MTOTO MCHANGA AZALIWA NA JINSIA MBILI RUVUMA HANA PUA WALA MACHO
Mganga mfawidhi wa Hospitali ta Wilaya ya Tunduru Dkt. Joseph Ng'ombo akimuangalia mtoto huyo aliyezaliwa akiwa hana macho, pua na Shavu linalo shika mdomo wa juu, kushoto ni mkunga wa zamu katika...
View ArticleDEMPSEY KUKARIBISHWA AGOSTI 25, SEATTLE SOUNDERS WAUZA TIKETI 66,000
Seattle Sounders katika Ufunguzi wa MLS itacheza na Portland Timbers wakiwa na mahasimu wao wakubwa.Klabu ya Seattle Sounders inayoshiriki Ligi Kuu nchini Marekani (MLS) imeuza tiketi 66,000 ikiwa ni...
View ArticleFANYA HAYA SIKU ZA SIKUKUU KUNOGESHA MAPENZI
HUU ni msimu wa sikukuu, ni kipindi ambacho wapenzi hukitumia kulipaka rangi penzi lao. Najua kwa watu wanaopendana kwa dhati kila siku ni sikukuu kwao lakini leo nataka nikukumbushie yale ambayo...
View ArticleHAWA NDO MASTAA WA KIKE BONGO WANAOJIHESHIMU.
BAADHI ya watu kwenye jamii wamezoea kusikia au kuona wasanii kibao wakifanya mambo ya ajabu na kuwa na skendo za hapa na pale kama kupigana, mapenzi na kuzungumza mambo yasiyofaa lakini leo...
View ArticleEgypt Islamists stage Eid protests after military holds back
Members of the Muslim Brotherhood and supporters of deposed Egyptian President Mohammed Mursi walk with their families in the sit-in area of Rabaa al- Adawiya Square, where they are camping, on the...
View ArticleMAELFU WAANDAMANA KUPINGA SERIKALI YA TUNISIA
Maelfu ya waandamanaji wamefanya maandamano katika mji mkuu wa Tunisia,Tunis, kutaka serikali inayoongozwa na wanasiasa wa kiisilamu kujiuzulu. Ni maandamano makubwa zaidi kutokea tangu mgogoro wa hivi...
View ArticleBeijing Muslims Celebrate Sugar Feast in Niujie Mosque
Muslims celebrate the Sugar Feast on August 8, 2013, in Beijing's Niujie region. Muslims welcome one of their most important holidays, Eid al-Fitr, also known as the Sugar Feast, on Thursday August 8,...
View ArticleJUHUDI ZA KIDIPLOMASIA ZAKWAMA MISRI
Juhudi za wanadiplomasia wa mataifa ya Magharibi na Uarabuni kumaliza msuguano wa kisiasa kati ya serikali ya mpito nchini Misri na wafuasi wa chama cha kiislam cha Muslim Brotherhood zimeshindwa,...
View ArticleBritish women attacked with acid in Zanzibar
Stone Town is a Unesco world heritage siteTwo British women have had acid thrown in their faces on the east African island of Zanzibar, police have said.The pair, both reportedly aged 18, were believed...
View ArticleWAFANYAKAZI WA BALOZI ZA MAREKANI NA UINGEREZA WAONDOLEWA YEMEN
Marekani na Uingereza zimewaondoa wafanyikazi wake wa balozi zao kutoka mjini Sana'a nchini Yemen kufuatia hofu ya kufanywa kwa shambulizi la kigaidi.Hatari hiyo kubwa ya shambulizi linaloaminika...
View ArticleMAWAZIRI WA MAMBO YA KIGENI NA USALAMA WA URUSI NA MAREKANI KUKUTANA
Mawaziri wa mambo ya kigeni na masuala ya ulinzi kutoka mataifa ya Marekani na Urusi wanatarajia kukutana Ijumaa hii huko Washington Marekani kufuatia mvutano unaozidi baada ya serikali ya Moscow...
View ArticleANGALIA PICHA ZA WAISLAMU DUNIANI WALIVYOSHEREKEA SIKUKUU YA EID EL FITRI
Thousands of believers take part in morning prayers to celebrate the first day of Eid-al-Fitr in Moscow, Russia, August 8, 2013. Syrian disabled refugees pray during the Eid al-Fitr holiday at Zaatari...
View ArticleBUNDESLIGA MSIMU WA 2013/14 KUFUNGULIA LEO ALLIANZ ARENA
Msimu mpya wa Ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga unaanza jioni hii ya leo kwa mchuano kati ya mabingwa watetezi bayern Munich na Borussia Monchengladbach.Mchezaji wa kiungo wa timu ya taifa ya...
View ArticleSHEHA ALIYEKUTWA NA BANGI ATIMULIWA KAZINI HUKO UNGUJA
SERIKALI katika mkoa wa Kusini Unguja, imemtimua kazi Sheha wa Kitumba, Mtwana Kificho, ambaye wiki iliyopita nyumbani kwake alikutwa na majani makavu yanayosadikiwa kuwa bangi baada ya polisi kufanya...
View ArticleANGALIA PICHA ZA WAOMBOLEZAJI WALIOJITOKEZA KWENYE MSIBA WA MHADHIRI WA CHUO...
Mhadhiri Patrick Rweyongeza enzi za uhai wake.Waombolezaji wakiwa katika msiba Mbweni, jijini Dar es Salaam.ALIYEKUWA mhadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Patrick Rweyongeza, na aliyeuawa na...
View Article"SITAMSHITAKI NANDO,LAKINI SITAKUJA KUMSAMEHE 'KAMWE' KWA AIBU...
Alipotoka kwenye jumba la Big Brother Africa, mwakilishi wa Ghana, Selly mwezi uliopita aliahidi kumchukulia hatua za kisheria Ammy Nando kwa kusambaza habari ya uongo kuhusu yeye. Wiki mbili baada ya...
View ArticleLAANA ANGALIA MAMBO YA WALIMWENGU 'WANAUME WAWILI WAFUNGA NDOA'
Barney Frank awa mbunge wa kwanza kufunga ndoa ya jinsia moja Massachusetts-MarekaniPichani ni mbunge wa Massachusetts Barney Frank (kulia) na mke wake Jim ReadyTutafakari
View ArticleANGALIA PICHA YA MGONJWA ANAYESHINIKIZA KUHARAKISHIWA KIFO CHAKE ILI ACHANGIE...
Sherri Muzher (kushoto) na Dk Jack Kervorkian.Mwanamke aliyefikia hatua za mwisho kabisa za uhai kutokana na ugonjwa anapambana kuhitimisha maisha yake ili aweze kuchangia viungo vyake kuwezesha...
View ArticleAdaiwa kubaka kuku wawili na kisha kujiua
WAKAZI wa kijiji cha Rukuma katika eneo bunge la Lari jana walifurika nyumbani kwa mvulana mmoja wa umri wa miaka 17 aliyedaiwa kuwanajisi kuku wawili wa nyanyake kabla ya kuwaua na baadaye kujiua kwa...
View Article