$ 0 0 Katibu mkuu wa Chadema Dk Wilbrord Peter Slaa akiwahutubia wananchama na wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa hadhari uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege Sabasaba Manispaa ya Morogoro.