MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AMTEMBELEA MKUU WA MKOA WA MOROGORO KUMPA POLE...
Kamanda wa kanda maalumu ya kipolisi ya Dar es Salaam Suleiman Kova akisalimiana na Rumin Shar kutoka kampuni ya Pan Africa Enterprises Ltd baada ya Kampuni yao kutoa magodoro 200 aina ya Comfy kwa...
View ArticleMAHMOUD KOMBO AIBUKA KIDEDEA JIMBO LA KIEMBESAMAKI ZANZIBAR CCM LEO
MGOMBEA UWAKILISHI KATIKA JIMBO LA KIEMBESAMAKI WILAYA YA MAGHARIBI UNGUJA KWA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MAHMOUD THABIT KOMBO AMEIBUKA KIDEDEA KATIKA UCHAGUZI MDOGO ULIOFANYIKA LEO ZANZIBAR KWA...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AGUSWA NA UTENDAJI WA KINANA, ATAKA AWE MFANO WA KUIGWA
Kikwete akizungumza kwenye kilele cha miaka 37 ya CCM leoNA BASHIR NKOROMO, MBEYAMWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete leo amevunja ukimya na kuzungumzia suala la mawaziri waliotuhumiwa na wananchi...
View ArticleMASHINDANO YA NGALAWA YAFANA TANGA
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga Amina Mwidau (CUF), kizindua mashindano ya Ngalawa Wilayani Muheza.Ngalawa zikiwa katika mstari kwa ajili ya kuanza mashindano katika pwani ya Kijiji cha Kigombe...
View ArticleVURUGU KUBWA ZIMEZUKA MOMBASA KENYA NA KUZUA MTAFARUKU MSIKITINI WENGI...
Askari akijihami wakati wa vurugu kubwa zilizozuka leo majira ya jioni Jiji la Mombasa wakati Waumini wa dini ya Kiislamu wa Msikiti 'Masjid Mussa' ambapo waumini hao wamedaiwa kuwa walikuwa wameandaa...
View ArticleASKARI POLISI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI WAAGWA LEO MKOANI DODOMA...
Miili ya Askari Polisi waliofariki katika ajali ya gari ya kugongana uso kwa uso na basi la Mohamed Trans.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME akizungumza...
View ArticleUKUMBI WA MIKUTANO WA KISASA WAZINDULIWA DAR
Mgeni rasmi Mhe. Dk. Abdallah Kigoda (katikati) akiingia ukumbini. Mwenyekiti wa BNN Convention Centre, Paul Koyi (Kushoto) wakijadiliana jambo na Mwakilishi wa Jameson Tanzania, Adam Kawa kabla ya...
View ArticleMAMA KIKWETE AWATAKA WAKAZI WA WILAYA YA RUANGWA KUTUNZA ARDHI YAO NA SIYO...
Na Anna Nkinda – Maelezo, Ruangwa3/2/2014 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka wakazi wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi kuitunza ardhi nzuri na ya rutuba waliyonayo na kutokubali kuiuza kwa...
View ArticleHABARI KUTOKA TFF
TFF YAADHIMISHA MIAKA 50 FIFAShirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) litaadhimisha miaka 50 tangu lipate uanachama wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (TFF) kwa shughuli mbalimbili ikiwemo...
View ArticleFATMA ABDULHABIB FEREJ AZINDUA KAMATI YA KITAALAMU YA TUME YA KURATIBU NA...
Na Ramadhan Ali-Maelezo ZANZIBARWaziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib Ferej amesema juhudi za Serikali ya kuwasogezea wananchi maendeleo hazitokuwa na tija iwapo wimbi...
View ArticleTAARIFA ZA KIMICHEZO KUTOKA TFF
MSHABIKI MBARONI KWA MADAI YA TIKETI FEKIMshabiki mmoja anashIkiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kukutwa na tiketi bandia kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba iliyochezwa...
View ArticlePINDA APOKEA MISAADA YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WA MAGOLE
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda, amepokea msaada ya mabati, mashuka, vyandarua na biskuti vyenye thamani ya sh. 141,045,000/- kutoka kwenye makampuni binafsi matatu na jumuiya za kidini mbili.Akizungumza...
View ArticleMAONI YA UTAFITI KUHUSU TASNIA YA FILAMU TANZANIA YAKABIDHIWA WIZARA YA HABARI
Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Joyce Mwakisyala (katikati )akipokea maoni ya Utafiti kuhusu Tasnia ya Filamu Tanzania kutoka kwa Rais wa...
View ArticleSERIKALI YASEMA HAINA UGOMVI NA VYOMBO VYA HABARI.
Frank Mvungi- MaelezoSerikali imesema haina Ugomvi na vyombo vya habari hapa nchini kama ambavyo baadhi ya vyombohivyo vimekuwa vikiripoti.Akizungumza leo katika ufunguzi wa mkutano wa Maafisa Habari...
View ArticleANGALIA PICHA ZA KUTISHA MTU MMOJA AJERUHIWA NA MAMBA HADI KUFA TANGA
Inatisha sana ndugu msomaji, Amakweli mamba ni hatari. Habari kamili bado inafatiliwa hivyo endelea kufatilia hapa katika Website yako iliochangamka mjini na kijijini Baadhi ya wanakijiji wa Korogwe...
View ArticlePolisi ya Kenya yavamia Msikiti wa Musa, jijini Mombasa
Polisi inasema ililazimika kutumia gesi ya kutoa machozi baada ya ghasia zilizotokea ndani na nje ya msikiti huo. Polisi inasema Msikiti huo wa Mussa unatumiwa kama kituo cha kueneza fikra na misimamo...
View ArticleKINANA AZURU NYUMBANI KWA MAREHEMU DK MGIMWA
Katibu Mkuuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mama Mzazi wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, Consolata Mgovano, alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mgimwa, Kijiji cha Magunga, jimbo...
View ArticleANGALIA PICHA JINSI WANAFUNZI WA ST ANE MARIE WALIVYOHARIBU MALI ZA SHULE YAO
Mkuu wa Wilaya ya Kinoniondoni, Jordan Rugimbana akikagua chumba cha kompyuta ambacho kumefanyika uharibifu mkubwa na kuharibu kompyuta za mezani 40 na kompyuta mpakato 16 hazijulikani zilipo baada ya...
View ArticleLIGI KUU ENGLAND : CHELSEA WAICHAPA MANCHESTER CITY GOLI 1
Super Bran: Ivanovic celebrates giving Chelsea the lead in the first half The best team won on the night and City’s vulnerabilities have been exposed.Pick that one out: Ivanovic fires home from the...
View ArticleDK.SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE INDIA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia taa iliyotengenezwa na Akinamama wa Zanzibaar Kisiwani Pemba alipotembelea Chuo cha Barefoot kinachotoaa mafunzo ya...
View Article