MWENDESHA BAISKELI AGONGA GARI NUSURU APOTEZI MAISHA NJOMBE.
Mwendesha Baiskeli ambaye hakukutwa na Mtandao Huu alijigonga Mbele ya Gari Hilo na Kuumia Vibaya Hiyo ndiyo Baiskeli aliyoitumia wakati wa Safari yake hadi Ajali Kumkuta leo Eneo la Luhuji Baadhi ya...
View ArticleWAPENZI WAWILI WATOLEWA TAIRI ZA GARI LAO BAADA YA KUEGESHA KWENYA NYUMBA YA...
Kushoto ni Afisa Mtendaji wa Kata ya Njombe Mjini Bwana Donald Mng'ong'o Katikati ni Mwenyekiti wa Mtaa Kambarage Bwana Pancras Matinya na Kulia ni Afisa Mtendaji wa Mtaa Huo Bi.Telesina Manga...
View ArticleMabenki yatakiwa kuimarisha huduma kwa wateja
Na Othman Khamis Ame, OMPRMabenki Nchini yametakiwa kuimarisha eneo la kuhudumia wateja kwa urahisi na haraka zaidi ili kupunguza malalamiko ya wateja wakati wanapohitaji huduma za fedha ambazo...
View ArticleMACHANGUDOA WAULAANI UJIO WA OBAMA....WANADAI HAUKUWA NA PESA IKILINGANISHWA...
Katika hali ilisiyokuwa ya kawaida, machangudoa wameulalamikia ujio wa Rais Barack Obama kwa kile kinachodaiwa kuwa haukuwa na faida yoyote kwa kukosa dili za pesa." Tumesikitishwa sana na ujio wa...
View ArticleTAMASHA LA MATUMAINI 2013: MASHABIKI MIKOANI WAMIMINIKA DAR!
JB.WAKAZI wa mikoa ya jirani tayari wameanza kumiminika jijini Dar kwa ajili ya kushuhudia Tamasha la Matumaini litakalofanyika Julai 7, mwaka huu katika Uwanja wa Taifa.Gumzo zaidi linalozungumzwa na...
View ArticleTAMASHA LA MATUMAINI WABUNGE SIMBA WAWAONGEZA KAPOMBE, KIEMBA
Amri Kiemba.Na Lucy MginaKISASI! Kisasi! Kisasi! Timu ya wabunge mashabiki wa Simba wameongeza nyota wanne kwenye kikosi chao ambacho kitavaana na kile cha wabunge wa Yanga ili kuhakikisha wanaibuka...
View ArticleMKE WA OBAMA USIPIME AACHA GUMZO DAR
Michelle Robinson Obama akiwa na Mama Salma Kikwete baada ya kuwasili nchini.Na Mwandishi WetuWENGI walitarajia mke wa Rais wa Marekani, Michelle Robinson Obama alivyowasili Bongo juzi angekuwa amevaa...
View ArticleROONEY NA MOYES MEZANI TENA LEO, MATOKEO YASUBIRIWA KWA HAMU NA MASHABIKI WA...
Amerudi: Wayne Rooney alifika katika uwanja wa mazoezi wa Manchester United wa Carrington akiwa na mkoko wake wa nguvu aina ya Range Rover asubuhi ya leoWanakutana chemba tena: Rooney na Moyes...
View ArticleThe Singida Wind East Africa Project Receives Support From President Barack...
Wind East Africa is proud to share a noteworthy development of our Singida Wind project receiving support from President Barack Obama and the White House in the “Power Africa Initiative” launched...
View ArticleFERGUSON HATAKI SHIDA ZA SOKA TENA, AJIPUMZISHA KUANGALIA TENISI!
Akiwasili: Kocha wa zamani wa United kibabu Sir Alex Ferguson akiwasili kutazama TenisiMalejendari wamekutana: Hodgson akisalimiana kwa furaha na sir FergusonFergie akizungumza na bingwa wa zamani wa...
View ArticleSAFARI YA KAPOMBE KWENDA MAJUU YAKWAMA KWA MUDA
kwenda Uholanzi Julai 15 kuanza majaribioAlisema kuwa mawazo yake yote kwa sasa ni kwenye mchezo wa CHAN dhidi ya Uganda kwani wana usongo na timu hiyo ili kuweza kusonga mbele katika mashindano...
View ArticleMkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba afungua mafunzo ya wanawake
MKUU wa mkoa wa Kusini Pemba, Meja Mstaafu Juma Kassim Tindwa, akifungua mafunzo kwa viongozi wanawake juu ya kuwajengea uwezo viongozi hao, katika ukumbi wa Gombani kisiwani Pemba, kulia ni Afisa...
View ArticleBalozi Seif azindua kituo cha huduma cha PBZ Mazizini
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikifungua Kituo cha kutoa huduma cha PBZ sambamba na uzinduzi wa huduma za kusafirisha fedha kwa haraka { World Remit Money Transfer Services...
View ArticleMsaada wa UK hautumiki vyema Afrika
Serikali ya Uingereza inanuia kupunguza kwa asilimia hamsini idadi ya vifo vinavyotokana na Malaria katika nchi kumi ambazo inasaidia ifikapo mwaka 2015.Mawaziri wa Uingereza wanaonya kuwa vyandarua...
View ArticleVyombo vya dola vyashauriwa kutoa fursa sawa kwa vyama vya siasa
Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Upenja, jimbo la Kitope. Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara katika...
View ArticleMiraa kupigwa marufuku Uingereza
Mmea unaotumika sana na unaoaminika kulewesha, Miraa au Khat , huenda ukapigwa marufuku nchini Uingereza kinyume na ushauri uliotolewa na baraza la kuchunguza matumizi mabaya ya madawa ya kulevya...
View ArticleMuda wayoyoma kwa rais Morsi wa Misri
Hali ya taharuki imetanda Misri huku makataa iliyotolewa na jeshi kwa rais wa nchi hiyo Mohammed Mosri ikikaribia kufika ukingoni.Kuna taarifa za kutofautiana kuhusu ikiwa jeshi litatoa taarifa punde...
View ArticleHotuba ya Rais wa Marekani Barack Obama Aliyoitoa Kwenye Dhifa ya Kitaifa...
H.E. President Barack Obama of the United States of America gives his remarks during the State Banquet prepared for him by H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete at the State House in Dar es Salaam.
View ArticleMisri hali ni tete, jeshi ladaiwa kushika madaraka
Rais Mohammed MosriHALI imezidi kuwa tete nchini Misri ikielezwa kuwa Jeshi la nchi hiyo kwa sasa linadhibiti madaraka, baada ya muda wa saa 48 alizopewa Rais Mohammed Mosri kutafuta suluhu ya mgogoro...
View ArticleWANAWAKE 91 WABAKWA KATIKA SIKU NNE ZA MAANDAMANO NCHINI MISRI.
Sehemu ya waandamanaji wakiwa wamekusanyika mitaani mjini Cairo.Idadi ya mashambulio ya udhalilishaji na ubakaji dhidi ya waandamanaji wanawake kwenye Uwanja wa Tahrir nchini Misri imefikia 91 katika...
View Article