Mkurugenzi mtendaji wa Banki ya NMB Mark Wiessing akiongea na wandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu wa wanahisa wa banki hiyo katika kujadili maswala mbalimbali ya maendeleo hususani banki hiyo yenye wateja wengi na utoaji wa huduma mpaka kuwafikia wananchi vijiji
Mkurugenzi mtendaji wa banki ya NMB Mark Weissing akitoka kwenye mkutano mara baaday kufunga mkutano
Mwenyekiti wa bodi ya banki ya NMB Prof Joseph Semboja akiongea na wandishi wa habari kuhusu mafanikio waliyoyapata wakati wa mkutano mkuu wa wanahisa uliofanyika jijini Dar es salaam
Mkurugenzi mtendaji wa banki ya NMB Mark Weissing akitoka kwenye mkutano mara baaday kufunga