LADY JAY DEE ATANGAZA KUSITISHA SHOW YAKE YA MIAKA 13 KUFUATIA KIFO YA MSANII...
Baada ya Mwana FA na kupostponed show yake ye The Finest iliyo kuwa ifanyike Ijumaa tarehe 31 nae mwanadada Lady Jay Dee ameamua kufunguka na kutoa maamuzi yake kuhusu show yake ya miaka 13 amabyo nayo...
View ArticleP FUNK ACHARUKA NA KUTAKA NYIMBO NGWAIR ALIZO RECORD KWAKE ZISIPIGWE CLOUDS.
Ufuatao chini ni ujumbe kutoka kwa producer P Funk Majani kwenda kwa DJ Choka na watanzania wote kwa ujumla.Source: DJ Choka Blog
View ArticleMWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA KUZIKWA MOROGORO
KWA MUJIBU WA NDUGU WA MAREHEMU ALIYEKO MKOANI MARA AKIONGEA NA RADIO EA AMESEMA WAO KAMA WANAFAMILIA WAMEKUBALIANA MWILI WA MAREHEMU UZIKWE MOROGORO.R.I.P MANGWEA!
View ArticleDIAMOND: SINA MAPENZI TENA NA WEMA SEPETU
Diamond akiwa katika pozi na mpenzi wake Penny.MSANII anayekimbiza katika anga za Muziki wa Kizazi Kipya, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' leo amefunguka kuwa hana tena mapenzi na aliyekuwa mpenzi...
View ArticleMaafisa 30 wa Jeshi la Magereza watunukiwa nishani
Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jenerali, John Minja akikagua Guard ya Heshima iliyoandaliwa kwa ajili yake kabla ya kuanza zoezi la Uvalisha Nishani kwa Maafisa na Askari wa Magereza toka Mikoa ya...
View ArticleNEEMA KWA WAFANYAKAZI,TAARIFA YA KUPANDA KWA MISHAHARA
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka Wizara ya Kazi na Ajira imetangaza kuongeza mishahara kwa sekta binafsi kwa kati ya asilimia 20 hadi 65, huku ikikusudia kuongeza nafasi za ajira zaidi ya...
View ArticleKAMA ULIKUA HUJUI BASI HII HATARII ILIYOPO KWA SASA KATIKA MUZIKI WA BONGO...
Mziki wa tanzania umeanza kujivalisha sura ya zombiNahic unapoelekea itakuwa ni kunyonyana dam ,7bu kwenye nyumba ya mziki naiona chuki imeshabisha hodi na kuingia ndani ,huyu chuki namuona anajaribu...
View ArticleNAMNA MIKOA YA MTWARA NA LINDI INAVYONUFAIKA NA UTAFUTAJI NA UENDELEZAJI WA...
SHIRIKA LA MAENDELEO YA PETROLI TANZANIANAMNA MIKOA YA MTWARA NA LINDI INAVYONUFAIKA NA UTAFUTAJI NA UENDELEZAJI WA GESI ASILIA1.0 UTANGULIZIGesi asilia iligunduliwa kwa mara ya kwanza hapa nchini...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MAMA LULU, MAMA KANUMBA, LULU NA WENGINE WAKIFANYA SHEREHE...
mama lulu na mama Kanumba wakicheza kwa pamojalulu akicheza na mama zakedada yenu katikatihappy peopletunakula bata mpaka kuku anaona wivuDj anayeongoza kukesha na kula bata mjinitehetehee hatuandiki...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA JAPAN MR.SHINZO ABE
President Dr Jakaya Mrisho Kikwete is received by the Prime Minister of Japan Mr Shinzo Abe for official talks in Tokyo this morning. President Kikwete who is Japan for a working visit is scheduled...
View ArticleMWILI WA ERNEST ZULU WAREJESHWA NYUMBANI
Waombolezaji wakitoa mwili wa marehemu Zulu kuiingiza kwenye gariMwili wa Ofisa Habari Mkuu wa Bunge, Ernest Zulu (56) aliyefariki Mei 23 mwaka huu nchini Malaysia alikokuwa masomoni, umewasili nchini...
View ArticleRAIS KIKWETE KUNUNULIWA NDEGE MPYA BOEING 787
Mwenyekiti wa Good News for All Ministry, Askofu Charles Gadi (katikati) akiwa pamoja na Katibu wake, Mchungaji Palemo Massawe (kulia) na Ofisa Habari wa Taasisi hiyo, Sailas Malula wakionesha mfano...
View ArticleMAONYESHO YA ASASI ZA KIRAIA (AZAKI) MKOANI DODOMA
Sika wa Bunge, Anne Makinda akiweka saini kwenye Kitabu kabla ya kuzindua maonyesho ya siku tatu ya Asasi za kiraia (AZAKI) yanayofanyika katika Viwanja vya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. Kushoto ni...
View ArticleBREAKING NEWZZZ : BUNGE LAAHIRISHWA KUTOKANA NA HOTUBA YA CHADEMA
Naibu Spika Wa Bunge Mh Job Ndugai Amelihairisha bunge mchana huu kabla ya muda wake mara baada ya kutokea mgongano.Hali hiyo imesababishwa na hotuba ya msemaji mkuu wa upinzani bungeni ya ya mambo ya...
View ArticleTAHADHARI LA TISHIO LA MLIPUKO WA UGONJWA WA KUPOOZA (POLIO)
TAARIFA KWA UMMAWizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imepokea taarifa mnamo tarehe 22 Mei 2013 kutoka Shirika la Afya Ulimwenguni, (WHO) ya kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa kupooza (Polio) katika Wilaya...
View ArticleMWILI WA AFISA HABARI MKUU WA OFISI YA BUNGE WAWASILI NCHINI
Mwili wa Marehemu Ernest Zulu, Afisa Habari Mkuu Ofisi ya Bunge umewasili nchini kutoka Malaysia ambako alikuwa akisoma hadi umauti ukamkuta. Heshima za mwisho zitatolewa leo tarehe 30 Mei, 2013...
View ArticleTAARIFA KUTOKA AFRICA KUSINI MUDA HUU KUHUSU MWILI WA ALBER MANGWEA
Taarifa tulizopewa jana mchana ktk mochwari ya Hillbrow hapa Johannesburg, mwili wa Ngwea utafanyiwa uchunguzi leo hivyo majibu yatatoka leo au kesho... s
View ArticleYANGA WAKABIDHIWA SHILINGI MILLIONI 25 ZA ZAWADI YA UBINGWA WA VODACOM NA...
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe kushoto akimkabidhi mfano wa hundi Katibu Mkuu wa Young Africans Lawrence Mwalusako leo katika hafla iliyofanyika katika kiwanda cha bia TBL iIlala...
View ArticleJOSE MOURINHO ASAINI MKATABA WA MIAKA MINNE KUJIUNGA TENA NA CHELSEA
JOSE MOURINHO ni boss mpya wa Chelsea — na hiyo ni rasmi kwa mujibu wa gazeti la The Sun!The Special One ameripotiwa kusaini mkataba mpya wa miaka minne wenye thamani ya £40million jana usiku. Kwa...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MWAKILISHI WETU KATIKA BBA ALIVYOJIACHIA BAFUNI NA DILISH.
Dillish na Nando wakiogaJana (May 29) ilikuwa ni usiku wa tatu katika jumba la big brother Afrika huko Afrika Kusini mengi yanazidi kuonekana na sasa washiriki wengi wanaanza kuonesha side B ya mioyo...
View Article