Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

ALEX MSAMA:SOLOMON MAHLANGU KUTOKA AFRIKA KUSINI KUTUA KESHO

$
0
0
1Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa tamasha la Krismas Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam wakati alipoelezea maandalizi ya tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika siku ya sikukuu ya Krismas kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam likishirikisha waimbaji wa injili kutoka mataifa mbalimbali na wa hapa nchini wakiongozwa na mwaimbaji wa kimataifa kutoka nchini Afrka Kusini Solomon Mahlangu anayetarajiwa kuwasili kesho nchini akitokea Afrika Kusini.2Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa tamasha la Krismas Bw. Alex Msama akisisitiza jambo katika mkutano huo3Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa tamasha la Krismas Bw. Alex Msama akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu tamasha hilo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>