ANGALIA PICHA ZA KINACHOJIRI HUKO DODOMA KWENYE SEMINA HUKO DODOMA YA TWENDE...
Mbunge wa Kigoma Kaskazini CHADEMA Ndugu Zitto Kabwe akizungumza na wasanii mabalimbali wakati akitoa mada katika semina ya kampeni maalum ya “Twede Zetu” iliyofanyika kwenye ukumbi wa African Dream...
View ArticleHAKUNA KANISA LILILOSHAMBULIWA KWA BOMU JIJINI DAR LEO "...HII NI KAULI YA...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kova amesema Taarifa zilizoenea kwamba Bomu limelipuka katika Kanisa la Kilutheri la Kiinjili Tanzania (KKKT), Kunduchi jijini Dar es Salaam zimeenea...
View ArticleANGALIA PICHA ZA JAMBAZI LAKUIBA KWA KUTUMIA PIKIPIKI LAKAMATWA
Jambazi lakutumia pikipiki lakamatwa maeneo ya Mwenge Itv.. Wananchi wenye hasira kali wampuga nusu kumuua angalia picha hizo baadae aliokolewa na Polisi akiwa na hali mbaya
View ArticleHILI NDO SAKATA KUTOKA BONGO MOVIE, PICHA YA JB YATUMIKA KATIKA COVER 3 ZA...
Cover ndiyo kitu cha kwanza kumvutia mnunuzi wa movie hata kabla hajaiona trailer ya movie au kusoma intro ya story ya movie kwenye cover. Sasa inakuaje waandaji wa movie wanashinda kutafuta picha...
View ArticleBAADA YA KUGAWA KICHAPO KIKALI KWA MKE WAKE, MSANII HAMMER Q AFUNGUKA YA...
Mambo vp waungwana??Ningependa kutumia muda huu kuandika kilichopo ktk moyo wangu na kifike kwa jamii yote iliyonizunguka , kikubwa zaidi ni..kuomba msamaha kwenu juu ya tukio nililolifanya wiki...
View ArticleANGALIA PICHA YA JENGO REFU KULIKO YOTE HUKO MAREKANI LINAITWA WORLD TRADE...
Kikwangua anga kipya World Trade Center, New York kilichomalizika kujengwa upya baada ya vikwangua anga pacha kubomolewa na magaidi 2001, ndilo jengo refu Marekani kwa sasa lenye urefu wa futi 1,776Juu...
View ArticleRAIS KIKWETE AREJEA TOKA AFRIKA KUSINI LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe Raymon Moshi mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius...
View ArticleWATAPELIWA KWA KUCHIMBA KABURI
Na Hamida HassanKIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Kesi Dikoroma na dada mmoja (jina halikupatikana mara moja) wamejikuta wakitapeliwa simu zao baada ya kupewa tenda ya kuchimba kaburi.Wawili hao...
View ArticleTAMASHA LA UZINDUZI WA KAMPENI YA TWENDE ZETU NI BALAA UWANJA WA JAMHURI DODOMA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya anayejulikana kwa jina la Shilole akicheza na mmoja wa mashabiki wake jukwaani katika tamasha la uzinduzi wa kampeni ya Twende Zetu linalofanyika jioni hii kwenye...
View ArticleSerikali mkoani Kagera huenda ikatumia JWTZ kuwasaka na kuwatia mbaroni watu...
Serikali imeahidi kutumia jeshi la wananchi wa Tanzania JWTZ kuwasaka na kuwatia mbaroni watu wanaojihusisha na ujambazi wa kuteka magari ,wakitumia silaha kali kuwapora wananchi huku wengine...
View ArticleVODACOM YAUNGANA NA UN WIKI YA NENDA KWA USALAMA
Mkuu wa kikosi cha Usalama barabarani Tanzania,Mohamed Mpinga akiongea na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Mapambano , kuhusiana na masuala ya Usalama Barabarani katika kuadhimisha wiki ya Umoja...
View ArticleMATUKIO MBALI MBALI YA MKUTANO WA HADHARA CUF KONDOA
Pichani ni maandamano ya viongozi wa CUF wakielekea kwenye uwanjani kuhutubia na kushiriki fainali za mashindano ya CUF CUP yaliondaliwa na mbunge wa viti maalumu wilaya ya kondoa Moza Abdallah ambapo...
View ArticleALICHOKISEMA FID Q, BAADA YA NIKI MBISHI KUTOA WIMBO UNAOKWENDA KWA JINA LA...
Rapper mkali kutoka MWANZA, FID Q ameonekana kuutazama wimbo mpya wa NIKKI MBISHIkama moja ya vitu vinavyoweza kupekea BEEF kubwa kati ya msanii huyo na NEY WA MITEGO ...FID Q aliyasema hayo kupitia...
View ArticleBREAKING NEWZZZ : WANANCHI WAUA JAMBAZI MOROGORO.
DAKTARI KATIKA HOSPITALI YA MKOA WA MOROGORO AKIANGALIA MWILI WA MTU ANAYEDAIWA KUWA NI JAMBAZI BAADA YA WANANCHI KATIKA KIJIJI CHA MWANZOMGUMU MANISPAA YA MOROGORO KUMUA HUKU MAJAMBAZI HAYO NAYO...
View ArticleANGALIA PICHA ZA NAMNA WANAMKE WANAVYODHALILISHWA KATIKA KUMBI ZA STAREHE.
HUU NI UZALILISHAJI KWA MWANAMKE WA KITANZANIA LKN WAKO WAPI WALE WATETEZI WA KUTETEA HAKI ZA WANAWAKE ?.UDHALILISHA HUU UNAFANYWA KATIKA KUMBI ZA BAR ZA STAREHE ILI KUVUTIA WATEJA, SERIKALI IANZE KAZI...
View ArticleVIGOGO WA DUBAI WAMGOMBANIA LULU MICHAE
HABARI zilizonaswa na mwandishi wetu zinaeleza kuwa nyota wa sinema Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, ameitwa katika Jiji la Dubai, Falme za Kiarabu kwa ajili ya kula bata ikiwa ni pole yake kwa...
View ArticleBELLE 9 NA YOUNG D WAFANYA KUFURU NJOMBE
Mfalme wa Kiduku Njombe naye alikuwepo bhana. Belle 9 akifanya show ya nguvu leo sabasaba Njombe. Mapaparazi nao hawakuisahau kazi yao. Belle 9 akiwa Live uwanja wa Sabasaba Mjini Njombe tamasha la...
View ArticleTreni ya Kasi Tanzania
Wakati Wenzetu wako HapaSisi tupo HapaHivi tatizo ni umasikini au ni matatizo yetu ya kufikiri? Maana hii sio tu huduma, bali ni biashara, tena biashara yenye manufaa kwa taifa na raia. Mfano, kwa basi...
View ArticleChina yahimizwa kuwekeza sekta ya Utalii nchini Tanzania
Ujumbe kutoka Tanzania na Maofisa wa Kamisheni ya Utalii ya Chaoyang, Beijing katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo hayo. Ujumbe kutoka Tanzania ukiwa katika mazungumzo na Maofisa wa Kamisheni ya...
View Article