Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AUDIO: SIKILIZA MCHANGO WA PROFESA LIPUMBA ULIOPELEKEA WAJUMBE WA UKAWA...

Badhi ya wajumbe wa Bunge maalum la Katiba walio katika Umoja wa UKAWA   jioni ya leo wameamua kutoka nje wakati wajumbe wakiendelea na majadiliano ya taarifa za kamati ya bunge hilo   kuhusu sura ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA BABA, MAMA WASWEKWA LUPANGO KWA KUMTUPA MTOTO

 Kitoto kichanga kilichotelekezwa na wazazi wake kinyume cha sheria kikiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili.N hali ya kushangaza, lakini ndivyo ilivyo, baadhi ya watu wanasaka watoto lakini wengine...

View Article


ANGALIA VIDEO YA T.ID FT PROF JAY - RAHA.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA AFRICAN BARRICK GOLD

Heavy equipment operator (15 posts)Reporting Line: Shift SupervisorLocation: Buzwagi Gold Mine; Kahama District; Shinyanga RegionWork Schedule: 5 days day shift, 5 days night shift and 5 days...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS)

TANZANIA BUREAU OF STANDARDSEMPLOYMENT OPPORTUNITIESTanzania Bureau of Standards (TBS) is Tanzania’s sole Standards body, formerly established by the Standards Act No. 3 of 1975, which was repealed and...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU MEYA JIJI LA ARUSHA APIGWA VIRUNGU NA MGAMBO WA JIJI

Naibu Meya wa Jiji la Arusha, Prosper Msofe (kushoto) ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Daraja Mbili kupitia CHADEMA na Diwani wa Kata ya Levolosi, Ephata Nanyaro nae kupitia Chadema, wakisubiri kupata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA .AJALI DALADALA YAMGONGA MTEMBEA KWA MIGUU URAFIKI DAR.

 MWANAMKE mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa ni mkazi wa Dar leo asubuhi aligongwa na gari aina ya Toyota Coaster inayofanya shughuli za daladala kwenye barabara za Morogoro jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kisa Gonjwa La Ajabu, Atembea Kwa Mikono Na Miguu

Mzee Petro Bulimi akiwa nyumbani kwake.  Mzee mwenye miaka 72, Petro Bulimi  mkazi wa Kijiji cha Itwimila A, Wilaya ya Magu mkoani Mwanza anatembea kwa kutumia mikono na miguu kufuatia kusumbuliwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mawimbi yatatiza uokozi Korea Kusini

Juhudi za uokozi zinaendelea licha ya hali mbaya ya hewaMawimbi makali na hali mbaya ya hewa baharini imetatiza juhudi za utafutaji na uokoaji wa takriban watu mia tatu baada ya feri ya abiria kuzama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA MELI ILIYOKUWA NA WATU 470 ILIVYOZAMA NCHINI KOREA,WATU 3 MPAKA...

Zaidi ya watu 300 bado hawajapatikana baada ya meli kubwa iliyobeba watu 459 kuzama huko South Korea ambapo sehemu kubwa ya watu waliokuwemo kwenye meli hiyo ni wanafunzi na walikuwa wanasafiri kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAULI YA KWANZA YA MBOWE AFAFANUA UKAWA KUONDOKA BUNGENI

 Mh Aikael Freeman Mbowe akitoa ufafanuzi wa UKAWA kutoka nje ya bunge maalumu la katiba na kutorudi tena bungeni bali kwenda kwa wananchi.Mheshimiwa Mbowe ameeleza jinsi ambavyo bunge linavyoendeshwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MH LUKUVI AJIBU MAPIGO YA WAPINZANI BUNGENI KUHUSU KAULI YA JESHI KUTAWALA NCHI

April 17 2014 Wajumbe walio upande wa (UKAWA) kwenye bunge la katiba wakiongozwa na Profesa Ibrahim Lipumba waligoma na kuamua kutoka nje ya bunge hili hapa Dodoma baada ya Profesa Lipumba kumaliza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKAO CHA 25 CHA BODI YA TAIFA YA PAROLE CHAMALIZIKA LEO JIJINI ARUSHA

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(kulia) akichangia mjadala wakati wa kupitia mapendekezo ya Wafungwa wanaopendekezwa kuachiliwa na mpango wa Parole kabla ya kufungwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA NAFASI MPYA ZA KAZI KUTOKA SERIKALINI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAPRESIDENT’S OFFICEPUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIATRef. Na EA.7/96/01/G/12 16stApril, 2014VACANCIES ANNOUNCEMENTOn behalf of the Centre for Agricultural...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA FFU MBEYA YAFANYA MAZOEZI YA KUKABILIANA NA UHALIFU, MKUU WA...

MKUU wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro na maafisa wa polisi mkoa wa Mbeya wakiangalia mazoezi ya kikosi cha FFU MbeyaMKUU wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiongea na kikosi cha FFU MbeyaMKUU wa Mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA KIJANA NUSURA KUFA BAADA YA KUIBA NGURUWE UKO MOSHI

 KATIKA kuelekea sikuu za Krismasi na Mwaka mpya pilika pilika zimeongezeka katika mji wa Moshi na mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla huku vibaka pia wakiendelea na udokozi na wizi wa vitu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kumbe Wanafunzi waliozama na meli korea kusini walituma msg kwa wazazi kabla.

Meli ya Korea Kusini iliyokua imebeba zaidi ya abiria 460 wengi wakiwa ni Wanafunzi, ilizama kusini mwa pwani ya nchi hiyo siku ya Jumatano asubuhi ambapo mpaka sasa wengi hawajapatikana huko Korea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Baada ya UKAWA kutoka nje ya bunge jana, haya ni ya leo ya Samwel Sitta

Jana April 16 2014 UKAWA wakiongozwa na Profesa Ibrahim Lipumba wakati bunge likiwa katikati waligoma kuendelea nalo na kuamua kutoka nje kwa kile wanachosema ni ubaguzi na matusi pamoja na mapungufu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete akerwa na kitendo cha wanasiasa kumtukana Mwalimu Nyerere

Rais Kikwete akerwa na kitendo cha wanasiasa kumtukana Mwalimu Nyerere....Asema ni utovu wa nidhamu kuwatukana waasisi wa Tanzania

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA FEDHA MWIGULU NCHEMBA AFUTA POSHO ZOTE ZA WABUNGE WALIOSUSIA...

 Naibu Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Lameck NchembaIkiwa ni Siku ya pili tangu Wajumbe wa Bunge la Katiba Kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo,Cuf na NCCR Mageuzi wanaounda kitu kinachoitwa UKAWA...

View Article
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>