Meneja wa vipindi wa Africa Media Group,Nicky Ngonyani (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati walipoingia makubaliano ya kuonesha vipindi vya Channel Ten kupitia DSTV,mkataba huo utawawezesha watanzania wote nchini kupata nafasi ya kuona vipindi vya channeli ten kupitia mfumo wa digitaliwa DStv (kulia) Meneja Ufundi wa Africa Media Group, Augustino Maganga (kushoto) Meneja Uhusiano wa Multchoice, Barbara Kambogi.
Meneja Uhusiano wa Multchoice, Barbara Kambogi, akifafanua kuhusiana na vipindi vya DStv wakati wa hafla hiyo.
Meneja Ufundi wa Africa Media Group, Augustino Maganga (kulia) Meneja wa vipindi wa Africa Media Group,Nicky Ngonyani (katikati) Meneja Uhusiano wa Multchoice, Barbara Kambogi.wakiwa wameshikana mikono kwa pamoja mara baada ya kusaini makubaliano yatakayowezesha vipindi vya televisheni ya Channel Ten kuonekana kupitia DStv,
Wadau wa habari wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada kumalizika kwa hafla hiyo.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM