RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEWA NA GWARIDE LA SUNGUSUNGU WA AUSTRIA
Taswira za askari wa jadi wa jimbo la Tyrol huko Alpbach nchini Austia wakiingia kwa gwaride rasmi lililoandaliwa kwa heshima ya Rais Jakaya Kikwete aliye katika mkutano wa Kamisheni ya Ulaya mjini...
View ArticleWanawake wataka Katiba iainishe usawa
Baraza la Kitaasisi la Wanawake Wanahabari, limesema Katiba mpya iainishe suala la usawa katika nyanja zote za uongozi ikiwa ni pamoja na uongozi wa mihimili mikuu mitatu ya utawala yaani Serikali,...
View ArticleVYAMA VYA SIASA VYAONYWA RASIMU YA KATIBA
MSOMI na mchambuzi mahiri wa masuala ya siasa, Profesa Mwesiga Bareguameonya kuwa uamuzi wa baadhi ya vyama vya siasa nchini kuunda mabarazayao ya Katiba na kutoa mapendekezo ya Rasimu ya Katiba ni...
View ArticleEgyptian army orders tight security after Suez Canal ‘failed attack’
An aerial view taken in 2007 shows the southern entrance of Egypt's Suez Canal. Following a “failed terrorist attack” on a container ship in the Suez Canal on Saturday, the Egyptian army has ordered...
View ArticleKerry asema sarin ilitumiwa Damascus
Waziri wa Mashauri ya Nchi za Nje wa Marekani, John Kerry, anasema Marekani ina ushahidi wake unaoonesha kuwa sarin ilitumiwa katika silaha za kemikali zilizotumiwa kushambulia kitongoje cha...
View ArticleMwanamke ateuliwa waziri mkuu Senegal
Rais Macky Sall wa Senegal amemteua mwanamke kuwa waziri mkuu mpya, masaa tu baada ya kumtoa kazini mwanasiasa aliyemteua aliposhika madaraka mwaka jana.Aminata Touré, waziri wa zamani wa sheria,...
View ArticleMarekani yaiomba Ufaransa iingie vitani Syria
Rais Hollande wa Ufaransa (kushoto) na Rais Obama wa MarekaniKufuatia nchi nyingi za Ulaya kuipa kisogo serikali ya Marekani juu ya uvamizi wa kijeshi dhidi ya Syria, sasa Washington, imeanza...
View ArticleUINGEREZA INAWEZA KUSHAMBULIA SYRIA BILA IDHINI YA UN
Uingereza huenda ikaanzisha mashambulio dhidi ya utawala wa Syria, bila kuungwa mkono na Umoja wa Mataifa.Hayo ni kwa mujibu wa ushauri wa wataalamu wake wa masuala ya kisheria.Ushauri huo unasema,...
View ArticleWAASI WA M23 WAANZA KUSALIMU AMRI BAADA YA KUPEWA KICHAPO KIKALI NA JWTZ
Waasi wa M23 Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamesema kuwa watasitisha mapigano, kufuatia makabiliano makali na wanajeshi wa serikali wanaoungwa mkono na wanajeshi wa Umoja wa Mataifa...
View ArticleANGALIA PICHA FRANCIS CHEKA ALIVYOMGALAGAZA MMAREKANI NA KUCHUKUA UBINGWA WA...
Mgeni Rasmi katika Mpambano wa Kimataifa wa kuwani Mkanda wa Ubingwa wa Dunia wa WBU,kati ya Mabondia Francis Cheka wa Tanzania na Phil Williams wa Marekani,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na...
View ArticleANGALIA PICHA ZA ASKOFU WA KWANZA MWANAMKE KUTOKA AFRIKA
Ellinah Wamukoya ameteuliwa kuwa askofu wa kwanza wa kike wa kanisa la Kianglikana barani Afrika..Ellinah Wamukoya ameteuliwa kuwa askofu wa kwanza wa kike wa kanisa la Kianglikana barani Afrika.
View ArticleRWANDA YAPELEKA WANAJESHI 1700 KUWASAIDIA WAASI WA M23 BAADA YA KUELEMEWA NA...
KIKUNDI cha waasi cha M23 kinachopambana na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kimeripotiwa kupigwa vibaya na kutikisa nguvu za kikundi hicho kutokana na baadhi ya wapiganaji wake...
View ArticleBAADA YA UPIGAJI WA PICHA CHAFU KUONGEZEKA NCHINI, JESHI LA POLISI LATOA...
Jeshi la Polisi Kanda ya Kinondoni limetoa kauli nzito kuhusu picha za udhalilishaji zilinazosambazwa na wasanii na baadhi ya watu hapa nchini..Akiongea katika mahojiano maarumu mkuu wa kituo cha...
View ArticleMandela atoka hospitali
Serikali ya Afrika Kusini inasema kuwa rais wa zamani, Nelson Mandela, ametolewa hospitali ambako amekuwa akitibiwa mapafu tangu mwezi wa Juni.Taarifa katika tovuti ya rais wa Afrika Kusini imeeleza...
View Article