ANGALIA PICHA YA KIONGOZI WA CHADEMA ALIYEPIGWA RISASI MBEYA.
Katibu mwenezi wa chadema wilaya ya mbeya vijijini Jackson Mwasenga ambaye pia ni mwenyekiti wa Kitongoji cha mzalendo kijiji cha Ndola mjini Mbalizi akiwa katika Hospitali ya Mbalizi Ifisi akipata...
View ArticleANGALIA PICHA YA MTUHUMIWA WA ULIPUAJI WA BOMU KATIKA KANISA OLASITE,...
Mtuhumiwa Bomu Kanisani Arusha, Victor Ambrose Calist (20).MTUHUMIWA mmoja kati ya tisa waliotiwa mbaroni na jeshi la polisi baada ya kutokea mlipuko wa bomu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph...
View ArticleAJALI YA COASTER NA LORI YAUA ABIRIA MMOJA AFARIKI DUNIA WENGINE 17...
GARI YA AINA YA COSTA T 399 AUD ILIYOGONGWA KWA NYUMA NA KISHA KUPINDUKA ENEO LA KANYEGELE UWANJA WA NDEGE WILAYANI RUNGWEHUU NI UPANDE WA NYUMA WA COSTA HIYO HILI NDILO ROLI LILILO IGONGA COSTA KWA...
View ArticleLADY J DEE APIGWA STOP NA MAHAKAMA KUIONGELEA CLOUDS IN THE PUBLIC.
Jide na Mumewe wakiwasili mahakamani leo.Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Judith Wambura Mbibo a.k.a Lady Jaydee(Pichani) muda si mrefu amepokea hati yake ya mashtaka kutoka katika mahakama ya...
View ArticleNATAFUTA MWANAUME WA KUNIZALISHA...." AISHA BUI WA BONGO MOVIE
Baada ya kuadimika kwa muda mrefu, mwigizaji wa filamu za Kibongo, Aisha Bui ameibuka na kusema kuwa anatafuta mwanaume ambaye atamzalia mtoto na hatimaye waoane ila akadai wa kumuoa kwa sasa...
View ArticleSITAISAHAU SIKU NILIYOLISHWA KINYESI CHANGU NA MAKAMASI BAADA YA KUFUMANIWA...
Ilikua ni mwaka 2011 nilipomaliza shahada yangu ya kwanza chuo kikuu cha Dar es Salaam na katika harakati za kutafuta ajira nikajikuta nimejiingiza kwenye mahusiano na mke wa mtu ambaye nilikutana nae...
View ArticleWADAU WA MAENDELEO WA MIKOA YA KANDA YA ZIWA TANGANYIKA WAWATOLEA UVIVU TBS
Viongozi wa mikoa ya ukanda wa ziwa tanganyika waliokutana kujadili maendeleo ya fursa za kiuchumi kikao cha ushirikiano katika kuibua ubunifu wa kuleta maendeleo kwenye mikoa hiyo,majadiliano na...
View ArticleKAMPUNI YA MULTCHOICE (T) LTD YAZINDUA TAWI JIPYA KARIAKOO MSIMBAZI JIJINI...
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa akihutubia wakati wa ufungzi wa Tawi jipya la kampuni yaMultichoice Tanzania lililoko barabara ya msimbazi kariakoo jijini Dar es salaam...
View ArticleTANZANIA YANG’ARA MAONESHO YA INDABA
Balozi wa tanzania afrika kusini na akiwa katika picha ya pamoja na washirikiMuonekano wa Banda la Tanzania katika maonesho hayo ya kimataifaMishemishe za Biashara zikiendelea katika maonesho...
View ArticleDADA ZETU ANGALIENI NIDHAMU HII YA HUYU MBUNGE NDANI YA BUNGE,NI PICHA NZURI...
Waziri wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe (kulia) akizungumza na mbunge wa viti maalum (CCM), Mary Mwanjelwa Bungeni mjini Dodoma jana. Picha na Edwin Mjwahuzi
View ArticleRais Kikwete awasili Dodoma kuendesha Kikao cha Kamati Kuu ya CCM
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Mei 14, 2013. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa...
View ArticleMWIZI WA BODA BODA AUAWA KIKATILI MWENGE
KIJANA mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja anayedaiwa ni mzoefu wa wizi kwa kutumia usafiri wa pikipiki ‘bodaboda’, ameuawa baada ya kumliza mwanamke aliyetambulika kwa jina la...
View ArticleAJALI HII MBAYA IMETOKEA MBEYA LEO NA KUUA WATU 3,WIKI HII MBEYA KUNA BALAA...
BAADHI YA WACHINA WANAOTENGENEZA BARABARA YA CHUNYA WAKIWASIKILIZA WANANCHI WALIOSHUHUDIA AJALI HIYO IKITOKEABAADHI YA MAJERUHI WAKISUBIRI KUPATA HUDUMA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA MPAKA TUNA TOKA...
View ArticleRAIS WA NCHI(KIKWETE) AFUNGUA MKUTANO WA SACAU BARANI AFRICA
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akifungua Mkutano wa kuzungumzia Mustakabali wa maendeleo ya Wakulima Barani Afrika uliofanyika katika hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam...
View ArticleKAMATI KUU YA CCM YAMTEUA MATTR SAID KUWANIA KITI CHA UBUNGE JIMBO LA...
MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) leo katika ukumbi wa White House mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais wa Zanzibar Dk....
View ArticleMAOFISA WA JESHI KUTOKA CHUO CHA KIJESHI GHANA WATEMBELEA TBL DAR
Maofisa wa Jeshi kutoka Chuo cha Ukamanda na Unadhimu cha Ghana, wakitembelea Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, kwa lengo la kujenga ushirikiano katika nyanja za Sayansi,...
View ArticleFAMILIA YANUSURIKA KUFA KWA KUGONGWA NA GARI CHUMBANI USIKU WA MANANE
FAMILIA ya mme, mke na mtoto wamenusurika mkoani hapa, baada ya gari aina ya Noah, kuacha njia na kuwafuata chumbani wakiwa wamelala usiku wa manane.Tukio hilo la aina yake, limetokea saa nane usiku...
View ArticleBarua kwa Mh. Dkt. Abdallah Kigoda : Pendezo kuhusu kuzuia Unyonyaji Dhidi ya...
Mh. Zitto Kabwe.PENDEKEZO BINAFSI LA MBUNGE KUHUSU KUZUIA UNYONYAJI DHIDI YA WASANII WA TANZANIA KATIKA BIASHARA YA MIITO (RING BACK TONES)Kwenda kwa: DR ABDALLAH KIGODA, Waziri wa Viwanda na...
View ArticleDIVA WA CLOUDS AFUNGUKA,AMVAA CHAHALI..ASEMA ZITTO KABWE NDIYE RAIS...
Diva @Divamimi 5h@Chahali Mwanaume Mzima unafatilia maisha ya Mwanaume Mwenzako.blog about Wabunge waliozalisha wabunge wa viti maalum pia. leave Zitto alone Diva @Divamimi Be careful wit your...
View Article