Majengo yabomolewa Muhimbili, huduma za NMB zinaendelea
Baadhi ya majengo ya maduka, viosk, fremu pamoja na jengo ilimokuwemo NMB, yamevunjwa leo kwa maamuzi ya kisheria kutokana na eneo hilo kuwa na kesi ya mgogoro wa mkataba wa upangishaji.Mashine (ATM)...
View ArticleSilaha za sumu zawaua mamia Syria
Duru zinasema mamia wameuawa katika shambulio, eneo la Ghouta, DamascusMamia ya raia wameuawa kufuatia shambulio lililotumia silaha za kemikali viungani mwa Mji Mkuu wa Syria, Damascus. Makundi ya...
View ArticleRAIS WA KENYA MHE. UHURU KENYATTA KATIKA ZIARA BEIJING NCHINI CHINA
Leading the Kenyan delegation in bilateral talks with the Chinese Prime Minister Li Keqiang and his delegation at the Great Hall of the People in Beijing, China.— in Beijing, China.with the Chinese...
View ArticleALIYEBAMBWA NA DAWA ZA KULEVYA 'AIRPORT' DAR APANDISHWA KIZIMBANI.
Edwin Monyo.Mtuhumiwa Edwin Monyo (39) anayedaiwa kusafirisha dawa za kulevya zenye thamani ya Sh milioni 68, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashitaka...
View ArticlePINDA AONGOZA KIKAO CHA KUTATHIMINI BIG RESULT NOW
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongoza kikao cha kutathimini` maeneleo ya Mkakati wa serikali wa Big Result now kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Agosti 21, 2013. Wapili kulia...
View ArticleANGALIA PICHA ZA MAZISHI YA NEEMA 'NEMELA' PHILIP MANGULA
Mwakilishi wa Mheshimiwa Rais katika mazishi ya Nemela Mangula Mh. Anne Makinda akiwa ameongozana na Mh. Wassira na viongozi wengine wakipitia wosifu wa marehemu pamoja na ratiba za mazishi.Wana...
View ArticleRAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AFANYA MABADILIKO MAKATIBU WAKUU
NA MAGRETH KINABO NA ELEUTERI MANGI – MAELEZORAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya uongozi katika ngazi za juu za utendaji wa Serikalini kwenye nafasi za makatibu wakuu na naibu makatibu wakuu...
View ArticleRwanda, Uganda zajitoa Kutumia Bandari ya Dar
Na Rmayond Kaminyoge,Dar es Salaam. Chama cha Wasafirishaji wa Mafuta Tanzania (Tatoa), kimesema Rwanda na Uganda zitajitoa kutumia Bandari ya Dar es Salaam kuanzia Septemba Mosi, mwaka huu.Katibu...
View ArticleWATOTO WA BILIONEA ALIYEUAWA KILIMANJARO WAFIKA MAHAKAMANI KUSHUHUDIA KESI YA...
Watoto wa marehemu Erasto Msuya wakiwa na shangazi zao Esta Msuya (kushoto) na Antuja Msuya (kulia) kwenye Mahakama ya Moshi Mkoani Kilimanjarao jana ambapo walishuhuduia watuhumiwa wa mauaji ya baba...
View ArticleMugabe kuapishwa leo Zimbabwe
Sherehe za kuapishwa kwake zimekuwa zikicheleweshwa kwa sababu ya kesi iliyokuwa imewasilishwa mahakamani kupinga kuchaguliwa kwake na mpinzani wake mkuu Morgan Tsvangirai , ambaye alidai kulikuwa na...
View ArticlePONDA HALI MBAYA
Na Mwandishi WetuSIKU chache baada ya kupelekwa Mahakama ya Kisutu, jijini Dar kisha Mahakama ya Mkoa Mrogoro kwa helikopta, hali ya kiongozi na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam, Shehe Ponda...
View ArticleFAMILIA YA MASOGANGE WAAMUA KUMWACHIA MUNGU ISHU YA MTOTO WAO
FAMILIA ya Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ inadaiwa kumwachia Mungu ishu ya binti huyo kukamatwa na madawa ya kulevya Julai 5, mwaka huu nchini Afrika Kusini.Kwa mujibu wa ndugu...
View ArticlePOLISI FEKI 7 WANASWA TENA....
SIKU chache baada ya kukamatwa kwa askari feki wa usalama barabarani, Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imewakamata watuhumiwa saba wa ujambazi, wakiwa na sare za Polisi, huku mwingine akijifanya...
View ArticleUbakaji waongezeka katika mkoa wa Somaliland huku wakosaji wakipata msamaha
Wahamasishaji wa haki za binadamu wamesema idadi kubwa ya wanawake katika mkoa wa Somaliland wanakabiliwa na mawindo ya ubakaji. Juu, wanwake wakiwa wamejipanga mstari nje ya kituo cha kupigia kura...
View ArticleRais Robert Mugabe aapishwa
Sherehe hizo zinafanyika baada ya mahakama kutupilia mbali kesi iliyowasilishwa na upinzani kupinga matokeo hayo na kumtangaza rais Mugabe kama mshindi halali huku pia viongozi wa MDCT wakiwa...
View ArticleKuondoka kwa shirika la misaada kwadhihirisha mapungufu ya usalama na...
Mlinzi mwenye silaha akilinda huko Ufukwe wa Lido mjini Mogadishu wakati watu wakisherehekea siku kuu ya Eid al-Fitr hapo tarehe 8 Agosti. Vikundi vya asasi za kijamii vinatoa wito kwa serikali ya...
View ArticleNAPE: CHADEMA NI VIBARAKA
NAPE AWAPONDA CHADEMA.Asema ni vibaraka waliobobea..Adai wanawapotezea watu muda mikutano ya Katiba Ajivunia utaratibu uliotumiwa na CCM Adai wanachofanya Chadema ni uhuni Ampongeza Warioba kukataa...
View Article