Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

NMB YAIBUKA KIDEDEA KATIKA KUWASILISHA TAARIFA YA FEDHA 2012

$
0
0
DSC_0340Meneja wa Fedha wa Benki ya NMB,  Deogratias Usangira akipokea Tuzo kutoka kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Goodluck Ole Medeye. Benki  ya NMB imepokea tuzo hii  ya ushindi wa kwanza  wa kuwasilisha taarifa ya fedha ya mwaka 2012 kutoka kwenye  Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Mahesabu nchini. Hafla hii ya makabidhiano ilifanyika hivi karibuni mkoani Arusha.
IMG_0013Maafisa wa benki ya NMB (toka kushoto) Evarist Webby, Jonathan Eliamlisi, Deogratias Usangira na Israel Kingu wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kupokea tuzo hii  ya ushindi wa kwanza  wa kuwasilisha taarifa ya fedha ya mwaka 2012 kutoka kwenye  Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Mahesabu nchini katika hafla ya makabidhiano iliyofanyika hivi karibuni mkoani Arusha.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>