PROFESA ELISANTE: MILANGO IKO WAZI KWA VIONGOZI WA VYAMA
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mchezo wa Tennis Tanzania(TTA) Bw. William Kallaghe(kushoto)...
View ArticleIGP MANGU, CHAGONJA WAKEMEA UHALIFU
Na Frank Geofray wa Jeshi la Polisi, Moshi.Jeshi la Polisi Nchini litaendelea kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia na vitendo vya mauaji yanayosababishwa na Imani za kishirikina kwa kuendelea...
View ArticleMSAMARIA MWEMA KUTOKA UINGEREZA ATUMA MISAADA KWA MZAZI WA MAPACHA WA NNE...
Misaada ya hali na mali imeanza kumiminika kwa ajili ya Aida Nakawala (25) mkaazi wa kijiji cha Chiwanda, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya, ambaye alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo...
View Article3 wauawa katika mashambulizi Beirut
Majeruhi wa mashambulizi mjini BeirutKumetokea mashambulio mengine ya mabomu Kusini mwa mji mkuu wa Lebanon, Beirut.Maafisa wa usalama wanasema washambulizi wawili wa kujitoa muhanga walijilipua karibu...
View ArticleWAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NA MATUKIO YA BUNGE LA KATIBA DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba , Saidi Mohamed Mtunda (katikati) na Subira Mgalu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 19,2014. (Picha na Ofisi ya...
View ArticleWATAALAMU CHUO KIKUU WATOA RIPOTI YA UZIMAJI WA MITAMBO YA ANALOJIA AWAMU YA...
1.0 UTANGULIZIMamlaka ya Mawasiliano imepokea matokeo ya tathmini ya zoezi la uhamaji toka mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda kidijiti. Zoezi hili lilifanyika kwenye miji saba kama ilivyotajwa...
View ArticleWANAMUZIKI WATAKAOSHIRIKI TAMASHA LA PASAKA KUPIGIWA KURA NA MASHABIKI
Bw. Alex Msama Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka akizungumzia maandalizi ya tamasha hilo ambapo amesema utaratibu wa kuwapata waimbaji katika tamasha hilo mwaka huu...
View ArticleMAMA ASHA BILALI AJIUNGA NA MFUKO WA HIFADHI YA JAMII WA PPF LEO KWENYE...
Mke wa Makamu wa Raisi Bi Asha Bilali akipata maelezo ya Kujiunga na Mfuko wa hifadhi ya Jamii wa PPF Kutoka kwa Meneja Mahusiano na Masoko wa Mfuko huo wa PPF Bi Lulu Mongere wakati alipofika katika...
View ArticlePrisons yaigagadua JKT Ruvu 6-0
PrisonsMABINGWA wa zamani wa Tanzania, Prisons ya Mbeya jioni ya leo imetoa kisago cha aina yake kwa maafande wenzao wa JKT Ruvu kwa kuitandika mabao 6-0 katika pambano pekee la Ligi Kuu Tanzania Bara...
View ArticleMatukio zaidi mbalimbali mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba
Waziri Mkuu ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe mwenzake (kulia) wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba jana mjini...
View ArticleMatukio zaidi mbalimbali mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba
Waziri Mkuu ambaye pia ni Mjumbe wa Mkutano Maalum wa Bunge la Katiba Mizengo Peter Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe mwenzake (kulia) wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba jana mjini...
View ArticleANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI
GRAPHIC DESIGNER, TANZANIA Qualifications: National Diploma or degree in Design Details:Daily News 10 Feb 2014Deadline: 21 February , 2014SCIENCE EDITOR, TANZANIA Qualifications: Bachelor’s...
View ArticleUKRAINE INAWAKA MOTOOO..
Upinzani huko Ukrain umeapa kutotoka uwanja wa uhuru wanakoendeleza maandamano hayo. Wakuu kutoka umoja wa Ulaya wameshtumu vikali rais wa Ukrain Viktor Yanukovych, kwa makabiliano makali baina ya...
View ArticleMAMA BILALI: WANAWAKE TUJIWEKEE AKIBA
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment, Bi Naima Malima akisoma hotuba ya ufunguzi wa Tamasha.Bila kusahau burudani kutoka THT, ambao waliigiza mahudhui ya Tamasha.Mgeni Rasmi wa Tamasha hilo, Mke...
View ArticleMAHAKAMA KUU KANDA YA IRINGA YATOA ONYO KALI KWA POLISI IRINGA
Jaji Mary Shangali akikagua gwaride la askari Polisi siku ya sheria nchiniJAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Iringa, Mary Shangali amelaani vikali vitendo vya unyanyasaji vinavyofanywa na jeshi la Polisi...
View ArticleKIJANA AUA MAMA YAKE KWA JEMBE HUKO KAHAMA,TUNAOMBA RADHI KWA PICHA
Katika hali ya kusikitisha ,kuhuzunisha na isiyokuwa ya kawaida kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Mwakuhenga wilayani Kahama mkoani Shinyanga amemuua mama yake kwa kumkata na jembe kichwani na...
View ArticleANGALIA PICHA LORI LA MAFUTA LADONDOKA MLIMA SEKENKE LALIPUKA NA KUUWA WATU...
Haya ni mabaki ya mwili wa mmoja ya watu walikuwam kwenye Lori hiloLori la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la milima ya sekenke mkoani singida na kuua watu wanne hapohapo.Chanz cha ajali hiyo...
View ArticleJAJI WEREMA AWATAKA WAJUMBE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUTOCHEZEA TUNU ZA...
Mwanasheria mkuu wa Serikali Jaji Fredrick Werema akizungumza na wajumbe wenzake wa bunge maalum la katiba katikaka viwanja vya bunge mjini Dodoma kushoto ni Dr. Fenella Mukangara Waziri wa Habari,...
View Article