IBADA YA MAOMBI KILA KONA AFRIKA KUSINI
Johannesburg. Afrika Kusini, jana ilitawaliwa na ibada na maombi yaliyofanyika katika makanisa mbalimbali kuliombea taifa, baada ya kifo cha Rais wa Kwanza mzalendo, Nelson Mandela.Rais Jacob Zuma...
View ArticleANGALIA PICHA: HAWA NDIYO WATOTO WAKIKE WA MAREHEMU NELSON MANDELA.
Mandela's daughter Makaziwe MZindzi Mandela seen leaving her hotel on December 6, 2013 inLondonandela-Amuah, centre, and her daughters Tukwini and Ndileka, right,
View ArticleSIKU MANCHESTER UNITED ILIPOSHUSHWA DARAJA
Ni mashabiki wachache wa Manchester United wanaikumbuka siku ile ambayo timu yao ilishushwa daraja. Ilikuwa msimu wa 1973/74 na mechi ya mwisho ya ligi ilikuwa tarehe 27 Aprili 1974. Kwa mashabiki wa...
View ArticleISRAEL YAZINDUA SAFARI ZA KULETA WATALII KUJA TANZANIA , KUNDI LA KWANZA...
Baadahi ya watalii kutoka Israel wakifanyiwa ukaguzi katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro (KIA) kabla ya kupanda ndege kurejea kwao Isreal.Mkurugenzi wa kampuni ya utalii ya Safari company ya nchini,...
View ArticleANGALIA RATIBA YA KOMBE LA FA
Mechi kali; Arsenal itamenyana na Tottenham Uwanja wa EmiratesKLABU ya Arsenal imepangwa na wapinzani wao wa London Kaskazini, Tottenham katika Raundi ya Tatu yaKombe la FA.Manchester City watasafiri...
View ArticleRAIS JK AWASILI UWANJA WA UHURU KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHURU
Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika hivi punde.Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa sasa amewasili katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es...
View ArticleKINANA APOKEA UVCCM 120 NJOMBE
Vijana kati ya 120, waliojiunga na UVCCM kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu, mkoani Njombe, wakila kiapo baada ya kupewa kadi zao na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, mjini Njombe, Desemba 7, 2013....
View ArticleSIMULIZI ZA MZEE MADIBA: NYERERE ALIMSAIDIA MANDELA ASAFIRI KAMA MTANGANYIKA
Na Maggid Mjengwa,Ndugu zangu,Simulizi za Mzee Madiba zinaendelea. Ikumbukwe, kuwa Mandela alifika Dar es Salaam kwa mara ya kwanza mwaka 1962. Na wakati huo Mandela hakuwa Rais wa ANC. Rais wa ANC...
View ArticleHELIKOPTA YATUA UWANJANI BRAZIL KUBEBA MAJERUHI
HELIKOPTA ilitu uwanjani kubeba majeruhi baada ya kutokea vurugu katika mechi ya soka Brazil jukwaani baina ya mashabiki.Mchezo kati Atletico PR na Vasco da Gama, ulisimamishwa Jumapili baada ya...
View ArticleSIMULIZI ZA MZEE MADIBA: MANDELA ALIPOMWOKOA MWAJIRI WAKE WA ZAMANI UWANJA WA...
Na Maggid Mjengwa,Ndugu zangu,Kabla ya kuendelea na simulizi tupeane bashraf japo kwa uchache. Neno bashraf lina maana ya mrejesho.Naam, ikumbukwe, kuwa Mandela alifika Dar es Salaam kwa mara ya kwanza...
View ArticleSIMULIZI ZA MZEE MADIBA: SIKU MANDELA ALIPOKUTANA NA ' SIMBA WA YUDAH'
Na Maggid Mjengwa,Ndugu zangu,Kwenye safari yake ya kwenda Ethiopia tumeona, kuwa Nelson Mandela alitua kwanza Kharthoum. Basi, akiwa pale Sudan, baadae akaelekea Ghana. Kule Ghana Mandela alikutana na...
View ArticleMWENYEKITI WA NEC ATOA UFAFANUZI KUWA TUME IKO HURU
Na Magreth KinaboMwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) Jaji Mstaafu Damian Libuva ametoa ufafanuzi kuwa tume hiyo iko huru na si kweli kwamba haiko huru kama inavyonukuliwa katika baadhi ya...
View ArticleJACOB ZUMA NA WAKE ZA MANDELA WINNIE NA GRACA WATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA...
Gari maalum lililobeba mwili wa Marehemu Mzee Nelson Mandela likitokea Hospitalini na msafara kuelekea sehemu maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya watu maarufu kutoa heshima za mwisho.Raia wa Afrika...
View ArticleANGALIA PICHA ZAIDI ZA JENEZA LA MWILI WA NELSON MANDELA LIKITOLEWA HOSPITALI...
Tribute: Military officers carry the casket of former president Nelson Mandela into the Union Buildings in the South African capital Pretoria, the seat of government where he will lie in state for...
View ArticleCHAMPIONS LEAGUE: ARSENAL APIGWA 2-0, CHELSEA ASHINDA, BARCA YAUA
Chelsea 1-0 Steaua BucurestiSchalke 2-0 Basel Napoli 2-0 ArsenalMarseille 1-2 Borussia DortmundBarcelona 6-1 CelticAC Milan 0-0 Ajax Atletico Madrid 2-0 PortoAustria Wien 4-1 Zenit PetersburgTIMU...
View ArticleMALKIA MAXIMA WA UHOLANZI AWASILI NCHINI
Malkia Maxima wa Uholanzi akiwa amefuatana na Mwenyeji wake Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mama Salma Kikwete mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
View ArticleWANAOSAJILI NAMBA ZA SIMU KWA MAJINA BANDIA KUKIONA
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa Serkali imewaonya kuwa itawachukulia hatua watu wanaosajili namba za simu kwa kutumia majina kwa kuwafunga miezi sita jela au...
View Article