Somalia yakosoa jeshi la Kenya Kismayo
Kufichuliwa kimakosa kwa barua ya siri ya kidiplomasia kumefichua mgawanyiko mkubwa kati ya serikali ya Somalia inayoungwa mkono na mataifa ya Magharibi na nchi za kiafrika pamoja na kikosi cha kulinda...
View ArticleMzozo wa familia ya Mandela watokota
Mjuu wake Nelson Mandela, Mandla , amewatuhumu jamaa zake kuwa na njama ya kutaka udhibiti wa mali ya babu yake rais wa zamani wa Afrika Kusini.Matamshi yake yanakuja baada ya mahakama kuamuru kuwa...
View ArticleMaadhimisho ya Miaka 47 ya Benki ya Watu wa Zanzibar Grand Palace Malindi...
Mshereheshaji katika sherehe za kutimia miaka 47 ya Benki ya Watu wa Zanzibar Chimbeni Kheri Bwana Mashaka akisherehesha sherehe hiyi iliofanyika katika hoteli ya Grand Palace Malindi jana usiku....
View ArticleMWANAFUNZI WA VETA MWENYE MAHITAJI MAALUMU AWA KIVUTIO KATIKA BANDA LA VETA.
Mbunge wa viti maalum Magret Mkanga akikabidhiwa jiko na Range Jackson ambaye ni mwanafunzi mwenye mahitaji maalumu wakati alipotembelea katika banda la VETA, Katikati ni mwalimu wake Kintu...
View ArticleNYUKI WALETA KIZAZA MOROGORO ,WAJERUHI VIBAYA
Mzee mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa amelala chini baada ya kushambuliwa na nyuki katika eneo la stedi ya daladala mkoani morogoro.Zahama hilo lilitokea leo mchana hali...
View ArticleMAMA ADAI WATOTO WAKE WANAZUNGUMZA NA WATU WALIOKUFA...
Billington (kulia) akiwa na watoto wake. Kutoka kushoto ni Lucy, Jadon na Hellen, ambaye yeye hakujaliwa uwezo walionao wadogo zake.Wazazi wengi hupenda kujisifu kuhusu vipaji vya watoto wao, lakini...
View ArticleMWANAUME ASIYE NA PESA HAPASWI KUWA NA WIVU KWA MPENZI WAKE"....JINI KABULA
MSANII wa filamu za Bongo, Miriam Jolwa ‘Kabula’ ameonesha kukerwa na wanaume ambao hawana hela lakini wamekuwa wakijifanya wanajua kupenda sana huku wakiwa na wivu kupitiliza.Akiongea na mwandishi...
View ArticleAnza Weekend yako kwa Kula bata na Skylight Band leo
Kikosi Kazi cha Skylight Band kikitoa burudani kwenye uwanja wao wa Nyumbani Thai Village Juma lililopita na kupata ugeni wa wanafunzi wa Chuo cha IFM.Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo akijituma...
View ArticleWayne Rooney kubakia Man Utd
Karibu kwenye bodi: David Moyes amefanya Mkutano wake wa kwanza na Waandishi wa Habari kama kocha wa Manchester United KOCHA David Moyes amesema kwamba Wayne Rooney hatauzwa na Manchester United na...
View ArticleANGALIA PICHA YA DENTI WA MWAKA WA KWANZA AIBA SIMU NA KUWEKA SEHEMU ZA SIRI.
Tukio hili limetokea huko Nigeria ambapo binti anayesemekana ni wa mwaka wa kwanza alikwenda kutembea katika hostel za wenzake na alipopata mwanya akaiba simu aina ya Black Berry.Hata hivyo baada ya...
View ArticleTOFAUTI SITA KATI YA UBONGO WA MWANAMKE NA MWANAUME.
1. Ubongo wa mwanamke unaweza kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja; mfano kuzungumza kwenye simu na kufuatilia kipindi kwenye TV. Mwanaume hawezi. 2. Lugha: wanawake wanaweza kujifunza lugha nyingi...
View Article50 CENT HUWENDA AKAENDA JELA KWA KOSA LA KUMPIGA MKEWE
RAPA 50 Cent jela inamnukia. Anakabiliwa na mashitaka ya unyanyasaji wa nyumbani baada ya kudaiwa kumshambuilia mpenzi wake wa zamani.Imedaiwa kuwa rapa huyo alifika nyumbani kwa mwanadada huyo huko...
View ArticleSJMC,TASWA KUENDESHA MAFUNZO KWA WAANDISHI HABARI ZA MICHEZO
HULE Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma (SJMC) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) wataendesha mafunzo ya...
View ArticleMwakilishi wa FAO nchini atembelea banda la Umoja wa Mataifa kwenye maonesho...
Mwakilishi wa Shirika la Chakula na Kilimo nchini (FAO) Diana Templeman (katikati) akipata maelezo ya kazi mbalimbali za Shirika hilo kutoka kwa Afisa Habari wa kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa...
View ArticleCameroon yafungiwa na FIFA
Timu ya taifa ya CameroonCameroon imefungiwa kwa muda na FIFA kufuatia serikali ya nchi hiyo kujiingiza katika maswala ya chama cha soka nchini humo.Tangazo la FIFA limesema kwamba kamati ya dharura ya...
View ArticleChelsea wakamilisha usajili wa kiungo wa Uholanzi, Marco van Ginkel
kiungo, Marco van Ginkel kutoka Vitesse akiwa ameshika jezi ya chelseaKlabu ya Chelsea imekamilisha usajili wa kiungo wa Uholanzi, Marco van Ginkel.Kinda huyo wa umri wa miaka 20 anatua akitokea klabu...
View ArticleBancABC yakaribisha Wateja kujiunga na VISA Cash Card ambayo sio lazima uwe...
Baadhi ya wafanyakazi wa BancABC wakisajili wateja wapya wa huduma ya VISA Cash Card ni Kadi ya malipo ya kabla ambayo hupunguza usumbufu wa kubeba fedha usio salama. Ambapo Mteja kuwa na kadi hii si...
View ArticleELIMU YA UZAZI WA MPANGO YATOLEWA KUPITIA ZIFF
Tamasha la Kimataifa la Filamu la Zanzibar (ZIFF) kwa kushirikiana na PSI Tanzania na Shirika linaloshughulikia idadi ya watu duniani (UNFPA) wametoa mafunzo ya afya kupitia jukwaa maalumu la wanawake...
View ArticleMPANGO WA NMB FINANCIAL FITNESS WAENDELEA KATIKA SHULE MBALIMBALI
Dotto Mbwana, mfanyakazi wa NMB Muhimbili akigawa vijarida vya NMB Financial Fitness kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Muhimbili mpango huo ni kwa ajili ya kuwaandaa wanafuzi kupata uelewa wa masuala...
View Article