MJUKUU WA HAYATI NELSON MANDELA, MANDLA MANDELA , ASHITAKIWA
Mjukuu wa hayati Nelson Mandela, Mandla Mandela , ameshitakiwa kwa kosa la kumshambulia mtu na kumtisha kwa bunduki.Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya vyombo vya habari nchini Afrika Kusini.Inadaiwa...
View ArticleJESHI LA UG VITANI NA WAASI S.KUSINI
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema kuwa jeshi la Uganda linashirikiana na wanajeshi wa Sudan kusini kupambana na waasi wa Sudan Kusini.Mapigano hayo ambayo yalizuka mwezi uliopita yanaendelea...
View ArticleMAKAMANDA WA JESHI WATIMULIWA NIGERIA
Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan, amewafuta kazi makamanda wake wakuu wa jeshi ,na kufanya mabadiliko ambapo amemteuawa mkuu wake wa ulinzi, wakuu wa majeshi ya anga na majini .Hakuna sababu...
View ArticleTaarifa Rasmi ya CHADEMA juu ya wagombea udiwani Kanda ya Kaskazini(Tanga,...
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO – CHADEMAKANDA YA KASKAZINITarehe 15 Januari 2014, wagombea wafuatao wa CHADEMA walipitishwa na TUME YA UCHAGUZI kuwania nafasi za uwakilishi (UDIWANI) katika maeneo...
View ArticleWaziri aburuzwa mahakamani kwa kosa la kukiuka sheria za ajira
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dkt. Mahongoro Mahanga akitoka katika chumba cha mahakama ya kazi, Tume ya Usuluhishi na Upatanishi wiki iliyopita siku ya Jumanne baada ya kusomewa...
View ArticleMtoto aibiwa katika mazingira ya kutatanisha
Kamanda wa polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na tukio la kupotea kwa mtoto.Na Nathaniel Limu, SingidaMTOTO Meristina Samwel...
View ArticleDar yatangazwa ya 39 sehemu bora za kwenda kutembea duniani
Na Damas Makangale, MOblog TanzaniaJIJI la Dar es Salaam nchini Tanzania ni moja ya majiji maarufu ambalo limepata nafasi ya 39 katika majiji ambayo watu mashuhuri na watalii wanaweza kutembelea...
View ArticleUSAJILI BARANI ULAYA ANDERSON AELEKEA ITALIA KUJIUNGA NA FLORENTINA
Kiungo wa Manchester United Anderson amesafiri kwenda jijini Florence kwa ajili ya kwenda kufanya vipimo vy afya kwa ajili ya kujiunga kwa mkopo na klabu ya Serie A ya Fiorentina. Mbrazil huyo...
View ArticleRVP: MOYES ANAHITAJI MUDA ZAID
Mshambuliaji wa Manchester United, raia wa Uholanzi, Robin Van Persie, amemtetea Kocha wake David Moyes kwa kusema kwamba anahitaji muda zaidi kujenga kikosi imara zaidi na cha ushindi.Manchester...
View ArticleUZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI NDULI ,MSIGWA AOMBA RADHI KWA KUKOSA WATU
Wananchi na watoto wakiwa katika mkutano wa kampeni za chadema kata ya Nduli janaMbunge Msigwa kushoto akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Nduli Ayub Mwemba jana wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa...
View ArticleWAZIRI AZOMEWA MBELE YA PINDA
*Wananchi wadai amewatelekeza muda mrefu*Serikali yaahidi kuwasaka walioua raiaMBUNGE wa Kiteto (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Benedicti Ole Nangoro jana alijikuta...
View ArticleHAKIMU MKAZI WA MFAWIDHI WA MAHAKAMA YA WILAYA YA MBEYA, MICHAEL MTEITE...
Wanaotuhumiwa kwa ujambazi wa kutumia siraha HAKIMU Mkazi wa Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Mbeya, Michael Mteite amewagiza wakili kuhakikisha anampeleka mtuhumiwa mahakamani hata kwa machela....
View ArticleMAKUNDI YA URAIS YAIVURUGA CCM
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.PICHA|MAKTABADar es Salaam. Makundi ya Urais wa 2015 yanaendelea kuivuruga CCM baada ya Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Singida, Mgana Msindai kuibuka na kusema...
View ArticleWATOTO WADOGO WA KIKE WABAKWA
Mtoto aliyebakwa.WIMBI la ubakaji wa watoto wadogo limeendelea, baada ya watu wawili kuripotiwa kuwabaka wasichana wadogo wa kike katika matukio mawili tofauti wiki iliyopita. Huko Mbagala Zakhem,...
View ArticleMKUU WA MKOA WA RUKWA AONANA NA TIMU MAALUUM YA KUHAKIKI MAENEO MAPYA YA...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injinia Stella Manyanya akizungumza na timu maalum inayohakiki maeneo mapya ya utawala kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Pichani kulia na...
View ArticleSHIRIKA LA NYUMBA NHC LATOA MAFUNZO KWA VIKUNDI VYA VIJANA,LENGO NI KUBADILI...
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akizungumza wakati wa maadalizi ya ufungaji wa mafunzo ya vijana wawakilishi wa vikundi kutoka mikoa mbalimbali kuhusu...
View ArticleTFF YANOA MAKATIBU MABORESHO TAIFA STARS
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeandaa semina ya siku mbili kwa makatibu wa vyama vya mpira wa miguu vya mikoa kuhusu maboresho ya timu ya Taifa (Taifa Stars).Semina hiyo inafanyika...
View ArticleREPOTI YA CAG YAMWAJIBISHA MEYA WA MANISPAA YA BUKOBA, ANATORY AMANI
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick S.L. Utouh. akisoma ripoti ya CAG kwenye halmashauri ya mansipaa ya Bukoba leo. Naibu waziri wa TAMISEMI, Mh. Aggrey Mwanri akizungumza...
View ArticleWAZIRI MUHONGO KATIKA WARSHA YA UZINDUZI WA HIGH RESOLUTION AIRBONE...
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akizungumza na wadau wa sekta ya madini (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa warsha ya uzinduzi wa Mfumo wa Utafiti wa Geofizikia data leo jijini...
View ArticleAnusurika kuchinjwa katika ugomvi wa wakulima Wilaya ya Kiteto
Bahati (katikati) akiwa hospitalini na baadhi ya wajeruhiwa wa mgogoro baina ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Kiteto.Picha na Musa JumaKiteto:Bahati ni kweli ana bahati kama jina lake lilivyo...
View Article