USHOGA NAO UNAANZA KUINGIA ZAMBIA
Polisi nchini Zambi inawashikilia wanaume wawili wanaosika na Ushoga yaani wanaenda kinyume na maumbile kwa kujamiana wanaume kwa wanaume.Ni kosa kwa wanaume kuishi kinyumba Mume na mke...
View ArticleHAYA NI MAUZA UZA YA KARNE IRINGA , MJANE AKIMBIA NYUMBA KWA MAUZA UZA YA...
Mali mbali mbali zilizoteketea na kutupwa hapa zikiwa mkaaMwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Beila Kata ya Kwakilosa mjini Iringa Alen Koma koma akionyesha madaftari ya mwanafunzi mtoto wa mjane huyo...
View ArticleUSULUHISHI WA ZIWA NYASSA WAIVA
Msuluhishi wa mgogoro wa mpaka kati ya Tanzania na Malawi, Rais Mstafu wa Msumbiji, Joachim Chissano, ameziita pande husika kwenda Msumbiji kwa ajili ya kupokea taarifa kuhusiana na upatanishi...
View ArticleJ.K KIKWETE ATHIBITISHIA UMMA KWAMBA PSPF IKO IMARA
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Ndugu. Adam H. Mayingu tuzo ya kuwa Mfuko wa kwanza wa Hifadhi ya Jamii Tanzania kutoa...
View ArticleRAIS KIKWETE AMWAPISHA MWENYEKITI WA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA NA MABALOZI...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal na Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe wakiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wapya waliopaishwa leo ikulu jijini Dar es...
View ArticleBALOZI KAMALA AWEKA SAHIHI HATI YA MAKUBALIANO NA SANEC.
Balozi wa Tanzania BANELUX na Jumuiya ya Ulaya Balozi Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiweka sahihi Hati ya Makubaliano na taasisi ya Uholanzi ya SANEC kwa ajili ya SANEC kushirikiana na Ubalozi wa...
View ArticleANGALIA PICHA ZA SHEHA WA TOMONDO- ZANZIBAR ALIYEMWAGIWA TINDIKALI J
\Sheha Mohammed Omary Said aliyemwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana akiwa katika hospitali ya Mnazi Mmoja Unguja akipatiwa matibabu, Sheikh Mohammed amepata maumivu makali sehemu za kifuwa na jicho...
View ArticleANGALIA PICHA YA MAJAMBAZI WAWILI WANUSURIKA KUUAWA MKOANI LINDI
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi,George Mwakajinga akionyesha silaha iliyokutwa kwa majambazi hayo.Jeshi la Polisi Mkoani Lindi linawashikilia watu wawili kwa Tuhuma za Unyanganyi kwa kutumia silaha na...
View ArticleANGALIA PICHA KUTOKA MTWARA JANA KUTOKANA NA VURUGU
Mpaka sasa ni vita baina ya wananchi na maaskari. Mabomu yamesikika pamoja na milio ya risasi masaa 24. Na milio ya Risasi na mabomu inaendelea kusikika.Raia wapatao 7 wameripotiwa kufariki (wengine...
View ArticlePOLISI RUVUMA WAKAMATA TENA PEMBE ZA NDOVU
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Deusdedit Nsimeki akiwaonyesha waandsi wa Habari (Hawapo pichani) Pembe mbili za ndovu miongoni mwa zilizokamatwa zenye Thamani ya Shilingi milioni 38,893,000. Pembe...
View ArticleHATIMAYE DR. SLAA AKUBALIWA KUOANA NA MPENZI WAKE
HATIMAYE Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, imetupilia mbali rufaa iliyokuwa imekatwa na aliyekuwa mume wa Josephine Mushumbusi( KWA SASA NI MCHUMBA WA DR. SLAA) , Maimbo baada ya kuiona rufaa hiyo...
View ArticleLAANA: MCHUNGAJI WA 'TAG' KILIMANJARO ATIWA MBARONI KWA KULAZIMISHA PENZI LA...
KESI ya kutorosha wanafunzi inayomkabili Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies Of God (TAG), Jean Felix Bamana, Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Jumatatu wiki hii ilianza kurindima...
View ArticleASKARI WATUHUMIWA KUBAKA NA KUMUUA MJAMZITO MTWARA
Askari wakiwa lindoni/doriani, Mtwara----------------Hali ya usalama katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani hapa imezidi kuwa mbaya baada ya askari polisi kudaiwa kufanya unyama kwa kuwabaka...
View ArticleUjumbe wa TPA watembelea Rwanda.
Ujumbe wa Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA) uko nchini Rwanda kubadilishana ujuzi na uzoefu na Rwanda kuhusu utekelezaji wa mradi wa kurahisisha na kuwezesha biashara (Trade Facilitation) kwa kutumia...
View ArticleDAKTARI WA MENO KITUO CHA AFYA SABASABA AJINYONGA NA KUFA NDANI YA GESTI...
MWILI wa Dk Anold Limo ukiwa katika chumba cha kuifadhia maiti hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro muda mfupi kabla ya mwili huo kuondolea katika nyumba ya kulala wageni ya Camel Nkomola Kihonda...
View ArticleProfesa Tibaijuka, NHC wavutana
Waziri Tibaijuka Kwa ufupiPia Mahakama hiyo iliamuru Li arejeshwe katika makazi hayo, amri ambayo inamaanisha kuondolewa katika nyumba hiyo kwa mpangaji aliyeingizwa badala ya Li ambaye ni Hulstrom...
View ArticleBalozi Seif amtembelea Sheha wa Shehia ya Tomondo kufuatiwa kumwagiwa tindikali
Sheha wa Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi Mkoa Mjini Magharibi Bwana Mohd Omar Said { Maarufu Kidevu } akielezea mkasa uliompata wa kumwagiwa Tindi kali { Acid } mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa...
View ArticleSERIKALI YAWANYOSHEA KIDOLE WANASIASA
Serikali imesema kwamba imebaini kuwa baadhi ya wanasiasa na taasisi za kiraia wanahusika katika kuhamasisha vurugu zinazoendelea mjini Mtwara.Akitoa kauli ya Serikali bungeni jana, kwa niaba ya Waziri...
View ArticleNAPE ZIARANI UJERUMANI KIKAZI
Nape akisalimiana na baadhi ya viongozi wa SPD kwenye sherehe za miaka 150 ya kuanzishwa kwa chama cha SPD, mjini Leipzig,Ujerumani.
View Article