ANGALIA PICHA ZA MADIWANI 8 WALIODAIWA KUFUKUZWA WALIVYOFURAHI BAADA YA...
Diwani Alexander Ngalina wa Kata Buhembe na Naibu Meya Diwani Richard Gaspar wa Kata ya Miembeni na mjumbe mkutano mkuu wa Taifa wa CCM Diwani Dauda Kalumuna wa Kata ya...
View ArticleMUUAJI WA BILIONEA KILIMANJARO ANASWA
Polisi wamefanikiwa kumtia mbaroni mfanyabiashara tajiri wa madini ya Tanzanite huko Mirerani anayetajwa kuwa ndiye aliyepanga na kukodi watu waliomuua bilionea Erasto Msuya. Habari za uhakika kutoka...
View ArticleRAIS KIKWETE KAMATA MAFISADI, WATANZANIA WAPUMUE.
Kutokana na hali ya ufisadi nchini ilipofikia sasa, kwa maoni yangu ipo haja kwa Rais Jakaya Kikwete kuwatuliza Watanzania kwa kutenda jambo ambalo halijawahi kutokea kwa kipindi kirefu.Watanzania...
View ArticleMKUTANO YA MPANGO YA MATOKEO”MAKUBWA SASA” KATIKASEKTA YA ELIMU,WAFANYIKA...
Wazirizi wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mhe Shukuru Kawambwa. akitoa hotuba wakati akifungua mkutano wawakaguzi wakuu wa Shule kanda na Wilaya hapa nchini lengo la mkutano huo,kuandaa uzinduzi wa mpango...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE AKABIDHI ITHIBATI YA KUENDESHEA MAFUNZO YA WAHUDUMIAJI WA...
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe(aliyevaa tai nyekundu), akimsikiliza Mkuu wa Chuo Cha Taifa cha Usafirishani (NIT),Mhandisi Dk. Zacharia Mganilwa(kulia) leo asubuhi kabla Waziri huyo...
View ArticleDIAMOND ATOA SABABU YA KUCHELEWA KUPANDA STAJINI MOMBASA MPAKA WATU WAKAANZA...
Kupitia kipindi cha Mambo Mseto cha Radio Citizen, Diamond amefunguka kuhusu sababu ya yeye kuchelewa kupanda stejini.“Nililipwa pesa nusu, nikawa natakiwa nikifika Nairobi nimaliziwe pesa yangu yote...
View ArticleMAZISHI YA BILIONEA YAWA GUMZO ARUSHA.,NI KUFURU
Mazishi ya kufuru ya yule bilionea mfanyabiashara wa madini ya tanzanite mkoani hapa, marehemu Erasto Saimon Msuya, yameacha gumzo kubwa.Mfanyabiashara huyo aliuawa kwa kumiminiwa risasi zaidi ya 20...
View ArticleHAYA NDO MASHITAKA ALIYOSOMEWA SHEIKH PONDA AKIWA HOSPITALINI
KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda (54), amesomewa shtaka akiwa kitandani katika Kitengo cha Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu...
View ArticleBREAKING NEWZZZ: NYUMBA ZACHOMWA MOTO PWANI
Picha na MaktabaNyumba 6 zimechomwa moto katika Kijiji cha VODA ,Tarafa ya Mbwewe Mkoani Pwani,baada ya wanakijiji kuvamia gari la mizigo lililokuwa limebeba mitumba kuanguka na kufunga barabara ambapo...
View ArticleANGALIA VIDEO ZA SHABIKI WA YANGA ALIVYOSHIRIKI BSS, JAMAA NI NOMA
HII NI VIDEO YA ALIVYOLALAMIKA WAKATI YANGA WALIVYOFUNGWA NA SIMBA
View ArticleANGALIA PICHA ZA MAPOKEZI YA FEZA KESSY UWANJA WA NDEGE DAR
Mwakilishi wa Tanzania katika jumba la Big Brother 'The Chase' aliyetolewa Jumapili Agosti 11 Feza Kessy amewasili leo jioni Tanzania katika uwanja wa kimataifa wa Mwl J.K Nyerere jijini Dar es...
View ArticleMakunga, Kibanda wana kesi ya kujibu
Meneja Uendeshaji Biashara wa Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL), Theophil Makunga (katikati) akizungumza na Mwanasheria wa Kampuni hiyo, Doris Marealle nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi...
View ArticleTINDIKALI YAUZWA KWEUPE
Chande Abdallah na Hans MloliLICHA ya serikali kutangaza kudhibiti upatikanaji holela wa tindikali, uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa kimiminika hicho bado kinapatikana kirahisi mitaani..Mwishoni...
View ArticleHOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI, MH. SHUKURU KAWAMBWA KATIKA...
WAziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Shukuru Kawambwa.HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI, MHESHIMIWA DKT. SHUKURU JUMANNE KAWAMBWA (MB) KATIKA WARSHA YA MPANGO WA MATOKEO MAKUBWA SASA...
View ArticleWAZIRI MWAKYEMBE ATUA AIRPORT DSM GHAFLA KUSAKA WAUZA UNGA
Waziri wa uchukuzi Dk. Harison Mwakyembe amefanya ziara ya kushtukiza kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar-es-Salaam na kubaini kuwa upitishwaji wa...
View ArticleMIKAKATI MIPYA YA WABUNGE DHIDI YA TUHUMA ZA RUSHWA
Naibu spika wa bunge Job NdugaiWA B U N G E wameazimia k u j i t a z a m a kuhakikisha mbunge hatajwi kwa rushwa wala uvunjifu wa maadili na Bunge linakuwa safi kabla ya kunyooshea vidole wengine.Naibu...
View ArticleCHADEMA INAWAWINDA MADIWANI WA CCM
MADIWANI wanane wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Kagera waliofukuzwa uanachama wiki iliyopita wamekaribishwa kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).Mwenyekiti wa CHADEMA,...
View Article