Harusi ya Wasiwasi Mwabulambo na Janeth ilifungwa kwenye Kanisa La Kilutheri Boko Dar Es Salaam Na Baadae kwenye tafrija iliyofanyika Mbezi Beach siku ya Jumamosi 22/6/2013. Mtandao huu unakutakia maisha mema ya ndoa na Mungu awaongeze katika kila jambo..Amen.