa Dk Mgimwa aliyekuwa Waziri wa Fedha, unatarajiwa kuletwa nchini kesho ukitokea Pretoria, Afrika Kusini. Mgimwa alifariki dunia katika Hospitali ya Kloof Medi-Clinic iliyoko Pretoria...
View ArticleMCHG. MSIGWA AMBEZA JK KUHUSU UJANGILI
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) amesema kama Rais Jakaya Kikwete anadhamira ya kweli kutokomeza ujangili nchini ni vyema akasafisha kwanza Serikali na chama chake. Akihutubia...
View ArticleMZOZO WA MAPENZI WAUA MKE SINGIDA, MWINGINE AJIUA BAADA YA KUMTIA UJAUZITO...
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Geofrey KamwelaMKAZI wa Kijiji cha Mwasutianga, Kata ya Irisya, wilayani Ikungi, Singida, Mwanahamisi Mwangu (72), amekufa baada ya kupigwa mateke na ngumi na...
View ArticleMata aonyeshwa mlango wa kutoka darajani
Mourinho akiwa na Mata KOCHA Jose Mourinho amemwambia Juan Mata anaweza 'kuchapa mwendo' (kuondoka) Chelsea baada ya kukasirika alipofanyiwa 'sabu' dakika ya 53 katika mechi ya kwanza ya mwaka mpya...
View ArticleUKWELI KUHUSU WACHINA KUKAMATWA NA PEMBE ZA NDOVU DAR
TAARIFA KWA UMMAMamlaka ya Bandari Tanzania kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na vyombo vingine vya Dola, tarehe 2 Januari 2014 majira ya saa tatu asubuhi kwenye Bandari ya Dar...
View ArticleWARIOBA:SERIKALI TATU SI MZIGO
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba nchini,Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, ametetea muundowa serikali tatu kuwa hauna gharama, tofauti nainavyotafsiriwa na wengi. Mbali na kutetea gharama za...
View ArticleIkiwa ni mwaka mmoja toka Sajuki afariki dunia,hiki ndicho alichokiandika...
Jana Januari 02 ni kumbukumbu cha kifo cha Sajuki star aliyekuwa akitokea kiwanda cha filamu Bongo yaani Bongomovie,kumbukumbu zimefanyika nyumbani kwao Sajuki huko Songea,hiki ndicho alichokiandika...
View ArticleMadagascar yapata Rais mpya
Rais mpya wa Madagascar Hery RajaonarimampianinaMaafisa nchini Madagascar wanasema kuwa matokeo ya mwanzo mwanzo ya duru ya pili ya uchaguzi wa Rais uliofanyika mwezi Disemba, yanaonyesha mshindi kuwa...
View ArticleAngalia hapa picha hii ndio Sehemu atakapozikwa marehemu dk William Mgimwa...
Katibu wa mbunge Dr Wiliam Mgimwa Bw Martine Simangwa akiwaonyesha viongozi wa CCM eneo ambalo waziri Mgimwa atazikwa katika kijiji cha Magunga kata ya Maboga jimbo la Kalenga.
View ArticleRAIS AAMURU MJOMBA WAKE AULIWE NA KULIWA NA MBWA 120 WAKALI WENYE NJAA KALI
Rodong Sinmun / Yonhap via Reuters, fileKim Jone Un's uncle Jang Song Thaek is dragged into court by uniformed personnel prior to last month's execution.By Eric Baculinao and Alexander Smith, NBC...
View ArticleCHADEMA WAFANYA KIKAO CHA KAMATI KUU LEO JIJINI DAR
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk. Wilbroad Slaa (kushoto) na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, Said Issa Mohamed wakati wa Kikao cha Kamati Kuu...
View ArticleALIYEJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO AENDELEA VIZURI AOMBA MSAADA KWA...
Aida Nakawala mkazi wa kijiji cha Chiwanda Wilaya ya Momba Mkoa wa Mbeya, hivi karibuni alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo(Quadliplets) katika usiku wa kuamkia Mwaka mpya anaendelea...
View ArticleANGALIA PICHA YANGA YAANZA KUJIFUA CHINI YA MKWASA
Mkwasa (mwenye rangi za Bluu) akiongoza mazoezi leo asubuhi katika uwanja wa Bora Mabatini KjitonyamaMabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara timu ya Young Africans leo imeeanza kujifua...
View ArticleTUNAOMBA RADHI KWA PICHA::MFANYABIASHARA WA KIKE APIGWA RISASI USONI NA...
Mfanyabiashara mmoja (Jina Halikufahamika) Mwenye asili ya Asia ameshambuliwa na majabazi (majira ya saa 12 Kasoro jioni )kwa kupigwa risasi katika paji la uso wake na kisha majambazi hao kutoweka na...
View ArticleAIBU KUBWA...PICHAZ..AKUTWA UCHI AMEANGUKA MBELE YA FREMU ZA MADUKA ILALA...
Mzee mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina mnamo alfajiri ya siku ya Jumamosi alikutwa uchi wa mnama akiwa ameanguka mbele ya nyumba moja iliyopo eneo la Ilala, Sharif Shamba kwa kile kinachoaminika...
View Article