CCM MKOA WA VYUO WAPIGWA MSASA NA JANUARY MAKAMBA DAR
MWENYEKITI wa makada wa vyuo vikuu mkoa wa vyuo wilaya ya Dar es salaam, Ndugu Asenga Abubakar, akifungua kongamano maalum la makada, wapenzi na wa mashabiki wote wa CCM ambao wapo vyuoni, lilofanyika...
View ArticleTUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS LIVE MTANDAONI...FUATILIA HAPA LIVE
Fuatilia Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 live moja kwa moja hapa kuaniza tukio hili la Red Carpet likifatiwa na tukio la utoaji tuzo litakaloanza rasmi saa tatu usiku hadi litakapofikia mwisho.
View ArticleNDOTO ZANGU NI KUOLEWA NA MSANII AY"....SALAMA JABIR
Mtangazaji mahili wa show za TV/Radio aliyeisimamisha wima show mpya na kali inayorushwa kupitia channel 5 ‘Mkasi’ namzungumzia Salama Jabir ametupia ‘neno’ kupitia kipindi hicho kuwa huenda siku...
View ArticleLIVE KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2013- WASHINDI
KIKUNDI BORA CHA TAARABU NI- JAHAZI MODERN TAARABMTUNZI BORA WA MASHAIRI YA TAARABU- THABIT ABDULWIMBO BORA WA MWAKA TAARABU- KHADIJA KOPA4. MTAYARISHAJI BORA WA TAARABU- ENRICO5. MSANII BORA WA KIKE...
View ArticleUGANDA YAJIWEKA KWENYE NAFASI NZURI BAADA YA KUIFUNGA LIBERIA 1-0 LEO
Uganda Cranes imejiweka katika nafasi nzuri leo katika kufuzu kombe la dunia 2014 baada ya kuifunga Liberia bao 1-0 katika Uwanja wa Mandela jijini kampala. Mechi hiyo iliiisha vibaya baada ya...
View ArticleAGALIA PICHA ZA MAMBO YA WALIMWENGU
HILI NI BALAA NA WALIKUWA SAWA WAZAZI NDIO WANAISHI HIVI!
View ArticleANGALIA PICHA NA VIDEO KITOTO CHA MKATIKIA VIUNO VYA CHUMBANI BABA MTU MZIMA...
Huku watanzania wakiwa katika heka heka ya kujiuliza kwanini kiwango cha elimu kimezidi kushuka kila mwaka wadau wameanza kupata majibu kuwa yawezekana mporomoko wa maadili unaweza uka wa chanzo...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MAMBO YA WALIMWENGU
Maiti ikipambwaDuna hii imejaa matukio mengi sana na ya ajabu,huko Indonesia kuna utamaduni ambao si wa kawaida na pengine ni wa ajabu wa kufufua maiti kaburini na kisha kuwapamba upya na kuwavisha...
View ArticleOFISI YA MAKAMU WA RAIS KUPITIA TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA, YAKABIDHI...
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dkt. Idrisa Muslih Haji (kulia) akikabidhi sehemu ya Compyuta 15, kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kwa...
View ArticleHALI YA MZEE MANDELA 'NI MBAYA SANA'
Rais wa Afrika kusini Jacob Zuma, amesema kuwa nchi yote inazidi kumwombea Mzee Nelson Mandela ili apate afueni haraka.Rais huyo wa zamani amelazwa hospitalini Pretoria, ambako anatibiwa maambukizi ya...
View ArticleRais Jakaya Kikwete amepokea kwa masikitiko na huzuni nyingi taarifa za kifo...
Rais Jakaya Kikwete-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amepokea kwa masikitiko na huzuni nyingi taarifa za kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Mzee Timothy...
View ArticleIVORY COAST KUWASILI JUNI 13 HUKU KIINGILIO CHA JUU ELFU 30
Msafara wa timu ya Taifa ya Ivory Coast (The Elephants) wa watu 80 wakiwemo wachezaji 27 unatarajiwa kuwasili nchini kesho (Juni 13 mwaka huu) kwa ndege maalum kwa ajili ya mechi dhidi ya Taifa...
View ArticleTANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO YA KOZI ZA UALIMU CHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA...
LIBRARY AND ICT LABORATORYCHUO KIKUU CHA TUMAINI MAKUMIRA - TAWI LA MBEYA S L P 3040, MBEYATANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO YA KOZI ZA UALIMUChuo Kikuu cha Tumaini Makumira Tawi la Mbeya ambacho awali...
View ArticleMUUAJI WA DADA ALIYECHINJWA KAMA KUKU MIKOCHENI B AMEPATIKANA
MFANYAKAZI wa Jaji Kileo, Philemon Laiza (27) anadaiwa kumchinja mtumishi wa ndani wa jaji huyo, ambaye ni raia wa Kenya, Perpetua Mainab (30). Mtuhumiwa huyo, ambaye alikuwa ni mtunza bustani katika...
View ArticleTAMASHA LA KILL MUSIC TOUR 2013 LAZINDULIWA RASMI LEO
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akifafanua jambo wakati wa uzinduzi wa Kili Music Tour 2013 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kala Jeramiah na Nasssib Abdalah 'Diamond'. Msanii wa muziki...
View ArticleMKE AMTWANGA MUMEWE BAADA YA KUMKUTA AKITAZAMA RUNINGA KABLA YA KUMALIZA KAZI...
MWANAMUME mmoja katika mtaa wa Mwanzo, Eldoret anauguza majeraha baada ya kupigwa na mkewe kufuatia mzozo uliotokana na yeye kupatikana akitazama runinga kabla ya kumaliza kazi ya nyumbani.Kwa mujibu...
View ArticleANGALIA ZA PICHA ZA LORI LILIVYOTEKETEA KWA MOTO JANA USIKU MAENEO YA MBEZI.
Ajali hii ilihisisha gari aina ya SCANIA iliyowaka moto maeneo ya Mbezi Beach Samaki Chanzo cha ajali ni kulika sana kwa break na tairi ya upande wa kushoto kupata pancha hivyo kupelekea moto kuanzia...
View ArticleUrusi yapitisha miswada ya kupinga ushoga na kejeli za kidini.
Wabunge nchini Urusi wameidhinisha mswada unaoruhusu hukumu ya vifungo vya jela vya hadi miaka mitatu kwa kosa la kuwaudhi waumini wa kidini.Mswada huo ulianzishwa mwaka jana baada ya wanachama wa...
View Article