Quantcast
Channel: MATUKIO NA VIJANA
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUJUMA:MAFUTA YA KULA YAINGIZWA NCHINI BILA KODI

TRA TRA: Tukielekezwa tutafanya uchunguziTBS: Tupeni muda, tutaongea jumanneKashfa ya ukwepaji kodi na uingizaji bidhaa zinazosadikiwa kuwa bandia, imeibuka wakati bidhaa hizo zikipitishwa katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kifaa chanjo ya Ukimwi chagundulika

'Ugunduzi huu ni ukombozi katika kuharakisha kupatikana kwa chanjo ya ugonjwa wa Ukimwi' Dk Seif Rashid Dar es Salaam. Wanasayansi nchini Marekani wamebaini kifaa kipya kitakachoharakisha upatikanaji...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA APOKEA MAANDAMANO YA WAUGUZI MOROGORO

Wauguze  wa mkoa wa morogoro wakiwa kwenye maandamano na hapa wanaingia kwenye viwanja vya manispaa ya morogoro katika siku ya wauguzi.MKUU wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera asubuhi ya leo amepokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA ZAIDI WAKAZI WA DODOMA WAUPOKEA KWA KISHINDO MSIMU MPYA WA CLOUDS...

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya ajulikanae kwa jina la Snura akiimba jukwaani wimbo wake unaotamba kwa sasa katika vituo vingi vya redio,uitwao  Majanga,mbele ya maelfu ya watu waliofika kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA YA RAIS WA NIGERIA AKIWA AMEPAKIA PIKIPIKI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMKO LA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU DHINI YA AGENDA ZA KUVURUGA AMANI YA...

Watetezi kutoka mikoani ambao ni wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini (THRD-Coalition), waliokutana kwa siku tatu jijini Dar es Salaam, pamoja na kupata mafunzo  adhimu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jerry Silaa: Makosa ya wanaCCM wachache isiwe ni hukumu ya CCM

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC-CCM) na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Silaa amewataka viongozi wa Chama cha Mapinduzi kuwa na utaratibu wa kukosoana pindi wanapokosea badala ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAANDISHI WA HABARI HAWAPO SALAMA" - TUNDU LISSU

Mh Tundulisu akitoa Vyeti kwa wana chaso katika Haflahio,WAANDISHI wa habari wapo katika hatari kubwa ya kutoweka nchini kutokana na kuandika maovu yanayofanywa na viongozi wa serikali.Haya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFANYABIASHARA ANAYEWALAWITI WANAFUNZI AKAMATWA NA POLISI...

JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni linamshikilia Ahmad Mohamed Sharif (38), mfanyabiashara na mkazi wa Mwananyamala Msisiri ’A’ kwa tuhuma za kuwaingilia kinyume cha maumbile wanafunzi wanne wa darasa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BILA MILIONI 10 HAUMPATI WEMA KWENYE FILAMU YAKO

MWIGIZAJI Mahiri wa filamu Bongo Wema Abraham Sepetu ndiye msanii anayelipwa fedha nyingi kuliko msanii yoyote wa filamu katika kushiriki katika filamu kutoka kwa watayarishaji wengine ili uweze...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA YA WEMA SEPETU AKIWA NA BOYFRIEND WAKE MPYA

Ayaa Siri Imefichuka,Check Picha ya Wema Sepetu Alivyofumaniwa Akiwa Anatomaswa Live na Huyu Mshkaji Ambaye Inasemakana Ndio Mpezi Wake Siku HiziHuyu ni Raheem Mtangazaji Wa Times Fm Ambaye ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKWELI KUHUSU MMILIKI WA MADUKA YA ROBBY ONE KUJIUNGA NA FREEMASON,

 Imekuwa kama mazoea kwa Watanzania wengi pindi wanapomuona Kijana mwenzao amefanikiwa huwa wanaanzisha story tofauti. Hii imetokea kwa watu wengi sana hapa mjini na pengine kuchafua kabisa majina yao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWITTER LEO KIMENUKA,DIVA NA BINTI KWA KENYA WASHAMBULIANA KWA PENZI LA...

Diva na Prezzomdhuri mashaallah lol!boss lady na prezzoJamani kama mapenzi yameisha MSILAZIMISHE, mcheki huyu mwanadada maarufu nchini Kenya anayejulikana kama Huddah m\Monroe alivyopoteza muda wake na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUKU BIFU NA RUGE LIKIWA KWENYE JOTO LA JUU,WIMBO WA JOTO LA HASIRA NAO WAZUA...

Few minutes ago, mwanamuziki LADY JAYDEE ametangaza kujitokeza kwa msanii ambae anadai alishafanya single yake ya sasa inayojulikana kama JOTO, HASIRA ... Ikimaanisha ni kama JAYDEE ameurudia wimbo huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA ZA MSICHANA ALIYEKUTWA AKIFANYA MAPENZI NA MBWA MOMBASA KENYA

 Kwa Mujibu wa Mtandao wa Kenyan Post Hizi ndio Picha za Msichana mmoja wapo ambae anakabiliwa na Mashtaka ya kukutwa wakifanya mapenzi na Mbwa huko Mombasa...Walikamatwa wasichana 11 pamoja na mzungu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Viongozi wanapogongana ziarani

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BREAKING NEWS: MANCINI ATIMULIWA KAZI MANCHESTER CITY, PELLEGRIN AKABIDHIWA...

Roberto Mancini sasa si kocha mkuu tena wa Manchester City, imeelezwa.Nafasi ya Muitaliano huyo itachukuliwa na kocha wa Malaga, Manuel Pellegrini.Bado haijajulikana rasmi ataondoka leo usiku, kesho au...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA YA MAPOKEZI YA DK KAFUMU IGUNGA TABORA LEO

Mbunge wa Igunda, Dk. Peter Dalally Kafumu akiwasalimia wananchi katika mkutano wa mapokezi yake uliofanyika jioni hii kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Igunga mkoani Tabora. Kuliani Katibu wa NEN,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANGALIA PICHA ZA DK. KAFUMU AFUNIKA IGUNGA

Mbunge wa jimbo la Igunga aliyerejeshwa na mahakama kuu Dk Peter Kafumu akizungumza na wana Igunga mara baada ya kuwasili mjini humo leo kuwashukuru wananchi na wapiga kura wake kwa kuwa naye bega kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MANCHESTER UNITED WAKABIDHIWA KOMBE LAO ,FERGASON NA SCHOUSE WAKIAGA

Your turn: Ferguson hands the trophy over to his players before he gets covered in champagneThere are definitely a few boos when Wayne Rooney's name is read out - and he's done a John Terry! Despite...

View Article
Browsing all 20290 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>