Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

MAKUBWA HAYA ...HII NDILO JENEZA LENYE KIYOYOZI NDANI, WACHA LILE LA MSUYA LINALOFUNGULIWA KWA RIMOTI.

$
0
0

Hili ni sanduku ya aliyekua Mfalme wa Roma(self-appointed Roma king),Florin Cioaba aliyefariki wiki moja iliyopita kwa mshtuko wa moyo huko Uturuki. Sanduku lake lilikua na Kiyoyozi kama lionekanavyo pichani.

Hivi karibuni watanzania tulishangazwa pale tulipoona sanduku la Billionea wa Arusha ambalo lilikua likifunguliwa kwa 'Remote Control'. Nadhani sanduku hili pia litawashangaza wengi.



Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>