BASI LA BURUDANI LILILOKUWA LINATOKA WILAYANI KOROGWE LIKIELEKEA DAR ES...
Habari zilizotufikia hivi punde, basi la Burudani likiwa limejaza watu wengi kutoka wilayani Korogwe kuelekea Dar es Salaam, limepata ajali maeneo ya Michungwani, wilayani Handeni mkoani Tanga. Idadi...
View ArticleMSANII SAIDI WA NGAMBA A.K.A MZEE SMALL BADO YU HAI, AMLAANI ALIYEMZUSHIA MAUTI
Courtesy of Bongo5Mzee Small akiwa na familia yake
View ArticleANGALIA NAFASI ZA KAZI KUTOKA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA
Institute of Accountancy Arusha P.O. Box 2798, Njiro Hill, Arusha, Tanzania Telephone: 255 27 254 9605 / 254 9606 / 250 1416 / 250 6096 Fax: 255 027 254 9421 Telex: 50009 IAA TZ: Email: iaa@iaa.ac.tz...
View ArticleTido afiwa na mama yake mzazi
Mama mzazi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Tido Mhando, Jessie (85), amefariki dunia Chang'ombe jijini Dar es Salaam kwa ugonjwa wa moyo.Akizungumza jana...
View ArticleMZEE WA MATUKIODAIMA AWEKA REKODI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO ,WANAHABARI...
Mmiliki wa mtandao wa matukiodaima kulia akipunga mkono sanjari na mwandishi wa Mjengwa Blog na Kwanzajamii baada ya kuweka rekodi ya aina yake kwa wanahabari Iringa kwa kupanda mlima Kilimanjaro...
View ArticleMHE. NDUGAI AKERWA NA UNYANYASAJI WA WAKULIMA UNAOFANYWA NA WATENDAJI KUTOKA...
Mbunge wa jimbo la Kongwa mkoani Dodoma, ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, akihutubia mamia ya wakulima huko Kibaigwa mkoani humo Jumatano Desemba 11, 2013. Ndugai akiwakilisha wabunge...
View ArticleMKALIMANI WA LUGHA YA ALAMA KWENYE IBADA YA MANDELA UTATA MTUPU.
Mkalimani wa lugha ya alama aliekuwa akitafsiri maelezo mbalimbali pia hutuba ya Rais Obama kwenye Ibada maalumu ya hayati Mandela inadaiwa kwamba hakutumia alama zinazo tambulika mahala popote...
View ArticleANC WALAANI ZUMA KUZOMEWA, WANANCHI WADAI ALISTAHILI HILO
Na Neville Meena, MwananchiJohannesburg.Chama Tawala cha Afrika Kusini, Africa National Congress (ANC) kimekasirishwa na kuzomewa kwa Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma wakati wa Ibada ya kitaifa ya heshima...
View ArticleAZIMIO LA KUWATAKA GHASIA, MWANRI NA MAJALIWA KUJIPIMA LAPITISHWA
.Bunge limepitisha azimio la kuwataka mawaziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), kujipima iwapo wanatosha kuendelea kuongoza wizara hiyo nyeti.Azimio hilo...
View ArticleSERIKALI, TUME YA UCHAGUZI WAVUTANA
Na Raymond Kaminyoge, MwananchiWakati Serikali ikisema Daftari la Kudumu la Wapigakura litaboreshwa kwa ajili ya kura za maoni ya Katiba Mpya, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema haina mpango huo...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI MAKTABA YA SHULE YA MSINGI MZIMUNI ILIYOKO...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia wanafunzi na walimu wa shule ya Msingi Mzimuni pamoja na wananchi wa eneo hili wakati wa sherehe za uzinduzi wa Maktaba ya shule hiyo tarehe 11.12.2013.PICHA...
View ArticleMAMASALMA AMPOKEA MALKIA MAXIMA WA UHOLANZI NA BAADAYE AHUDHURIA DHIFA YA...
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Maxima wa Uholanzi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere tarehe 11.12.2013.Malkia Maxima wa Uholanzi...
View ArticleCHANNEL TEN SASA KUONEKANA DSTV
Meneja wa vipindi wa Africa Media Group,Nicky Ngonyani (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati walipoingia makubaliano ya kuonesha vipindi vya...
View ArticleSOLLY MAHLANGU ‘OBRIGADO’ KUOMBELEZA KIFO CHA MANDELA UWANJA WA TAIFA
Na Makuburi AllyWAKATI siku za Tamasha la Krismasi zikikaribia, Muimbaji mahiri anayeshika kasi katika anga la muziki wa Injili barani Afrika, Solly Mahlangu anatarajia kuombeleza kifo cha aliyekuwa...
View ArticleAJALI TENA MORO : LORI LAACHA NJIA NA KUTUMBUKIA MTARONI
Lori la mafuta aina ya Scania lenye namba za usajiri T772 BAZ limetumbukiakwenye mtaro eneo la Kihonda barabara kuu ya Morogoro Dodoma baada ya dereva wa Lori hilo kushuka na kuliacha gari hilo bila...
View ArticleLOWASSA ANUSURIKA KATIKA AJALI YA NDEGE YA UWANJANI ARUSHA LEO
Habari zimetujia sasa hivi zinasema abiria kadhaa akiwemo Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa wamenusurika kifo, baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kupasuka matairi yote...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AWAJULIA HALI WAZIRI WA FEDHA WILLIAM MGIMWA NA OFISA...
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtembelea Waziri wa Fedha, Mheshimiwa William...
View ArticleSIMBA YAMALIZANA NA IVO MAPUNDA NA BEKI DONALD MOSOTI OMWANWA
Simba pia imemsainisha beki wa kati wa Gor Mahia Donald Mosoti Omwanwa,amesaini mkataba wa miaka miwili mbele ya katibu mkuu wa Simba Evodius Mtawala.Donald Mosoti Omwanwa..... Ivo Mapunda akisaini...
View Article