ANGALIA PICHA BINTI WA MIAKA 25 ASUMBULIWA NA UGONJWA WA AJABU.
Asha Manga anayesumbuliwa na uvimbe kwenye taya unaoendelea kukua kila siku.Asha Manga ,25, mkazi wa Tarafa ya Turiani Wilaya ya Mvomero mjini hapa, anaumwa sana kwani anasumbuliwa na uvimbe kwenye...
View ArticleMtoto mchanga mwenye umri wa mwezi mmoja atelekezwa Dar res Salaam akiwa hai!
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kinondoni ACP, Camillius Wambura, amethibitisha kutokea kwa tukio hiloa ambapo amesema uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea ikiwa ni pamoja na kumtafuta mama mzazi wa mtoto...
View ArticleDominic Nyamisana kuzihukumu Simba, Yanga kesho Taifa
YangaSimbaMWAMUZI Dominic Nyamisana kutoka mkoani Dodoma ndiye anayetarajiwa kuchezesha mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga wakati wakifunga msimu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho kwenye Uwanja...
View ArticleANGALIA NAFASI MPYA YA KAZI KUTOKA SERIKALINI ( TAMISEMI )
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAPRIME MINISTER’S OFFICEREGIONAL ADMINISTRATION AND LOCAL GOVERNMENTTANZANIA STRATEGIC CITIES PROJECT (TSCP)RE-ADVERTISEMENTINVITATION FOR APPLICATIONSNATIONAL CHANGE...
View ArticleIMEBAINIKA NAHODHA WA MELI ILIYOZAMA HAKUWA KWENYE USUKANI WAKATI MELI INAZAMA
Taarifa bado zinazidi kutoka juu ya kile kivuko ambacho kilizama kikiwa na idadi kubwa ya wanafunzi,taarifa zilizopo ni kwamba msaidizi wa tatu wa nahodha wa kivuko kilichozama anayeitwa Sewol ndiye...
View ArticleWAZIRI LUKUVI AWALIPUA CUF.."CUF WANASHIRIKIANA NA UAMSHO"
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, amesema, si makosa raia wa Tanzania kuhofia majeshi ya ulinzi kuchukua nchi ikiwa muundo wa Muungano wa serikali mbili ukibadilishwa na kuwa...
View ArticleSIMBA VS YANGA, AZAM VS JKT RUVU, PRISONS VS ASHANTI
PAZIA la ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2013/2014 linafungwa kesho aprili 19 kwa timu zote 14 kushuka uwanjani katika miji tofauti nchini.Ligi inamalizika kesho wakati timu tatu...
View ArticleKIAMA CHA KIBADENI, MWAMWAJA KESHO DIMBA LA JAMHURI MORO
ABDALLAH Kibadeni au David Mwamwaja, lazima mmoja aishushe daraja timu yake katika dimba la Jamhuri Mkoani Morogoro.Maaafande wa jeshi la Magereza, Tanzania Prisons `Wajelajela` kesho wanahitimisha...
View ArticleRonaldo kuivaa Bayern Munich
RonaldoMSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ana matumaini ya kurejea Jumanne dhidi ya Bayern Munich katika mechi yao ya kwanza ya nusu fainali. "Nina furaha sana. Nilitaka kucheza na...
View ArticleGAZETI LA MAWIO LAPEWA SIKU ZA KUJIELEZA
Serikali imeagiza gazeti la Mawio kueleza sababu za kupotosha na kukejeli nia njema ya serikali kwa wananchi wake kuhusu Hati ya Muungano.Akizungumza jana, Mkurugenzi Idara ya Habari (MAELEZO), Assah...
View ArticleRAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALI HASSANI MWINYI ATEMBELEA BANDA LA MAMLAKA...
Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassani Mwinyi akimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha wakati alipotembelea katika banda la...
View ArticleTAARIFA ZA KIMICHEZO KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TFF
PAZIA VPL LAFUNGWA, AZAM KUKABIDHIWA KOMBE CHAMAZIMichuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inafikia tamati kesho (Aprili 19 mwaka huu) kwa timu zote 14 kuwa viwanjani,...
View ArticleMUUNGANO BADO UKO IMARA – MZEE MWINYI
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi akipokea maelezo kutoka kwa Afisa wa Bunge Bwana Patson Sobha, wakati alipowasili kwenye Banda la Bunge la maonesho ya maadhisho ya miaka 50...
View ArticleMAMA SALMA APOKEA MBIO ZA PIKIPIKI KUADHIMISHA MIAKA 50 YA MUNGANO-ATEMBELEA...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Lindi Mjini na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimsikiliza kwa makini mtoto Idd Omar kutoka katika Kijiji cha Madangwa , kata ya Sudi huko...
View Article