Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Maadhimisho ya Miaka 47 ya Benki ya Watu wa Zanzibar Grand Palace Malindi Zanzibar.

$
0
0

Mshereheshaji katika sherehe za kutimia miaka 47 ya Benki ya Watu wa Zanzibar Chimbeni Kheri Bwana Mashaka akisherehesha sherehe hiyi iliofanyika katika hoteli ya Grand Palace Malindi jana usiku. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Bemki ya Watu wa Zanzibar, akihutubia katika hafla hiyo wakati wa maadhimisho ya kusherehekea miaka 47 ya kuazishwa kwa benki hiyo mwaka 1966, maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Amour akitowa historia ya Benki hiyo wakati wa hafla ya tafrija ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na PBZ kwa wateja wake kusherehekea miaka 47.
Wafanyabiashara na Wananchi wakihudhuria tafrija ya sherehe za miaka 47 ya PBZ wakifuatilia hutuba ya Mwenyekiti wa Bodi.
Wafanyakazi Wastaafu wa Benki ya Watu wa Zanzibar na wafanyakazi wa PBZ wakijumuika katika sherehe hiyo. ya kutimia miaka 47 ya PBZ na kutowa huduma bora kwa wateja wake.
Mkurugenzi Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Bi Viwe Ali Juma katikati akifurahia kwa Benki yao kutimia miaka ya 47 wakati wa sherehe hiyo iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.
Wafanyakazi wastafu wa Benki ya Watu wa Zanzibar wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa PBZ akihutubia katika hafla hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, akikata keki kuashirika kuadhimisha miaka 47 ya Benki hiyo, wakisuhudia Mwenyekiti wa Bodi ya PBZ na Mkurugenzi Mkuu wa PBZ.















Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>