Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

KINANA APOKEA UVCCM 120 NJOMBE

$
0
0
1._Vijana_wakila_kiapo_baad_ya_kupewa_kadi_za_UVCCM_a2959.jpg
Vijana kati ya 120, waliojiunga na UVCCM kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu, mkoani Njombe, wakila kiapo baada ya kupewa kadi zao na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, mjini Njombe, Desemba 7, 2013.
Kinana_akikabidhi_kadi_ya_UVCCM1_1_34073.jpg
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdultahman Kinana akimkabidhi kadi ya UVCCM Lonic Mwaijande, alipotoa kadi kwa wanachama wapya 120 wa UVCCM kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu, leo mwishoni mwa ziara yake mkoani Njombe. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Deo Sanga

Kinana_akizindua_CM_ya_Vijana_1_7a148.jpg
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua CD za kundi la Vicheko, wakati wa hafl y kukbidhi kadi za UVCCM kwa vijana kutoka vyuo vya elimu ya juu mkoani Njomb

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>