Mradi wa kuwapatia chakula cha mchana wanafunzi wa skuli ya kusini
Mradi wa kuwapatia wanafunzi wa Skuli ya Kusini iliyopo Makunduchi waanza rasmi kwa majaribio jana. Akizinduwa rasmi mradi huo mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Kusini, ndugu Faida Khamis Ali (wa tatu...
View ArticleSERIKALI YALAANI VIKALI BUNGE KUDHALILISHWA
Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samweli Sitta Akiwa Bungeni leo amelaani vikali gazeti moja kutoka nchi ya jirani kwa kuruhusu picha hapo juu ambayo imelidhalilisha bunge la tanzania.Mh Sitta ametoa...
View ArticleVAN PERSIE AKABIDHIWA KIATU CHAKE CHA DHAHABU
Mshambuliaji wa timu ya manchester united Robin Van Persie Amekabidhiwakiatu cha dhabu akiwa mfungaji bora wa ligi kuu england msimu wa 2012/2013 kwa kufunga magoli 26 Kwa msimu huu.Mchezaji huyo...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MAZISHI YA MWANDISHI MAARUFU WA VITABU NCHINI NIGERIA,CHINUA...
RIP Chinua Achebe..nakikumbuka kitabu cha 'Things Fall Apart'Mmoja wa waombelezaji ambaye ni muuzaji wa vitabu hapo NigeriaRaisi wa Nigeria na Raisi wa Ghana wakiwapungia waombolezajiJeneza lilibeba...
View ArticleANGALIA PICHA ZA AIBU: MUME WA MTU ANASWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI GESTI
INAUMA sana! Wakati wazazi wakihenyeka na wakati mwingine kujinyima ili mabinti zao waweze kupata elimu bora itakayowasaidia maishani mwao wapo wapuuzi wanaokatisha jitihada hizo.Mwanaume mmoja aitwaye...
View ArticleASIYEFANYA KAZI NA ASILE.GANGAMALA
Mfanyabiashara wa kuuza mboga za majani huku mtoto wake akileta vurugu mgongoni mwa mama yake katika Manispaa ya Morogoro akiweka mafungu sawa ya mboga hizo wakati akisubiri wateja wake kando ya...
View ArticleTAARIFA ZA KMICHEZO KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU (TFF
30 TWIGA STARS WAITWA KAMBINIKocha Mkuu wa timu ya Taifa ya wanawake ya mpira wa miguu (Twiga Stars), Rogasian Kaijage amewaita kambini wachezaji 30 ikiwa ni mwendelezo wa kuijenga na kuiimarisha timu...
View ArticleMATUKIO YA PICHA KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO
Mbunge wa Nyamagana Mhe. Ezekia Wenje (CHADEMA), akichangia mjadala wa Hotuba ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa Fedha 2013/2014 Bungeni leo.Mbunge wa Geita Mhe....
View ArticleMCHUNGAJI CHRISTOPHER MWAKASEGE MINNEAPOLIS
Mchungaji Mwakasege akiongea neno la bwana mbele ya wa Tanzania na wa Kenya waishio MinneapolisHa mchungaji Mwakasege akimuombea mgonjwa alie kuwa anasumbuliwa na mgongo kwa muda mrefuMchungaji...
View ArticleNIMEPATA BHATI YA KUKUTANA NA MMILIKI WA HABARI MSETO
BLOG FRANCIS DANDE MMILIKI WA HABARI MSETO KUSHOTO NA JACKSON TESHA MMILIKI WA AUDIFACEJACKSON BLOG WAKIJADILI JAMBO
View ArticleWAKALA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZIMEHIMIZWA KUWEKA MIKAKATI YA KUJIENDESHA KWA...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAISTUME YA UTUMISHI WA UMMATAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIWAKALA NA MAMLAKA ZA SERIKALI ZIMEHIMIZWA KUWEKA MIKAKATI YA KUJIENDESHA KWA FAIDA BILA KUITEGEMEA...
View ArticleMKENYA AMWANDIKIA OBAMA UJUMBE WA UTANI KWA KUTOITEMBELEA NCHI YAO
Obama kuzitembelea nchi za Senegal,South Afrika na Jakaya land ni swala ambalo itawachukua mda mlefu sana kulichukulia poa,toka itoke habari ya Obama kutoenda kenya kwwa stayle tofauti wakenya wamekuwa...
View ArticleMBEGE INATULETA KARIBU,KINYWAJI BORA KWA AFYA
Wadau wetu kutoka arusha wakijumuika pamoja katika kinywaji cha mbege kwa afya zao
View ArticlePICHA KUTOKA MAKTABA YETU : TIMU YA CHUO CHA UHASIBU 2009
Picha hii ilipigwa mwaka 2009 wakati huo nikiwa mwanafunzi wa chuo cha uhasibu arusha.Blogger nikiwa wa kwanza kutoka kushoto waliochuchumaa pamoja na blogger mwingine Ally Salum wa the choise blog...
View ArticleMaalim Seif afungua kongamano la pili la kitaifa la maridhiano
Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia katika ufunguzi wa kongamano la pili la Maridhiano lilolofanyika hoteli ya Bwawani. Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif...
View ArticleMaadhimisho ya miaka 50 ya OAU/AU yafana leo jijini dar
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akimkabidhi Mkuu wa Mabalozi na Balozi wa DRC hapa nchini, Mhe. Juma Khalfan Mpango Mwenge wa Umoja wa Afrika (OAU/AU)...
View ArticleJERRY SILAA AWAASA VIJANA WA CCM KUWA NA UVUMILIVU KUEPUKA VURUGU
Mjumbe wa Kamati Kuu na Halmshauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Mstahiki Meya Manispaa ya Ilala Jerry Slaa akizungumza na wasomi wa vyuo vikuu Iringa ambao ni makada wa CCM katika hafla ya...
View Article