Mwanamke aliyetengana na mumewe, avamiwa, akatwa mkono
Mwanamke mmoja Sumayi Girandi mkazi wa kijiji cha Kunzugu wilayani Bunda amepoteza vidole vitatu vya mkono wa kulia na kiganja cha mkono wa kushoto kukatwa baada kushambuliwa kwa mapanga na watu...
View ArticleKesi dhidi ya Kilewo na watuhumiwa wengine CHADEMA yahamishiwa Mahakama Kuu
Wakielekea na kutoka chumba cha mahakama (picha: Tumaini Makene)Wakili, Kibarala akizungumza na waandishi wa habari, baada ya shauri kortini. HATIMA ya kesi ya ugaidi inayowakabili makada watano wa...
View ArticleMKOMBOZI KAFIKA: VING'AMUZI VYA AZAM KUANZA KUSAMBAA KARIBUNI
KAMPUNI YA SSB KUPITIA AZAM WANATARAJIA KULETA KING'AMUZI KIPYA NA CHA BEI POA AMBACHO KITAUZWA TSHS 30,000 NA MALIPO YAKE KWA MWEZI NI TSHS 2000. Kwasasa nasikia kipo kwenye majaribio kwa baadhi.
View ArticleANGALIA PICHA YA MWANAMKE MZEE KULIKO WOTE DUNIANI ALIZALIWA MWAKA 1885 ANA...
Oldest woman of worldA chinese woman born in 1885 and still alive! -127 year old.
View ArticleTUNAWATAKIA MFUNGO MWEMA KATIKA MWEZI HUU WA RAMADHANI
Audifacejackson.blogspot.com inawatakia waislamu wote Duniani Mfungo Mwema katika Mwezi huu wa Ramadhani.Na Pia Inatoa nafasi kwa wewe Muislamu kutumia Blog hii kutoa ujumbe kila siku kwa waislamu wote...
View ArticleWaziri wa Uchukuzi azindua Mpango wa Ufatiliaji Ufanisi wa Uchukuzi katika...
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akihutubia katika uzinduzi wa mpango wa ufatiliaji ufanisi wa uchukuzi kanda ya kati na nchi jirani za Burundi, Rwanda, Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo na...
View ArticleZITTO KABWE AWATAKA WANANCHI WAGOME KUILIPA KODI YA SIMU YA SH....
Sakata la kodi ya line ya simu limeendelea kuwakuna wanasiasa wetu ambao wamekuwa wakifunguka kwa nyakati mbalimbali kupitia mitandao ya kijamii.Baada ya January Makamba, Zitto...
View ArticleNITAENDELEA KUPAMBANA NA WABISHI WASIOTAKA KUHAMA ILI KUPISHA MIRADI YA...
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli ameapa kupambana kwa kuwabomolea au kuwakomesha kwa njia nyingine, watu waliogoma kuhama kwa ajili ya kupisha miradi mbalimbali ya ujenzi inayotekelezwa na wizara...
View ArticleWANANCHI WA KIJIJI CHA WENJE HUKO TUNDURU WAUA SIMBA WAWILI KWA SUMU YA PANYA
Na Steven Augustino, TunduruWAKAZI wa Kijiji cha Wenje katika Kata ya Nalasi Mashariki WilayaniTunduru Mkoani Ruvuma wamefanikiwa kuwaua Simba wa wili Kati ya SimbaWatatu waliokuwa wanatishia maisha ya...
View ArticleFAHAMU MAISHA YA WASANII WA KIBONGO NA UVUTAJI WA "UNGA"
Diouf ambaye alikiri kutumia madawa hayo toka mwaka 1996 alisema alikata shauri mwenyewe na kwenda kutibiwa kwenye hospitali ya Lutindi iliyopo Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga.“Nilianza kubwia unga toka...
View ArticleMCHEZO WA NGUMI ZA KULIPWA WASITISHWA MPAKA MWISHO WA MFUNGO WA RAMADHANI
YASSIN ABDALLAH MWAIPAYA -USTAADH.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI -MICHEZONDG ZANGU WAPENDWA KTK MICHEZO, UONGOZI WA ORGANAIZESHENI YA NGUMI ZA KULIPWA TANZANIA (TPBO-LIMITED)UNAPENDA KUWAJULISHA WADAU...
View ArticleZIARA YA WAZIRI MKUU WA TANZANIA MHE. MIZENGO PINDA -WILAYANI MAKETE
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akizindua mradi wa maji wa kijiji cha Mbela wilayani Makete akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 9,2013. Wapili kulia ni mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri...
View ArticleKUELEKEA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI LOWASSA AZUA GUMZO
Na Mwandishi WetuZIKIWA zimebaki siku chache kabla ya kuanza Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, picha za Mbunge wa Monduli kwa tiketi ya CCM, Edward Lowassa akiwa amevaa mavazi ya Kiislam ya joho...
View ArticleChidy Benz azuia kutoka kwa video ya ngoma aliyoshirikishwa
Hivi karibuni msanii Baghdad ambaye alikuwa na umbo kubwa sana na kupungua ghafla, alitoa ngoma yake mpya akishirikiana na wasanii wawili ambao inasemekana kwamba hawana mahusiano mazuri. Wasanii hao...
View ArticleSAKATA LA WEMA SEPETU POLISI WAVAMIA NYUMBANI KWAKE
Na Mwaija SalumPOLISI wapatao sita Jumamosi iliyopita walivamia nyumbani kwa staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu maeneo ya Kijitonyama kwa lengo la kumkamata kufuatia kesi iliyofunguliwa katika Kituo cha...
View ArticleCHEMBA YA MADINI NA NISHATI INAUNGA MKONO MRADI WA MATOKEO MAKUBWA SASA
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter MuhongoDar es SalaamChemba ya Madini na Nishati Tanzania, inaipongeza serikali kwa kuanzisha Mradi wa Matokeo Makubwa Sasa. Baada ya kushuhudia uzinduzi wa...
View ArticleCHELSEA WASAJILI GOLIKIPA BABU
Mlinda Mlango mkongwe: Mark Schwarzer amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea klabu ya Chelsea Dili limekamilika: Schwarzer akisaini mkataba wake wakiwa na mkurugenzi wa timu David BarnardSchwarzer...
View ArticleMAOFISA NA ASKARI WA JESHI LA MAGEREZA WALIOSHIRIKI MAONESHO YA 37 YA...
Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Jeshi la Magereza, Dkt. Juma Ally Malewa akitoa hotuba kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja katika hafla ya kuwapongeza Maofisa na...
View Article