Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

KATIBU MKUU WA CCM ABDURAHMAN KINANA AWASILI MKOANI NJOMBE TAYARI KWA ZIARA YAKE

$
0
0

2Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana ukiwasili mpakani mwa mikoa ya Njombe na Iringa katika kijiji cha Idofi ambapo alipokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Njombe akitokea mkoani Iringa ambako aliwasili leo asubuhi akitokea jijini Dar es salaam akiongozana na Katibu wa Itikadi Siasa na Uenezi ndugu Nape Mosses Nnauye, Ndugu Kinana na ujumbe wake watakuwa ni ziara ya siku saba mkoani Njombe ambapo watatembelea wilaya za Njombe, Makete ,Ludewa na  Wanging’ombe wakiimarisha chama na kusikiliza matatizo ya wananchi, huku wakikagua miradi ya maendeleo katika kuisimiamia serikali ili kwenye utekeleza wa  ilani ya uchaguzi ya CCM3Katibu Mkuu wa CCM  Ndugu Abdurahman Kinana akiwasili mpakani mwa mikoa ya Iringa na Njombe akitokea mjini Iringa5Katibu Mkuu wa CCM akivishwa skafu na chipukizi wa mkoa wa Njombe7Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Ludewa Ndugu Deo Filikunjombe8Ndugu Abdurahman Kinana akifurahia jambo na Deo Sanga Jah People Mbunge wa Njombe Kaskazini kulia ni Mbunge wa Mwibara Kange Rugora.9Mjumbe wa Kamati Kuu na mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Njombe Pindi Chana akicheza na akina mama wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana10Abdurahman Kinana akifurahia ngoma iliyokuwa ikitumbuizwa na kikundi cha ngoma cha mkoani Njombe huku Nape Nnauye akipiga ngoma12Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana akizungumza na wananchi wa mkoa wa Njombe mara baada ya kuwasili mpakani mwa mikoa hiyo katika kijiji cha Idofi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 20290

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>