MAKUBWA HAYA ...HII NDILO JENEZA LENYE KIYOYOZI NDANI, WACHA LILE LA MSUYA...
Hili ni sanduku ya aliyekua Mfalme wa Roma(self-appointed Roma king),Florin Cioaba aliyefariki wiki moja iliyopita kwa mshtuko wa moyo huko Uturuki. Sanduku lake lilikua na Kiyoyozi kama lionekanavyo...
View ArticleANGALIA PICHA WAJINYONGA HADI KUFA BAADA YA WAZAZI KUKATAA WASIOANE
Mkasa huu umetokea huko Congo.Wapenzi hawa wawili waliamua kuchukua jukuma la kujinyonga kwa kujininginiza kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wa mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana huyo.Baada...
View ArticleMKE NA MUME WAONESHA SINEMA YA AIBU MBELE YA KADAMNASI
Wawili hao walionesha sinema hiyo ya kushitukiza katika mji wa Bungoma huo Kenya na kusababisha waliokuwa na muda wa kutizama waketi kando wakishibisha macho na masikio yao bila ya kuwaingilia.Sehemu...
View ArticleANGALIA PICHA ZA WATU WANAOBEBA MADAWA YA KULEVYA TUMBONI
Hii ni picha ya x ray inayoonesha ndani ya tumbo madawa aliobeba.Hivi ndio huwa mambo yanavyokuwa kwa wabebaji wa madawa ya kulevya(maarufu kwa jina la Punda) ni hatari sana kwa afya ya Binadamu,...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MAITI ILYOFUKULIWA HUKO INDONESIA
Maiti ikipambwaDuna hii imejaa matukio mengi sana na ya ajabu,huko Indonesia kuna utamaduni ambao si wa kawaida na pengine ni wa ajabu wa kufufua maiti kaburini na kisha kuwapamba upya na kuwavisha...
View ArticleANGALIA PICHA ZA KIJANA ANUSURIKA KUFA BAADA YA KUDHANIWA KUWA NI KIBAKA....
KIJANA HUYO AKIWA HAJAFAHAMIKA JINA KWA HARAKA AKIWA AMELALA BAADA YA KUKATWA MAPANGA HAPA AKIWA AMEDHANIWA KUWA AMEPOTEZA UHAI KIJANA HUYO AKIWA ANAPELEKWA HOSPITALINI KWA MSAADA WA HARAKAKIJANA HUYO...
View ArticleMALI ZA VIGOGO HAWA WA MADAWA YA KULEVYA ZAKAMATWA
VIGOGO 111 wanaosadikiwa kujihusisha na biashara yharamu ya madawa ya kulevya nchini wameanza kuonja 'joto ya jiwe' kufuatia Jeshi la Polisi Tanzania Kitengo cha Kudhibiti na Kupambana na Madawa ya...
View ArticleAngalia Picha za Mtoto aliyezaliwa na kilo nyingi zaidi huko Ujerumani
Kikubwa zaidi mtoto huyo alizaliwa kwa njia ya kawaida. Mama wa mtoto huyo anaendelea vizuri.Ujerumani imepata mtoto mpya anayeshikilia nafasi ya kwanza kwa kuzaliwa na uzito mkubwa zaidi.Jasleen...
View ArticleWANAUME HUPENDA KUOA MWANAMKE WA AINA HII
Habari za wiki hii mpenzi msomaji. Mimi namshukuru Mungu kwa kuweza kunikutanisha na nyinyi kupitia safu hii ambayo pamoja na mambo mengine nazungumzia juu ya mada mbalimbali ambazo zinagusa maisha...
View ArticleMWANAMKE MWENYE MIAKA 19 ANAYE SHITAKIWA KWA KUFANYA MAPENZI NA MTOTO WA MIAKA 9
Mtuhumiwa Jalissa D. BaezJalissa D. Baez mwenye umri wa miaka 19 mwangalizi wa watoto huko Berks Pennyslvania,anatuhumiwa kwa kesi ya kufanya...
View ArticleMarekani yaadhimisha miaka 50 ya maandamano kuelekea Washington
Maelfu na maelfu ya watu wakusanyika Washington kuadhimisha nusu karne tangu Martin Luther King Jr kutoa hotuba ya kihistoria "I Have a Dream" kupigania haki za kiraia.
View ArticleUNYAMA HUU NI HATARI TUUPINGE VIKALI
Bwana Elia Daudi Mwalonde mkazi wa Uyole ambaye ni miongoni mwa waliokuwa wakijiuguza majeraha katika Hospitaliwodi namba 1 baada ya kupigwa nondo .Kehinde Adesamuye, 39, mkazi wa Lagos, Nigeria...
View ArticleObama: 'I Have Not Made a Decision' on Syria
President Barack Obama said he had not yet made his decision regarding a U.S. strike on Syria during an interview with PBS NewsHour senior correspondents Judy Woodruff and Gwen Ifill. The president...
View ArticleOBAMA AHUTUBIA MAELFU WASHINGTON..;
Rais Barack Obama, Mkewe Michelle Obama, marais wa zamani Jimmy Carter na Bill Clinton Agosti 28, 2013Akizungumza na maelfu ya watu waliohudhuria maadhimisho ya miaka 50 tangu maandamano ya kutetea...
View ArticleAngalia Picha mbalimbali za Maadhimisho ya miaka 50 ya March in Washington
Marekani wameadhimisha miaka 50 tangu kufanyika kwa maandamano makubwa ya kudai haki za watu weusi. Katika maadhimisho hayo, kamera ya swahilivilla blog iliegeshwa kando ya mlango wa kuingila na...
View ArticleZAIDI YA WATU 50 WAUAWA KWA BOMU IRAQ
Mashambulizi kadhaa ya mabomu yametokea nchini Iraq na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 50 na mamia kujeruhiwa. Polisi nchini humo wanasema kuwa mashambulizi hayo yalilenga ngome za Waislamu wa...
View ArticleMAZUNGUMZO YA AMANI KATI YA PALESTINA NA ISRAEL YAAHIRISHWA
Mazungumzo ya amani kati ya Palestina na Israeli yaliyokuwa yamepangwa kufayika siku ya Jumatatu yaliahirishwa katika dakika za lala salama baada ya raia watatu wa Palestina kupigwa risasi na kuuawa...
View ArticleKenya, Uganda, Rwanda plan rail link in 2018
President Kagame and President Museveni joined President Kenyatta to Officially commission the Mombasa Port Berth Number 19 at Kilindini HarbourMOMBASA – A railway that runs from Kenya to Uganda will...
View ArticleObama: Chemical weapons allegation in Syria ‘of grave concern’
U.S. President Barack Obama has long warned Syria. He said Damascus would “cross the red line” if it uses chemical weapons in its battle against the country’s rebels. New allegations of chemical...
View Article