ANGALIA PICHA YA MTOTO ALIYEFARIKI KWENYE MLIPUKO WA BOMU ARUSHA
HUYU NDO KIJANA ALIYEFARIKI BAADA YA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA JANA.TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ILIYOWEKWA ILA PIA TUMEAMUA KUEDIT PICHA ILI ISIWE KAMILI KWA HESHIMA YA
View ArticleNCHIMBI AAPA KUWAKAMATA WAHUSIKA WA MLIPUKO WA BOMU ARUSHA
Serikali imewataka watanzania wakiwemo wakazi wa jiji la Arusha kwa ujumla kuendelea kuwa watulivu na wavumilivu wakati vyombo vya dola kwa kushirikiana na raia wema wakiendelea kufanya uchunguzi wa...
View ArticleLANGA KUZIKWA LEO ,HII NDIO RATIBA YA MAZISHI
Ratiba ya mazishi ya marehemu LANGA KILEO itakuwa kama ifuatavyo …. Msiba upo nyumbani kwa wazazi wa LANGA ambapo ni maeneo ya MIKOCHENI nyuma ya hospitali ya AAR Mwili wa marehemu utaagwa siku ya...
View ArticleWABUNGE WA CHADEMA WAGOMA KUINGIA BUNGENI KUFUATIA BOMU LA ARUSHA...IGP ATOA...
Wakati Jeshi la Polisi nchini limesema limepata taarifa za mwonekano wa mtu aliyetupa bomu katika mkutano wa kampeni wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Arusha,Mwenyekiti wa chama hicho...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AFUNGA TAMASHA LA ASILI LA WATU WA MANGAPWANI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mlezi wa Tamasha la asili la Watu wa Mangapwani, Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, Mwenyekiti wa Kamati ya...
View ArticleBAADA YA KUDAI SHOW YA MWANA FA IMEBUMA WADAI ILIKUWA INAHITAJI WATU 400...
King Zilla kutoka Salasala alikuepo.Watu wakipata chakula na vinywaji kabla ya kuingia kwenye showMeneja wa Ommy Dimpoz, Muba, Salama na Ommy Dimpoz.......................Ilikua ni show inayohitaji...
View ArticleDR. NCHIMBI AWAFARIJI WAHANGA WA BOMU NA KUTEMBELEA SEHEMU ILIYOLIPULIWA BOMU
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbi akiwa katika viwanja vya Soweto Arusha palipotokea mlipuko wa bomu wakati wa kufunga kampeni za kuwania udiwani wa kata za jijini arusha za chama...
View ArticleCCM YASHINDA KATA 16 KATI YA 22 UCHAGUZI WA MADIWANI
Bw Nape Moses NnauyeItakumbukwa tarehe 16/06/2013 ilikuwa ni siku ya uchaguzi mdogo wa madiwani kwa baadhi ya kata nchini. Uchaguzi huo umefanyika kwenye kata ishirini na mbili (22)...
View ArticleKOMBE LA MABARA NIGERIA WAUA
Nnamdi Oduamadi (kulia) akishangilia baada ya kufunga dhidi ya TahitiNnamdi Oduamadi wa Nigeria akifungaTIMU ya taifa ya Nigeria imeifumua kwa mabao 6-1 Tahiti katika Kombe la Mabara Jonathan Tehau...
View ArticlePICHA ZA MAZIKO YA MSANII LANGA
Watu mbalimbali wakiuaga mwili wa marehemu Msanii wa Hip Hop Lyrical And Gifted Natural African LANGA aliyeagwa nyumbani kwao Mikocheni na kuzikwa makaburi ya Kinondoni Dar Es Salaam Saa 10 jioni...
View ArticleNMB wamezindua kitu kinaitwa Chap chap akaunti
Mheshimiwa waziri wa fedha Dk William Mgimwa akichukuliwa alama za vidole na Ofisa mauzo ya Nje NMB Abdul Kandoro mara baada ya uzinduzi rasmi wa NMB chap chap akaunti mwishoni mwa wiki mkoani...
View ArticleSEREKALI ITAFANYA KILA NJIA KUWAKAMATA WALIOHUSIKA NA UGAIDI ARUSHA
Serekali imesema kuwa itafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa wale ambao wamehusika na tukio la ulipuaji wa bomu uliotokea katika mkutano wa kufunga kampeni wa chadema watatiwa mbarano na...
View ArticleSERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR YATAKA KASORO ZA SERIKALI YA MUUNGANO...
Waziri waNchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohd Aboud Mohd kulia akibadilishana mawazo na Waziri wa Afya Juma Duni Haji nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni nje ya mji wa...
View ArticleKutoka Baraza la Wawakilishi Kikao cha Bajeti kwa Mwaka 2013/2014
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haji Omar Kheri, akijibu maswali ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi alioulizwa katika kipindi cha maswali na majibu,...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE MEETS LORD HURD OF WESTWELL
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete meets with the Chairman and FIRST advisory council Rt. Hon Lord Hurd of Westwell(right) in London this morning. Left is FIRST Chairman Mr. Rupert Goodman .FIRST is a...
View Article