Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

ANGALIA PICHA WAJINYONGA HADI KUFA BAADA YA WAZAZI KUKATAA WASIOANE

$
0
0


Mkasa huu umetokea huko Congo.
Wapenzi hawa wawili waliamua kuchukua jukuma la kujinyonga kwa kujininginiza kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wa mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana huyo.
Baada ya jitihada zao za kuwashawishi kushindikana basi waliamua kuchukua hatua hiyo ya kujinyonga....Wazazi tuwe makini na maamuzi yetu mbele ya watoto

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>