WEZI WAVUNJA NYUMBA NA KUJERUHI KIHESA,IRINGA
Ndugu Joel Balama katika picha aliyevunjika mguu baada ya wezi kuvamia katika nyumba yao wanayoishiNa.Lewis Mbonde Vibaka wanne wamevamia nyumba ya bwana Edward Balama usiku wa kuamkia leo hapa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUTURU NA WAKAZI WA KAGERA WILAYA YA MISENYI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wananchi wa Mkoa wa Kagera, baada ya kufuturu nao futari ya pamoja aliyoiandaa katika Kiwanda...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MKUTANO WA BAVICHA DAR LEO
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dr Wilbrod Slaa, akitoa hotuba ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Bodi ya Umoja wa Vijana kutoka Vyama vya Kidemokrasia Duniani (IYDU)...
View ArticleTASWIRA ZAIDI KUFUNGWA KWA MAFUNZO YA JESHI LA POLISI MOSHI LEO
Askari polisi waliohitimu mafunzo, wakionyesha pikipiki inavyoweza kusaidia katika kukabiliana na wahalifu kwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi mh, dr. emmanuel nchimbi aliyekua mgeni rasmi katika...
View ArticleKOCHA MPYA WA BARCELONA ATAMBULISHWA NA KUSEMA FABRIGAS HAUZWI
New man: Martino takes over from Tito Vilanova on a two-year contractBarcelona President Sandro Rosell (left) greets new manager Martino (right) at the Nou CampMartino sees Fabregas as a key part of...
View ArticleMANCHESTER UNITED 2 CWREO OSAKA 2
Last-gasp: Wilfried Zaha celebrates his last-minute equaliser for Manchester United (below)Duel: United striker Danny Welbeck in action as David Moyes' men struggled to a 2-2 drawHead in hands: Shinji...
View ArticleAZAM TV YALIPA BILLIONI 6.5 ILI KUONYESHA MECHI ZA LIGI KUU YA TANZANIA BARA
Badhi ya viongozi wa TFF wakisaini mikataba na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Azam, Said Mohammed (wa kwanza kulia) leo kwenye Ofisi za TFF zilizopo Karume jijini Dar es Salaam.Televisheni ya Azam...
View ArticleAMANDA NA BWANA MISOSI WAMWAGANA
HATIMAYE wale wapenzi waliong’aa hivi karibuni, mwigizaji Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’ na Mbongo Fleva, Joseph Rushahu‘Bwana Misosi’ wanadaiwa kumwagana rasmiHabari kutoka chanzo ambacho ni mtu wa...
View Article"NILIJUA TU KWAMBA WANAFIKI WATAFURAHIA MATESO YANGU"AGNESS MASONGANGE
VIDEO Queen ambaye hivi karibuni alidaiwa kukamatwa na madawa yanayosadikiwa ni ya kulevya ‘unga’ nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’, Agness Gerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa alijua watu wengi watafurahia...
View ArticleMUME NA MKE WAUA MTOTO WAO WAKATI WAKIGOMBANA NDANI..BAADA YA KUUA, MTOTO...
Polisi mkoani Rukwa inawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mtoto wao wakati wanapigana kutokana na wivu wa kimapenzi.Kamanda wa polisi Mkoa Rukwa, Jacob Mwarwanda amesema tukio...
View ArticleRAY C ATANGAZA KURUDI UPYA KWENYE GAME LA MUZIKI.
Mabibi na mabwana mko tayari kwa ujio mwingine wa Ray- C. Malkia wa kiuno bila mfupa Rehema Chalamila aka Ray-C ametangaza ujio wake rasmi baada ya kuwa chimbo kwa kipindi kirefu toka apate matatizo...
View ArticleStaa huyu wa Kenya apata pigo kubwa, Ampoteza baba yake mzazi
Msanii huyu ameamua kuweka maneno yafuatayo katika mtandao kushare hisia zake za upendo pamoja na huzuni kubwa ambayo imempata kwa kuondokewa na baba yake.Habida Moloney, Staa wa muziki kutoka Kenya...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA JESHI LA MAGEREZA TANZANIA BARA
Jeshi la Magereza Tanzania Bara linapenda kuufahamisha Umma kwamba mnamo tarehe 23 Julai, 2013 Maafisa wanne ambao ni Mrakibu Msaidizi wa Magereza Joseph Kimaro, Sajenti Ketto Ramadhani, Koplo...
View ArticleAnaetajwa kumuoa Genevieve Nnaj mwishoni mwa 2013 ni huyu ‘white’
Kwa mara nyingine tena yule staa wa movie kutoka Nigeria Genevieve Nnaj aliepata sifa ya kutunza siri hasa baada ya kuja kujulikana kwamba alificha siri ya kuwa na mtoto wa kike kwa miaka zaidi ya 15,...
View ArticleMUONEKANO MZURI WA WASHIRIKI WA BIG BROTHER KUTOKA TANZANIA WAWASAIDIKIA...
The good looking duo of Feza and Nando has done well to fly the Tanzanian flag high in this season of Big Brother The Chase.This is the ninth week of the game and both Feza and Nando don’t look like...
View ArticleWanawake warefu hatarini zaidi kupata saratani - Utafiti
(image: noblegifts.co.za)Taller women may face a higher risk of many cancers than their shorter counterparts, according to a US study.Researchers looked at a sample of nearly 145,000 postmenopausal...
View ArticleArticle 9
Mtoto mchanga wa siku 28 aibiwa Ilongelo wilaya ya Singida na mwanamke aliyejifanya msamaria mwema.26 July 2013By Admin0 comments Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida ACP Geofrey Kamwela...
View Article