Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Syrian opposition chief urges anti-Assad strikes, trial

Ahmad al-Jarba, head of the Syrian National Coalition, told the daily Le Parisien that the West must rid Syria of President Bashar al-Assad and bring him to trial for massacring innocent people.The...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHAMBULIZI LA SILAHA ZA SUMU NCHINI SYRIA, MAREKANI YAIPIGIA MAHESABU SYRIA...

KUFUATIA shambulizi la silaha za sumu lililoua mamia nchini Syria, yaonekana muda wa kutafuta suluhu ya muafaka umekwisha, ambapo Marekani inaona msitari mwekundu umevukwa na inapima uwezekano wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hali ya usalama ya Mogadishu yaibua swali

Ofisa usalama akiwa amesimama karibu na eneo ambalo bomu la kujitoa muhanga lililipuka tarehe 5 Mei katika msafara wa serikali huko Mogadishu ambalo liliua watu 11. Ulipuaji huu wa bomu ni moja ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAASI WA M23 WAANZA KUSALIMU AMRI BAADA YA KUPEWA KICHAPO KIKALI NA JWTZ

 Waasi wa M23 Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema kuwa watasitisha mapigano, kufuatia makabiliano makali na wanajeshi wa serikali wanaoungwa mkono na wanajeshi wa Umoja wa Mataifa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAASI SIO WAZURI, WALIMLENGA MSHALE MAMANGU HUKU WAKIWA WAMEMFUNGA KAMBA...

Gedeon Kyungu Mutanga huwaambia vijana kuwa wanapigania maisha mazuri.BAADA ya muasi mkubwa na anayesifika sana kutoroka jela Katanga, mkoa huo wenye madini chungu nzima uliokuwa thabiti umekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KICHWA CHA MTU ALIYEFARIKI DUNIA KIKIWA NA MIKONO MIWILI YAKUTWA KATIKA OFISI...

JESHI la Polisi Kenya wapo katika uchunguza baada ya kichwa cha mtu aliyeuawa kiliwa kimewekwa nje ya afisi ya mwenyekiti wa tume ya kitaifa ya polisi Johnston Kavuludi jijini Nairobi.Kifurushi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUNDI LA WAASI LA M23 KUSIMAMISHA MAPIGANO KUPISHA UCHUNGUZI WA MAKOMBORA...

KUNDI la waasi wa M23 katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo limesema kuwa linasimamisha mapigano mara moja, kuruhusu uchunguzi juu ya makombora yaliyovuka mpaka na kuanguka katika nchi jirani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LETU LA JWTZ NA MONUSCO LAFANIKIWA KUITEKA NGOME KUU YA WAASI WA M23

FIB Tanzania (special forces in Congo ambayo  ni  sehemu  ya  MONUSCO) imeichukua ngome kuu ya waasi wa M23 ya Kibati (Nyirangongo Territory - Goma, Eastern DRC).Mizinga ya wapiganaji wetu ilirindima...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA ZA MJUSI MKUBWA WA TANZANIA ALIEKO UJERUMANI ANAYETAKA KURUDISHWA

 The governments of Tanzania and Germany will soon strike an agreement for the return to Lindi region of the remains of huge lizard species known as a dinosaur, which were taken to the European country...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEW IDEAS FOR A FAIR GLOBALIZATION IN ALPABCH F

President Jakaya Mrisho Kikwete in a group photo with hosts and participants in the High-level Retreat on "New Ideas for a Fair Globalization in Alpabch, Austria August 30, 2013. To his left is the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MZOZO WA TANZANIA NA RWANDA EAC WAINGILIA KATI

Wakati Tanzania ikisema kuwa iko tayari kukaa meza moja na jirani yake Rwanda kumaliza hali ya uhasama iliyoanza kujitokeza katika siku za hivi karibuni, Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FRANCIS CHEKA NI MOTO WA KUOTEA MBALI.....AMGALAGAZA MMAREKANI VIBAYA MNO NA...

 Mgeni Rasmi katika Mpambano wa Kimataifa wa kuwani Mkanda wa Ubingwa wa Dunia wa WBU,kati ya Mabondia Francis Cheka wa Tanzania na Phil Williams wa Marekani,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA ZA LULU ALIVYO ZINDUA MUVI YAKE KWA MAFANIKIO MAKUBWA WATU...

Msanii wa muziki Lady Jay Dee aka Komando aka Anaconda akituzwa wakati akitoa burudani safi sana katika Uzinduzi wa Lulu ndani  ya Ukumbi wa Mlimani city uzinduzi unaoendelea Muda huuElizaberth Michael...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WATAKA MBIO ZA MWENGE ZIFUTWE

MBIO za Mwenge wa Uhuru nusura ziahirishe shughuli za Bunge baada ya baadhi ya wabunge kutaka zifutwe na hoja hiyo ijadiliwe bungeni.Hata hivyo, suala hilo liligeuka shubiri kwa Waziri wa Nchi, Ofisa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUPER CUP : CHELSEA YACHAPWA NA BAYERN KWA PENATI

Loss: Lukaku looks on after his decisive penalty miss in PragueChampions again: Bayern celebrate the win after Neuer's penalty saveLevel: Javi Martinez (right) scores for Bayern in the last minute of...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA JINSI LULU NA JIDE WALIVYOJAZWA MAHELA KIBAO BAADA YA WIMBO WA...

UIMBAJI stadi wa Wibo wa YAHAYA wa Nguli wa muziki wa Kizaki kipya Lady Jay Dee umemjaza mahela Msanii wa Filamu aliyejizolea umaarufu kwa miaka ya hivi karibuni, Elizabeth Michael ‘Lulu’ wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI DK NCHIMBI AKUTANA NA WATENDAJI WAKUU WA JESHI LA POLISI MAKAO MAKUU...

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja na Kanda Maalumu ya Dar es Saalam ofisini kwake jijini Dar es Salaam . Kushoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUSEVENI AKUBALI KUZIPATANISHA TANZANIA NA RWANDA

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema yuko tayari kuwapatanisha Marais Jakaya Kikwete wa Tanzania na Paul Kagame wa Rwanda baada ya viongozi hao kukaripiana vikali katika miezi ya hivi karibuni. Rais...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI TAREHE 31.08.2013

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA MICHEZO NA BURUDANI

View Article
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>