ANGALIA PICHA MWANAMKE ALIYECHEZEWA MCHEZO NA KUOLEWA ILI APATE UKIMWI,...
Na Chande Abdallah UKISIKIA simulizi ya Hafsa Ramadhani (19) itakutia simanzi, itakutesa moyo na kukutoa machozi, huwezi kuamini aliingia kwenye ndoa bila kujua kuwa alikuwa akienda kukutana na ugonjwa...
View ArticleANGALIA PICHA YA MATESO ANAYOPATA KIJANA HUYU
Shaggy Sadick mwenye umri wa miaka 18, mkazi waMATESO kila kukicha. Kijana Shaggy Sadick mwenye umri wa miaka 18, mkazi wa Musoma mjini, Mkoa wa Mara yuko katika...
View ArticleMJAMZITO MKAZI WA MOROGORO AJIFUNGULIA GEST MTOTO WA KIUME:
Na Dustan ShekideleMJAMZITO wa miezi saba Bi. Mwanaidi Athumani mkazi wa Chamwino Morogoro hivi karibuni alifanya mchepuko wa kutoka nje ya ndoa na kujikuta akijifungua mtoto wa kiume ndani ya gesti...
View ArticleMTOTO ALIYEKATWA KOROMEO NA BABA YAKE AFARIKI DUNIA
Mtoto Said Siraji akiwa amelazwa hospitalini baada ya kukatwa shingo na Baba yakeMtoto Said Siraji(13), mkazi Majengo Kaskazini wilayani Kahama mkoani Shinyanga aliyedaiwa kukakatwa shingo na baba yake...
View ArticleANGALIA PICHA ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUCHOMWA NA KITU CHENYE NCHA KALI...
Liu Fenghe akiwa hospitali na chuma kichwani.Picha ya X-ray ikionyesha jinsi chuma hicho kilivyoingia kichwani mwa bwana Liu. (Picha: HAP/Quirky China News/Rex)FUNDI majengo Liu Fenghe wa nchini China,...
View ArticleANGALIA PICHA YA SALOON ILIYOKO SINZA..INAYOFANYA MASAJI HUKU IKIJIHUSISHA NA...
AMA kweli shetani anafanya hesabu zake za mwisho! Tangu mwaka 2014 uanze yapo yaliyotokea na kusisimua likiwemo la kunaswa kwa kinara wa utoaji mimba, Dk. Mambo, maeneo ya Kawe, Dar lakini hili la...
View ArticleANGALIA PICHA HATARI ZA MCHEZO WA KUPIGA MBIZI
Paradise: Phi Phi Island in southern Thailand has hosted the final round of the sixth annual cliff diving championship, where the men have just three seconds to performIt looks like the definition of...
View ArticleLAANA : ANGALIA PICHA YA KUTISHA
Picha ya juu ni mwanamke wa kifilipino mwenye umri wa miaka 29 ambaye amekamatwa na polisi kwa kula na kuhifadhi VIUNGO VYA BINADAMU kwenye friji...Mwanamke huyu ameua na kula zaidi ya wasichana 30 na...
View ArticleANGALIA PICHA YA BINADAMU ALIYETAJIRIKA KUFUATIA KUJIBADILISHA MWILI WAKE NA...
Jina alilopewa na wazazi wake ni Erik Sprague, ingawa Ulimwengu unamfaham kama Lizardman, huku akiwa na vipindi zaidi vya Television kibao akionesha jinsi alivyoweza kuubadilisha mwili wake huo....
View ArticleANGALIA PICHA YA NDOA YA AINA YAKE BONGO
Mzee Nkwabi Ngobola Kapimbi (91) baada ya kufunga pingu za maisha na mkewe Maria Mkiwa (78).Mwaka mpya mambo mapya.Katika tukio linaloweza kuitwa kama ndoa ya karne, mzee mmoja mwenye umri wa miaka 91,...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MTOTO WA MIAKA 7 ACHOMWA MIKONO NA MAMA YAKE MZAZI KISA...
Mtoto EMILLY GEORGE[7] Mkazi wa kijiji cha RUANDA wilaya ya Mbeya akilia kwa uchungu maumivu ya vidonda baada ya kuchomwa moto na mama yake mzazi kisa akidaiwa kuiba mayai ya kuku jamani ukatili gani...
View ArticleMIJI 25 HAPA DUNIANI AMBAYO NI HATARI KUISHI, KUTOKANA NA WINGI WA UHARIFU WA...
Lagos, NigeriaAs one of the largest metropolitatn areas in Africa, and the former capital of Nigeria, Lagos has never been known for a high level of personal safety. In spite of some very direct...
View ArticleANGALIA PICHA YA WANANDOA WALIOZALIWA SIKU MOJA, WAFA SIKU MOJA
UKISTAAJABU YA MUSA, UTAYAONA YA FIRAUNI…Wanandoa katika Jiji la California waliozaliwa siku moja na kuoana siku moja miaka 75 iliyopita wamefariki dunia siku moja.Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na...
View ArticlePinks not your color, Mr. President: Obama peruses sweaters at the Gap in...
Presidential visit: President Obama stopped into the Times Square Gap store on Tuesday, much to the surprise of store staff The ladies in his life: Obama looked at several options and said he was t...
View ArticleMalaysia radar detects last sighting of plane
Malaysia’s search for the missing airliner has been expanded into the Andaman SeaMalaysia's military radar detected what could have been the jetliner missing since Saturday in an area in the northern...
View ArticleBUNGE LA LIBYA LAMUONDOA MADARAKANI WAZIRI MKUU
Meli inayoidaiwa kutokomeaBunge la Libya limemuengua madarakani Waziri Mkuu wa nchi hiyo Ali Zeidan, baada ya vikosi vya nchi hiyo kushindwa kuzuia kutoroka kwa meli iliyokuwa imebeba shehena ya mafuta...
View ArticleMH. SAMIA SULUHU MAKAMU MWENYEKITI BUNGE MAALUM LA KATIBA
Mh.Samia Suluhu amekuwa Makamu Mwenyekiti mteule wa Bunge maalum la katiba baada ya kupata kura 390 dhidi ya mpinzani wake Mh.Amina Amour ambae alipata kura 126, sasa hivi bunge maalum la katiba...
View ArticleRAISI WA BAYERN MUNICH AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 3 KWA KUKWEPA KODI
Rais wa Bayern Munich amehukumiwa kwenda jela kwa kifungo cha miaka mitatu na miezi sita kutokana na kosa la kukwepa kodi.Uli Hoeness, 62, alikiri kukwepa kodi inayofikia kiasi cha €18.5 million...
View ArticleGODFREY MGIMWA AWAOMBA WANAKALENGA KUMKOPESHA IMANI, YEYE ATAWALIPA MAENDELEO...
Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Ilandutwa kata ya Mgama Iringa vijijini akiendelea na mikutano mbalimbali...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MATUKIO YA BUNGE LA KATIBA DODOMA
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samia Suluhu Hassan akimkumbatia Mwenyekiti wa Bunge Hilo Samwel Sitta Leo Mjini Dodoma.Picha na Hassan Silayo MAELEZO. Mgombea wa Nafasi ya Makamu...
View Article