Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE ABOOD AMWAGA MISAADA KWA VIKUNDI VYA VIKOBA NA VIJANA MORO

 Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Aziz Abood akitoa jezi kwa wachezaji wa timu ya  maskani Fc iliopo kata ya Mjimpya mjini hapa. Mbunge huyo akisalimia na diwani wa kata ya Mindu Hamis Msasa akiteta...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA NAFASI MPYA YA KAZI TBC

Freelance sales officers (TBC TAIFA).Tbc is a leading public service broadcaster in the region with two televison channels namely TBC1 AND TBC2,and three radio stations TBC TAIFA,TBC FM AND TBC...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA KILICHOTANGAZWA NA TFF LEO - CANNAVARO BADO NJE YA...

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kikosi cha wachezaji 22 kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA dhidi ya Namibia (Brave Warriors) itakayochezwa Machi 5 mwaka huu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RATIBA YA UZIMAJI WA MITAMBO YA UTANGAZAJI YA ANALOJIA AWAMU YA PILI

Ndugu wananchi, napenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa Awamu ya Pili ya Uzimaji wa Mitambo ya Utangazaji ya Analojia itaanza rasmi mwezi Machi mwaka huu. Awamu hii ya Uzimaji inaanza baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJINA YA WAANDISHI WA HABARI 76 WALIOINGIA FAINALI TUZO ZA EJAT 2013 HAYA HAPA.

Over 100 journalists have been picked as nominees for the Excellence in Journalism Awards Tanzania (EJAT) 2013.The names of the nominees were read out by the Pili Mtambalike on behalf of the...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI

WATU WASIOFAHAMIKA WAFUNGA BARABARA KUU YA MBEYA/NJOMBE NA KUPORA MALI ZA ABIRIA WILAYANI MBARALI.WATU WASIOFAHAMIKA MAJINA, MAKAZI, WALA IDADI YAO WAKIWA NA SILAHA ZA JADI MAPANGA, MARUNGU, MAWE NA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA TAIFA YA BASEBALL YAFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA...

Mashindano  ya kwanza kufanyika katika historia ya mchezo  wa baseball hapa Tanzania yamefanyika na kushirikisha timu kutoka mikoa ya Kilimanjaro, Ruvuma, Temeke na Ilala.Mashindano hayo yaliandaliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UWAZI’ LAGAWA ZAWADI KIBAO KWA WASOMAJI GONGO LA MBOTO!

Msomaji aliyejulikana kwa jina la Mama Irene akipewa zawadi na Mr. Uwazi.Binti aliyejitambulisha kwa jina la Nasra akiwa na Mr. Uwazi.Msomaji wa Uwazi, aliyejitambulisha kwa jina la Joel, akipokea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATAYARISHO YA UZINDUZI WA JUMUIYA YA MARADHI YASIYOAMBUKIZA ZANZIBAR

Mratibu wa Jumuiya ya Maradhi Yaasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Omar Abdallah Ali akitoa muhtasari wa majukumu ya Jumuiya yao kwa Wandishi wa habari hawapo pichani katika Ofisi yao Mpendae Mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PIKIPIKI AINA YA HERO DAWN YAZINDULIWA TANZANIA

Mgeni rasmi katika uzinduzi wa aina mpya ya Pikipiki ijulikanayo kwa jina la Hero Dawn Bw. Subhash Patel (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Pikipiki hizo zinazotengenezwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU NA MATUKIO YA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa Bunge Maalum la Katiba nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, Februari 25, 2014. Kutoka kushoto ni Abdallh Sharia  Ameir, Riziki Said Lulida na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABALOZI WAJIATAMBULISHA KWA RAIS DK.SHEIN.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Zambia  nchini Tanzania Bi, Judith Kangoma Kajimpanga aliyefika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA MSIBA UNAVYO ENDELEA NYUMBANI KWA LADY JAY DEE LEO

HII PICHA IMEWEKWA NA PROF J MTANDAONI NA KUANDIKA MANENO HAYA KWA CHININyumbani kwa kina @jidejaydee ambaye amefiwa na dada yake aitwae Lucy...Mwili wa marehemu utasafirishwa kesho kwenda mkoani MARA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAKTARI FEKI AKAMATWA MUHIMBILI LEO

 Leo February 25 Uongozi wa hospitali ya taifa muhimbili kwa kushirikiana na maafisa wake wa usalama wamemnasa daktari feki aliyekuwa akiwatapeli fedha wagonjwa na watu mbalimbali wanaofika kwa ajili...

View Article

ANGALIA VIDEO YA TUNDAMAN ft ALLY KIBA - MSAMBINUNGWA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KAMILI SAKATA LA MADIWANI WA CHADEMA KUJIUZULU SHINYANGA

Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA mkoani Shinaynga kimepata pigo kubwa baada ya madiwani wake wawili katika manispaa ya Shinyanga kutangaza kujiuzulu nyadhifa zao kutokana na madai kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI TANROADS

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAMINISTRY OF WORKS REGIONAL MANAGER’S OFFICE-KILIMANJAROVACANCIES ANNOUNCEMENTTERMS AND CONDITION OF SERVICE:Appointment will be contract terms of two years, renewable...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI UDSM

UNIVERSITY OF DAR ES SALAAMVACANCIESThe University of Dar es Salaam invites applications from suitablyqualified Tanzanians to be considered for immediate employment to fillthe following vacant posts:1....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe amewasili...

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.)  akipokelewa na mwenyeji wake Mhe. wang Yi, Waziri wa Mambo ya Nje wa China mara baada ya kuwasili kwenye  Wizara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFUNGUZI WA MAADHIMISHO YA UTALII WA UTAMADUNI NA KUMBUKIZI YA VITA YA...

-Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Bi M.K Tarishi akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu, kulia ni Kaimu Katibu Tawala wa Ruvuma Bw. Severin Tossi Katibu Mkuu...

View Article
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>