Togolani Mavura ateuliwa kuwa Msaidizi wa Rais (Hotuba)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Togolani I. Mavura (pichani) kuwa Msaidizi wa Rais (Hotuba) kuanzia Februari 8, mwaka huu, 2014.Taarifa...
View ArticleHalmashauri ya Singida yatumia shilingi 89 milioni kugharamia ujenzi wa soko
Naibu waziri Fedha na Uchumi na Mbunge wa jimbo la Iramba magharibi, Lameck Nchemba Mwigullu, akizindua jengo la soko la kisasa la kijiji cha Old Kiomboi wilaya ya Iramba.(Nathaniel Limu).Na Nathaniel...
View ArticleZSSF kuboresha mipango miji Zanzibar
Mkurugenzi wa Kampuni inayojihusisha na mafunzo ya ufundi ya European Erun ya Nchini Uingereza Bwana Ramesh Kumar akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, wa Pili kutoka...
View ArticleMBUNGE AOKOA MAISHA YA DEREVA TAXI ALIYEKUA ANATAKA KUWAWA NA WANANCHI BAADA...
Wananchi wa Tanangozi katika wilaya ya Iringa wakimsaidia kijana mwendesha boda boda asiye na viatu baada ya kugongwa na taxi yenye namba T 6338 AWV mbele Hili ndilo gari lilolomgonga...
View ArticleANGALIA NAFASI ZA KAZI KUTOKA AZAM MEDIA
AZAM MEDIA JOBS FEB 2014COMPANY BACKGROUNDUhai Productions Ltd., a production house based in Dar Es Salaam owned by the SSB group of companies, would urgently like to invite qualified and highly...
View ArticleUZINDUZI WA KAMPENI CCM JIMBO LA KALENGA
Chama cha Mapinduzi leo kinazindua rasmi kampeni kwa ajili ya uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga mkoani Iringa. Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika Ifunda kuanzia saa sita mchana. Mgeni rasmi katika...
View ArticleUNDP YASAIDIA GREDA NA MAGARI MATATU HIFADHI ZA RUAHA NA KITURO
Naibu Mkurugenzi Mkazi wa UNDP, Mandisa Mshologu (Kulia)na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA, Dk Ezekiel Dembe wakisaini hati ya makabidhiano ya msaada wa greda moja na magari matatu aina ya Land Cruiser...
View ArticleTANZANIA SASA MBIONI KUZALISHA MATREKTA
Dar es Salaam. Kampuni ya Equator Suma JKT yenye ubia na Shirika la Uzalishaji mali la Jeshi la Kujenga Taifa, imesaini mkataba na kampuni ya Farmer kutoka nchini Poland utakaowezesha uzalishaji wa...
View ArticleMBUNGE MASELE AWAJENGEA UWEZO WAKINA MAMA LISHE SHINYANGA
Mbunge wa Shinyanga mjini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Madini Ndugu Stephen Masele akizungumza kwenye mkutano na wakina Mama na Baba Lishe wa Shinyanga mjini ambapo aliwasaidia kufungua SACCOS na...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE LAUNCHES IMPROVING BUSINESS ENVIRONMENT LAB
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete, launche Improving Business Environment Lab at Kunduchi Beach Hotel in Dar es Salaam yesterday evening. President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete (Centre seated) in a...
View ArticleEuropa League: 16 viwanjani leo Kombe la Ulaya:: Napoli v Swansea, Tottenham...
Kiungo Jonjo Shelvey ataukosa mchezo wa leo kati ya Swansea dhidi ya Napoli kwenye mchezo wa maruadiano wa Europa League hatua ya 32 baada ya kuumia siku ya jumapili kwenye mchezo wa EPL dhidi ya...
View ArticleKONGAMANO LA VIONGOZI WA DINI LAMALIZIKA MKOANI MTWARA
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akizungumza na viongozi wa dini kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara katika siku ya pili ya kongamano la viongozi hao kuhusiana na rasilimali zetu za...
View ArticleANGALIA NAFASI MBALI MBALI ZA KAZI
Company:Tanga Cement Company LimitedLocation:TangaPOSITION DESCRIPTION:Reporting to: Mechanical Supervisor Qualifications and ExperienceFull Technician Certificate (FTC) in Mechanical Maintenance or...
View ArticleKAMPENI YA UCHAGUZI CHADEMA JIMBO LA KALENGA, IRINGA
Dk. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrfod Slaa akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Kiwele katika mkutano wa kampeni wa uchaguzo mdogo wa jimbo la Kalenga mkoani...
View ArticleNMB YASOGEZA HUDUMA KARIBU ZAIDI KWA WAKAZI WA BARABARA YA MANDELA
Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Bw. Meck Sadick akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Mandela Road . Kwanza kushoto ni Meneja wa NMB kanda ya Dar es salaam , Bw. Salie Mlay...
View ArticleTFF, POULSEN WAKUBALIANA KUVUNJA MKATABA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Kim Poulsen wamekubaliana kuvunja mkataba katika makubaliano ambayo ni siri kwa pande zote mbili.Uamuzi huo umetangazwa leo...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA MTAMBO WA KUHAKIKI TAKWIMU ZA MAWASILIANO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Mtambo wa Kuhakiki Takwimu za Mawasiliano (Telecommunication Traffic Monitoring System) leo February 27, 2014 katika jengo la Mawasiliano Towers...
View Article