KEITA ASHINDA UCHAGUZI WA URAIS MALI
Ibrahim Boubacar Keita ana jazi ngumu ya kukarabati nchi ya MaliIbrahim Boubacar Keita ameibuka mshindi wa uchaguzi mkuu nchini Mali huku mpinzani wake akikubali kushindwa katika duru ya pili ya...
View ArticleKAMATI YA BUNGE YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI YAJADILI MUSWADA WA SHERIA YA TAIFA...
Na Lorietha LaurenceKamati ya Bunge ya Kilimo,Mifugo na Maji imejadili pendekezo la Muswada wa Sheria ya Taifa ya Umwagiliaji ya mwaka 2013 ambao utatatua changamoto zinazokabili kilimo cha...
View Article44 WAUAWA KINYAMA MSIKITINI, NIGERIA
Maiduguri ni moja ya majimbo yaliyowekewa sheria ya hali ya hatariTakriban waumini 44 wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa msikitini Kaskazini Mashariki mwa Nigeria, kwa mujibu wa maafisa wa jimbo la...
View ArticleUHAI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI SASA UPO MASHAKANI.
NIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa kuweza kutupa uhai na tumuombe atuzidishie moyo wa upendo ili tuwe na amani katika nchi zote hasa za Afrika Mashariki.Hakuna shaka yoyote nikisema kwamba uhai na ustawi...
View ArticleWANAOTUHUMIWA KUMPIGA SHEKHE WATINGA KORTINI.
VIJANA sita waumini wa dini ya Kiislamu wilayani Kyela mkoani Mbeya wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Kyela kujibu mashtaka manne wanayokabiliana kutokana na vurugu walizozifanya msikitini, ambapo...
View ArticleANGALIA PICHA YA FOLENI YA KWENDA KUMUONA SHEKH PONDA HOSPITAL YA MUHIMBILI
Waumini wakisubiri zamu yao kwenda kumjulia hali Sheikh Ponda hospital ya muhimbili...
View ArticleKagera kwachafuka ... yawafukuza Madiwani 8 wa manispaa ya Mji wa Bukoba ......
Habari zilizotufikia punde toka Bukoba zinasema Chama cha Mapinduzi-CCM Mkoani Kagera kimewafukuza madiwani wanane wa chama hicho na kuwavua nyadhifa zote walizokuwa nazo. Katibu wa CCM mkoa amemaliza...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKABIDHIWA KATIBA NA VIONGOZI WA SHIMUTA IKULU DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mlezi wa Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania, (SHIMUTA) Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea...
View ArticleRAIS KIKWETE ATAKA TIBA KWA WABWIA UNGA, ATAKA JAMII IPIGE VITA BWIMBWI
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax:...
View ArticleMBOWE AWATAKA WANANCHI KUCHANGIA RASIMU YA KATIBA MPYA
Wananchi wa mkoa wa Mara wametakiwa kuchangia kikamilifu katika rasimu ya Katiba mpya ili wamuenzi Baba wa Taifa Mwl JULIUS KAMBARAGE NYERERE kupitia michango yao itakayoiwezesha Tanzania kupata Katiba...
View ArticleKaunti za Kenya kuwaondoa wafanyakazi hewa zaidi ya 10,000
Mamia ya wauguzi kutoka hospitali za umma na kliniki za afya waliandamana jijini Nairobi tarehe 9 Machj, 2012, katika kudai malipo mazuri siku moja baada ya serikali ya Kenya kuwafukuza watu 25,000...
View ArticleWatu kadhaa mjini Konduga nchini Nigeria wakimbia makazi yao kutokana na...
Wakazi wa mji wa Konduga kaskazini mwa Nigeria wametoroka baada ya wapiganaji waliovalia sare za jeshi kuwapiga risasi na kuwaua karibu watu 50 katika msikiti mmoja wa eneo hilo, muda mfupi kabla ya...
View ArticleMisri yatangaza amri ya dharura
Serikali ya Misr imetangaza amri ya dharura kote nchini kuanzia hii leo, kwa muda wa mwezi moja kufuatana na taarifa ya rais iliyotangaza na televisheni ya taifa.Taarifa hiyo ina liamrisha pia jeshi...
View ArticleWANYARWANDA WALIOTIMULIWA TANZANIA WAKIMBILIA UGANDA AMBAKO NAKO WAMEKATALIWA
Wengi wa wahamiaji haramu waliokuwa mkoani Kagera ambao wengi wao ni wanyarwanda wamekimbilia Uganda kama wakimbizi lakini makambi ya wakimbizi huko Uganda yamekataa kuwapokea.Pamoja na serikali ya...
View ArticleDK MWAKYEMBE ATANGAZA KUWAMATA VIGOGO WALIOPO KWENYE MTANDAO WA USAFIRISHAJI...
DK MWAKYEMBE.AINA MBALIMBALI ZA DAWA ZA KULEVYA.HUKU Tanzania ikigeuka dhihaka duniani kutokana na vyombo vyenye mamlaka ya kukomesha biashara ya dawa za kulevya kukwama, Waziri wa Uchukuzi, Dk....
View ArticleANGALIA PICHA ZA JINSI WANYAMA PORI WANAVYOTEKETEA KWA UJANGII
Tembo akiwa amekufa katika moja ya Mbuga za wanyama nchini, huku meno yake yakiwa yameondolewa Wakati Taifa likididimia katika umaskini wa kutisha, wanyama ambao ni kitega uchumi cha nchi wanauawa...
View Article