Bill Clinton Azinduwa Mradi wa Ondoa Malaria Zanzibar U
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika uzinduzi huo wa Mradi wa kutokomeza Malaria Zanzibar uliofanyika katika viwanja vya Amaan kwa mchezo wa...
View ArticleUmeme Majanga! Mabwawa yote ya kuzalisha umeme yakauka
Prof. MuhongoWAZIRI wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo amesema takwimu zinonyesha kuwa kwa sasa hamna bwawa lolote la maji ya kuzalisha umeme ambalo lenye maji ya kutosha ya kuzalisha umeme...
View ArticleMakamba awataka viajna kuwania nafasi za uongozi
Mhe. January MakambaNa Suleiman MsuyaMLEZI wa Shirikisho la Vijana wa Vyuo Vikuu wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia January Makamba amewataka...
View ArticleWABUNGE WA VITI MAALUMU WAMVAA SAMWEL SITTA
Akizungumza jana kwenye mkutano wa Chama cha Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), kujadili mchakato wa Mabadiliko ya Katiba, Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Esther Bulaya alisema wanafanya kazi nchi nzima...
View ArticleTAKWIMU YA UKIMWI NCHINI,NJOMBE INAONGOZA
TUME ya Kudhibiti UKIMWI nchini (TACAIDS) imesema mkoa wa Njombe unaongoza kwa kuwa na maambukizi makubwa ya Virusi vya UKIMWI kwa asilimia 14.8 ikifuatiwa na Iringa kwa asilimia 9.1.Mkoa wa Mbeya...
View ArticleDK Shein afutarisha Ikulu
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia) akiwa na Viongozi wakati wa futari aliyowaalika katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar leo usikuMke wa...
View ArticleWaziri Mwinyihaji akutana na Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nje ya Nchi, walipokutana leo katika ukumbi wa Ofisi ya Waziri...
View ArticleUFAFANUZI KUHUSU HABARI ILIYOANDIKWA KATIKA GAZETI LA NIPASHE LA TAREHE 05...
Katika gazeti la Nipashe la leo Jumatatu tarehe 5 Agosti, 2013 toleo Namba 057834 ukurasa wa mbele na wa nne kuna habari inayosomeka "Elimu: Aibu, aibu". Katika habari hii mwandishi anaelezea kwamba...
View ArticleTACAIDS YENDELEA KUJIIMARISHA KATIKA UTOAJI WA ELIMU YA UKIMWI
Afisa Mawasiliano wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) Bi. Glory Mziray akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu hali ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi nchini,katikati...
View ArticleMTANZANIA MWINGINE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA THAILAND
Siku chache baada ya serikali za Tanzania na Thailand kutiliana saini mkataba wa kubadilishana wafungwa na kutekeleza sheria ya vifungo, raia wa Tanzania amebambwa na dawa za kulevya nchini...
View ArticleWANANCHI WAPEWA KICHAPO KIKALI NA MGAMBO BAADA YA KUMUUA PUNDA NA KUMTUPA...
Wakicharazwa viboko na mgambo baada ya kukamatwa. Fimbo hizo ni silaha walizokuwa wakizitumia kukaidi sheria bila shuruti na kujeruhi kila aliyewakaribia huko Chilulumo wilaya ya Momba mkoani...
View ArticleDIAMOND KATISHA MBAYAA...HII NDO VIDEO MPYA AKIWA NA GARI AINA YA FERARRI...
STAA WA BONGO DIAMOND YUKO NCHINI AFRIKA YA KUSINI KIMASOMO NA KIKAZI PIA,SAFARI HII AMEAMUA KU SHOOT VIDEO YENYE GHARAMA ZAIDI IKIWA NI KUJITANGAZA KIMATAIFA ZAIDI JAPOKUWA HADI SASA HAJA ITAMBULISHA...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MWANAUME MLEMAVU ANAYE FANYA KILA MBINU ILI AWE MWANAMKE
Piyah Martell (19), ni raia wa Carifonia nchini Marekani amezaliwa akiwa mwanaume mwenye ulemavu, uliosababishwa na kuwa na kasoro katika uti wake wa mgongo na miguu.Mwanaume huyo anatamani na...
View ArticleTUTAHAKIKISHA KAGAME HAPONI , NI LAZIMA TUMMALIZE KABLA HAJATOROKA"..... HII...
Chokochoko zinazoendelezwa na Rais wa Rwanda, Paul Kagame (pichani) dhidi ya Rais Jakaya Kikwete zimewakasirisha baadhi ya wananchi wakiwemo askari wa Tanzania na wakadai kuwa kiongozi huyo wa Rwanda...
View ArticleFahamu Ukweli Kuhusiana Na Sakata La Dudu Baya Kukamatwa Na Polisi Na...
Msanii mkongwe wa muziki hapa Bongo, Dudu Baya ambaye siku ya jumamosi aliwekwa chini ya ulinzi kwa kosa la kutaka kuchoma nyumba huko Kinodnoni, leo hii amezungumza kwa kirefu kuelewesha watu juu ya...
View ArticleNI AIBU TANZANIA KUWA KITOVU CHA DAWA ZA KULEVYA
Dk. Harrison Mwakyembe.KWANZA kama ilivyo ada tumshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuiona siku ya leo, hakika anatupenda sote na hana ubaguzi.Baada ya kusema hayo tugeukie mada ya leo. Nchi hii miaka nenda...
View Article