Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizindua mradi wa maji wa kijiji cha Mbela wilayani Makete akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 9,2013. Wapili kulia ni mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizindua mradi wa maji wa kijiji cha mbela wilayani Makete akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 9,2013. Kulia kwake ni mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akisaidia kuweka ndoo ya maji kichwani Bibi Atonogile Ng’ondya wakati alipozindua mradi wa maji wa kijiji cha Mbela wialnai Makete akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 9,2013. Kulia kwake ni mkewe Tunu na Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo, Deo Sanga(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akitazama atunda wakti alipotembelea shamba la matunda katika kijiji cha Iniho wilayani Makete akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 9,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizindua mashine ya kukamu matunda katika kijiji cha Iniho wilayani Makete akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 9, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizunuza na bunge wa Makete ambaye Pia ni Naibu Waziri wa Maji, Dr. Benithil Mahenge katika kijiji cha Iniho akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 9,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wananchi Makete baada ya kuwasili kwenye makao makuu ya wilaya yao, Iwawa kwa ziara ya kikazi Julai 9, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizunguza na wazee wa Makete nyumbani kwa Mkuu wa Wilay hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 9, 2013. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akitazama Sanduku alilopewa zawadi na Umoja wa Wanawake wialya ya Makete akiwa katika iara ya mkoa wa Njombe julai 9,2013. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)