Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI AWAONYA WAFANYABIASHARA

 Waziri wa Fedha, Saada Mkuya amesema Serikali haina mpango wa kubadili ukusanyaji wa kodi kupitia mashine za elekroniki EFDS na kwamba, ipo tayari kupambana na wafanyabiashara wote wanaopingana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA NAFASI YA KAZI MPYA TANESCO

Human Resources Officer - Trainee at TANESCOThe Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzania people. Next to...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA NAFASI ZA KAZI LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Family Day ya wafanyakazi wa TCRA kanda ya Mashariki ilivyonoga

Meneja wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki  inayoundwa na mikoa  mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akiongea  jambo kwa wafanyakazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA, SIMBA ZAINGIZA MIL 100/- VPL

Mechi za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zilizohusisha timu za Yanga na Simba, na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki zimeingiza jumla ya sh. 101,165,000.Yanga ambayo iibugiza Ruvu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI

MTU MMOJA AUAWA KWA KUKATWA PANGA KICHWANI WILAYANI CHUNYA.MTU MMOJA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA WILLIAM HENARD (48) MKAZI WA MAGOGO ALIUAWA KWA KUKATWA PANGA KICHWANI NA MBOZYO SAMSON (40)MKAZI WA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA MBALIMBALI ZA WAZIRI MKUU KUTOKA BUNGENI LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba na Mbunge wa Zamani wa Morogoro, Shamim Khan, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Februari 24, 2014. Kulia ni mbunge wa Sumve...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MUSEVENI AVUNJA UKIMYA KWA MARA YA PILI

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametia saini mswada wenye utata unaotoa adhabu kali kwa watakaopatikana wakishiriki mapenzi ya jinsia moja.Rais Museveni alitia saini mswada huo nyumbani kwake katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk.Shein akutana na Balozi wa Malawi

 Rais wa Zanzibar  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Bi.Flossie Asekanao Gomale-Chidyaonga,aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AMKASHIFU OBAMA KUHUSU KURUHUSU USHOGA UGANDA

Raisi Yoweri Museveni.Rais Yoweri Museveni wa Uganda ametoa matamshi makali dhidi ya Rais Barack Obama wa Marekani akimtaka akome kungilia masuala ya ndani ya Uganda.Matamshi hayo makali yamekuja baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AFTER PARTY YA LADY IN RED YAFANA

Mama wa Mitindo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Fabak Fashions na wandaaji wa onyesho la Lady in Red, Bi. Asia Idarous Khamsin akizungumza na wadau tasnia ya mitindo waliojumuika kwenye After Party ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA USTADHI ALIYEMCHINJA MTOTO JAMALI SALUM L MBAGARA CHARAMBE

mwili wa marehemu mtoto Jamali aliechinjwa na ustadhi mbagala charambe mianziniMtoto Jamal enzi za uhai wakeMarehemu Ustaadhi Ngulangwa ambae ndie aliyefanya unyama huomaiti ya mtoto jamali ikishushwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA NAFASI ZA KAZI KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI IDARA YA...

Kamishna Mkuu wa idara ya Uhamiaji anatangaza nafasi za kazi katika Idara ya Uhamiaji kwenyevyeo vya Koplo na Konstebo wa uhamiaji.A: MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI NAFASI 701. SIFAZINAZOHITAJIKAAwe na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA SEKRETARIETI YA AJIRA 517 ZA KAZI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE SASA HATI YA KUKAMATWA KWA RAIS YATOLEA RASMI!!

Rais wa Ukraine aliyeondolewa madarakani Victor Yanukovych amefunguliwa mashtakaUkraine imetoa hati ya kukamatwa kwa Rais aliyeondolewa madarakani, Victor Yanukovych, Waziri wa mambo ya ndani wa mpito...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAREKANI YACHUKIZWA NA RAISI MUSEVENI KUSAINI MUSWADA WA SHERIA KALI JUU YA...

John Kerry asema Uganda inakiuka haki za binaadamuMarekani haikufurahishwa na hatua ya Uganda kuidhinisha sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja.Waziri wa mashauri ya Kigeni wa Marekani, John Kerry...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kichanga kilichotupwa kipo hai

HUYU ni mtoto aliyetupwa na mama yake mara baada ya kujifungua katika eneo la Mkuzo manispaa ya Songea mkoani Ruvuma hivi karibuni.Mama mzazi wa mtoto huyo anadaiwa kumtupa huku amemuhifadhi ndani ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Angalia Picha Jamii inayoishi na Mamba kama mifugo ya kaida.

Hii ni jamii ya watu wa kijiji cha Bazoule kilichopo nje kidogo ya Mji mkuu wa Burkina Faso.Kwa mujibu wa wanahistoria, jamii hii ilianza kuishi na mamba yapata miaka 600 iliyopita.ANGALIA PICHA ZAIDI   

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA KUANDALIWA KUWA CHACHU YA MAENDELEO YA JAMII

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo        Pro. Elisante Ole Gabriel akifafanua jambo wakati alipokutana na Mkuu wa Kampuni ya TATA Africa Holdings (Tanzania) Ltd...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKONDA: RASIMU YA KATIBA IMEWASAHAU VIJANA

Paul Makonda (kushoto), akibadilishana mawazo na Mbunge Lema.Mimi ni Kijana, ninayoyazungumza,ninayoyafanya yana reflect uhalisia huo. Hivyo kwa wito wa Ujana najikuta nashawishika sana kuongeza...

View Article
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>