HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHE. EZEKIAH DIBOGO...
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI MHE. EZEKIAH DIBOGO WENJE (MB) KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KWA MWAKA WA FEDHA...
View ArticleBALOZI BISWARO AWAPA CHANGAMOTO VIJANA WA STARS!!
Na Boniface WamburaBalozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Joram Biswaro amewataka wachezaji wa Taifa Stars kuhakikisha wanaipeleka timu hiyo kwenye fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwakani nchini...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA ATEMBELEA MGODI WA CHUMA NA MAKAA YA...
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akionyeshwa sampuli mbalimbali za madini ya chuma kwenye kituo kinachofanya utafiti wa awali kuhusu kiwango cha chuma kinachoweza kupatikana kwa...
View ArticleWADAU WA TCAA WAKUTANA DAR
Mdau kutoka kampuni ya Alia aviation consultants Mahmud Shamt(aliesimama)akitoa ufafanuzi. Fadhili Manongi (kulia akiongae) MK wa Bodi Juma Mbwana Juma.
View ArticleTAARIFA ZAIDI KUHUSU MTOTO ALIYEDONDOKA KWENYWE BOMBA LA MAJI MACHAFU
Waokoaji wakivunja bomba la maji taka kumuokoa kichanga huyo.Mtoto mchanga aliyeokolewa kutoka bomba la kupitishia maji taka nchini China amerejeshwa kwa mama yake baada ya maafisa wa polisi kubaini...
View ArticleWatoto wawili wa familia moja wauawa kikatili mkoani Singida baada ya...
Makaburi walikozikwa wanafunzi wawili waliolawitiwa na kisha kunyongwa hadi kufa. (Picha na Nathaniel Limu).Mama mzazi wa watoto waliobakwa na kisha kunyongwa hadi kufa Veronica Nuru mkazi wa kijiji...
View ArticleDiamond afunguka kuhusu Wema, Penny, Jokate, Uwoya, Aunt katika “Take One”
Msanii Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amefunguka kupitia kipindi cha Take One cha Clouds TV, kuwa hana tena mapenzi na aliyekuwa mpenzi wake, mrembo Wema Isaack Sepetu. Akihojiwa na Zamaradi Mketema...
View ArticleBREAKING NEWZZZ : MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YATOKA, YAANGALIE HAPA
BOFYA HAPA KUYAONAMatokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2012 - Link 1Matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2012 - Link 2Matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2012 - Link 3Matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2012 - Link...
View ArticleMwili wa Ngwea watarajiwa kuwasili nchini Jumamosi huku watanzania wakiombwa...
Msemaji wa Kamati ya Kuratibu Mazishi ya Msanii Albert Mangwea aliyefariki nchini Afrika Kusini akiwa katika shughuli zake za kimuziki Adamu Juma (kushoto) akitoa taarifakwa vyombo vya habari kuwa kama...
View ArticleSIKILIZA MJADALA ULIOSABABISHA BUNGE KUHAIRISHWA MCHANA WA LEO HAPA
Za moto moto leo kutoka kwenye tunaloliita Bunge La Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, sintofahamu imetokea ndani ya bunge baina ya wabunge wa Cuf na Chadema, hali iliyopeleka wabunge wa vyama hivyo...
View ArticleRATIBA KAMILI YA MSIBA WA ALBERT MANGWEA
Baada ya kumalizika kwa uchunguzi, uliokuwa ukifanyika katika hospitali ya Hillbrow, mwili wa marehemu Albert Mangwea(Pichani) unatarajiwa kuwasili Jumamosi kwa ndege ya Shirika la Ndege la Afrika ya...
View ArticleRasimu ya Katiba kuzinduliwa Jumatatu, Juni 3 mwaka huu.
Mwenyekiti na Katibu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba na Katibu, Tume ya Mabadiliko ya Katiba Assaa-Rashid.Tume ya Mabadiliko ya Katiba inapenda kuwafahamisha wananchi wote kuwa...
View ArticleAAR WITH THE MINISTER OF INFORMATION, CULTURE ANS SPORTS DR. FENELLE MKUNGARA...
AAR Marketing Manager Tabia Masuddi handling Golf items to the Minister of Information,Culture and sports Dr. Fenella Mkuranga at the Press conference held in Gold towerAAR Marketing Manager Tabia...
View ArticleAjali ya Gari Mtoni Kwa Kisasi Zenzibar
Wananchi wakiwa katika harakati za kumuokoa dereva wa gari aina ya Haice yenye namba za usaji Z 239 DX, inayochukuwa Watalii, kikitokea Kiwengwa na kugongana na gari yenye namba za usajili Z920 CP,...
View ArticleTAARIFA YA UCHUGUZI JUU YA KUTEKWA NA KUUMIZWA KWA ABSALOM KIBANDA HII HAPA
Mhariri Mtendaji wa New Habari (2006) Ltd na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom KibandaTAARIFA YA UCHUGUZI JUU YA KUTEKWA NA KUUMIZWA KWA ABSALOM KIBANDA IMEWASILISHWA NYUMBANI...
View ArticleRAIS AZUNGUMZA NA WANAFUNZI MJINI NANJING JIMBO LA JIANGSU CHINA
Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma Elimu za Juu katika Vyuo Vikuu katika Mji wa Nanjing Jimbo la Jiangsu nchini China,wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa Sofitel Luxury Hotel,katika mazungumzo Rais wa...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AZUNGUMZA NA WANANCHI KATA ZA UKWAMA NA...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa kata ya Iniho Wilayani Makete wakati alipotembelea kata hiyo katika ziara yake ya mkoa wa Njombe leo, Kinana yuko...
View ArticleMZUMBE SECONDARY YAFUNGWA...WANAFUNZI WAPEWA SIKU MBILI WAPOTEE KATIKA...
Wananfunzi wakidato cha kwanza hadi cha sita katika shule ya sekondari Mzumbe Morogoro wamelazimika kuandamana kwenda ofisi ya mkuu wa mkoa wa huo wakishinikiza kuboreshewa huduma muhimu.Maboresha...
View ArticleRAIS KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA WAKIWA KATIKA SAFARI YA KIKAZI -JAPAN
Rais Jakaya Kikwete akiambatana na mke wake Mama Salma tarehe 30. 5.2013 wakitembelea makumbusho ya karakana ya sayansi ya TOSHIBA iliyoko huko Kawasaki karibu na Tokyo nchini Japan inayohusika na...
View ArticleCHADEMA, CUF WAOMBA RADHI BUNGENI MJINI DODOMA LEO.BUNGE LAENDELA NA SHUGULI...
CHAMA cha CUF na Chadema hivi punde Bungeni , vimekubali kuomba radhi kutokana na vurugu zilizosababishwa na CUF yenye mrengo wa Kiliberali na Chadema imemafanya hivyo kutokana na kuihusisha CUF na...
View Article