Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

MAMASALMA AMPOKEA MALKIA MAXIMA WA UHOLANZI NA BAADAYE AHUDHURIA DHIFA YA KITAIFA ILIYOANDALIWA NA RAIS DKT. JAKAYA KIKWETE.

$
0
0
IMG_0294Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Maxima wa Uholanzi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere tarehe 11.12.2013.
IMG_0299Malkia Maxima wa Uholanzi akipokea ua kutoka kwa kijana mara  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kuanza ziara ya siku 3 nchini Tanzania.IMG_0304Malkia Maxima akiongozana na mwenyeji wake Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakiangalia ngoma mbalimbali za utamaduni zilizokuwa zikicheza wakati wa mapokezi ya mgeni huyo Uwanja wa ndege tarehe 11.12.2013.
IMG_0311Malkia Maxima akiongozana na mwenyeji wake Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakiangalia ngoma mbalimbali za utamaduni zilizokuwa zikicheza wakati wa mapokezi ya mgeni huyo Uwanja wa ndege tarehe 11.12.2013.
IMG_0364Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na Malkia Maxima wa Uholanzi mara baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere tarehe 11.12.2013.IMG_0603Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimkaribisha Ikulu, Malkia Maxima wa Uholanzi ili kuhudhuria dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na Rais Dkt. Jakaya Kikwete tarehe 11.12.2013.
IMG_0609Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu, Malkia Maxima wa Uholanzi kwa ajili ya mazungumzo na dhifa ya kitaifa aliyomwandalia mgeni huyo tarehe 11.12.2013.IMG_0710Malkia Maxima wa Uholanzi akigonganisha glass/cheers na Rais Dkt. Jakaya Kikwete na Mama Salma wakati wa dhifa ya kitaifa ambayo walimwandalia mgeni huyo huko Ikulu tarehe 11.12.2013.
PICHA NA JOHN  LUKUWI

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>