DALADALA ZINAZOELEKEA CHUO KIKUU CHA UDOM ZAGOMA KWA SAA NNE(4)
Wakazi wa maeneo ya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) wakiwa wamejazana katika kituo cha Daladala cha Jamatini mjini hapa wasijue cha kufanya baada ya Madereva wa Magari hayo kugoma kwenda njia hiyo...
View ArticleNDEGE WA AJABU WENYE KINYESI CHENYE SUMU WAIBUKA BUKOBA, KINYESI CHATOBOA...
Ndege wa ajabu wakiwa juu ya miti katika Kisiwa cha Musira kilichopo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera. Ndege hao wamezua hofu kwa wakazi kutokana na kinyesii chao kudhuru mifugo na ndege. NDEGE wa...
View ArticleANGALIA PICHA UKATILI DHIDI YA WATOTO BADO NI TISHIO MBEYA
Mtoto Anjela Rashid[4]amechomwa moto mikono yote miwili na baba yake mzazi baada ya kula finyango mbili za nyama zilizopikwa na Baba yake huyoJohn Msumba[3]ambaye amekuwa akipigwa mara kwa mara na...
View ArticleANGALIA PICHA BORA ZILIZOTIKISA MWAKA 2013
Miongoni mwa picha hizo zimo za tukio la kigaidi lililoitikisa Afrika Mashariki, la kuvamiwa kwa jengo la biashara la Westgate, Kenya.Hizi ndizo ‘The most astonishing pictures of 2013’ kwa mujibu wa...
View ArticleANGALIA VIDEO HUYU MLEVI KATOA KALI YA MWAKA,.. AMETAJA SHERIA ZA POMBE
Japo ni kipisi nimekipata, post hii acha imilikiwe na huyu mlevi ambae video yake ni miongoni mwa video zakibongo ambazo watu wanarushiana sana kwenye simu……. jamaa haoni tabu kukupa sheria za pombe
View ArticleAngalia Picha ya mwanaume anaedaiwa akamatwa akijiuza
Hakika kweli dunia imefika ukingoni! Ile Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, bado ipo kazini ikishirikiana na polisi ambapo safari hii imeibuka na kigongo cha aina yake baada ya kumnasa...
View ArticleANGALIA PICHA YA KIJANA ALIYEFARIKI WAKATI AKITAKA KUWEKA REKODI YA DUNIA YA...
Roy akijaribu kujinasua kwa mikono baada ya kuwa amenasa nywele zake.Mchezaji michezo ya hatari amefariki dunia katika harakati zake za kuweka rekodi ya dunia wakati akijaribu kuvuka juu ya mto mmoja...
View ArticleANGALIA PICHA ZA ADHABU YA WABEBA MADAWA YA KULEVYA KABLA HUJATUMIKA
Au wakikuhurumia watakufanya hivi..Ukishikwa China, watakupiga risasi mbele za watu, Ukikamatwa Saudi Arabia, kama mkiwa wengi mtaadhibiwa kwenye kifaa hiki.Kama siku hiyo mpo wachache, au ukiwa peke...
View ArticleANGALIA PICHA YA MTU ALIYEIFADHI MAITI NDANI KWA MIAKA KUMI
A 62 year old retired vice-principal has been arrested by the Imo state police for allegedly killing his mother and hiding her corpse in his house since 2003.Dr. Chimezie Osuigwe was arrested after the...
View ArticleANGALIA PICHA ZA UNYAMA AKATWA MIGUU
ALI Omar, mkazi wa Kijiji cha Mabana, wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumkata miguu Said Iddi kwa kumtuhumu kumfumania na mkewe aliyejulikana kwa jina la mama...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MASTAA WANAPOJUTIA KUWA NA TATTOO
Producer Pharrell Williams alishawahi kukiri kuwa alipata maumivu makali sana wakati anafuta tatto alizochora wakati wa ujana wake na akajutia kitendo hicho. Alikuwa muoga wa magonjwa atakayopata baada...
View ArticleMWANAMKE ANAYE CHUKUA WALEMAVU TANZANIA NA KWENDA KUWAFANYISHA BIASHARA YA...
Citizen TV Kenya wanaripoti kwamba huko Mombasa wamekamatwa watu 26 wenye ulemavu ambao walichukuliwa kutoka Tanzania na Mwanamke Mtanzania ili kwenda kufanya biashara ya kuomba pesa na baadae jioni...
View ArticleANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI CCBRT
Human Resources Advisor (Ref: 11) Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) is a locally registered NGO first established in 1994. It is the largest indigenous provider of...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MNYAMA ANAYE SADIKIKA KUWA NA UMBO KUBWA KULIKO WOTE DUNIANI
MNYAMA huyu wa maajabu mkubwa kupita kiasi alionekana huko Vietnam mwaka 2013. Ni noma..
View Article